Kwenye kampeni za CCM baada ya wasanii kupewa zawadi yakofia leo mzee wetu Lowassa amekabidhiwa zawadi ya kofia kutoka kwa mgombea Urais kupitia Tiketi ya CCM ndugu JMP
Kampeni zinaendelea
Kamati ya amani na dini mbalimbali Mkoa wa Singida inayojumuisha viongozi wa madhehebu na dini zote imetoa tamko lenye maazimio saba kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 28, mwaka...
Tutakuwa tukibadilisha badilisha kutaja maeneo halisi atakayokuwepo mgombea kwa muda husika kutokana na jinsi tunavyoona kiusalama.
Pia hili gari analotumia Lissu msilichukulie poa maana yaliyomo...
Mheshimiwa Jimbo la California sio saizi yetu kabisa, huko ni maji marefu sana.
Mheshimiwa Magufuri anataka kuifanya Arusha kuwa kama Calfornia, Marekani.
Kwa ambao hatujui ni kwamba ukitaja...
Wanabodi,Siku nne kabla ya uchaguzi ngome zetu wana CCM hasa vijijini zimechakazwa na kutikiswa na Tundu Lissu.
Wilaya ya Tunduru Ruvuma, Mambo sio mambo ni ngome yetu wana CCM lakini wananchi wa...
Mgombea Udiwani kupitia ACT Wazarendo kata ya Kinyerezi Ndugu Albert Nyange arudi CCM leo Tarehe 24/10/ 2020,
Tukio hilo limetokea katika kampeni za lala salama za mgombea wa CCM Kata ya...
CCM mwaka huu wameonyesha walilala zaidi ya wapinzani kipindi chote siasa zilipokatazwa. Awakujipanga kuanzia juu Hadi kwenye tawi na kibaya zaidi hata UCHAGUZI wa serikali ya mtaa awakufanya bali...
Wakuu natanguliza salamu , Ikumbukwe kwamba tumebakiwa na siku 3 tu za kampeni ambapo baada ya hapo ni Uchaguzi wa kihistoria ambao unakwenda kukata minyororo ya utumwa waliyofungwa Watanzania kwa...
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dkt. Wilson Mahera Charles, leo Oktoba 23, 2020 amezungumza na Vyombo vya Habari kutoa rai kwa Watanzania, kuvipuuza vikundi au Viongozi wa...
Leo mgombea urais kupitia chama cha Mapinduzi, Dkt. Magufuli yupo Arusha na Monduli akiendelea kunadi sera na ilani ya chama cha Mapinduzi kuomba ridhaa ya kuongoza Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Tunachimba madini hapa na kuuza nje,pesa imayopatikana kwa wachimbaji na serikali sio kubwa Kama tungekua na kiwanda cha kuprocess madini hapa kwetu, nikipata nafasi ya kuongoza nchi hii serikali...
NEC mbona mgombea CCM anavunja sana maadili na hawampi adhabu? Akivaa kijani yupo kama mgombea na mbona anazungumuza tumetenga hela, nitawaletea hiki hela ipo, anapiga simu kwa Mfugale kuhusu...
Nimerudi safari na kupiga kambi kwenye jimbo langu la uchaguzi. Mambo niliyoshuhudia wiki hii ya mwisho hayakufikirika miaka ya nyuma na hata mwanzoni mwa kampeni za mwaka huu.
Vile vijembe vya...
Tofauti na miaka mingine ya Uchaguzi Mkuu, mwaka huu Tume ya Uchaguzi Tanzania(NEC) imechapisha form ya kupigia kura kwa ngazi ya Urais wa JMT isiyo na mfumo rasmi wa mpangilio wa alfabeti.
Hii...
Katika muendelezo wa michezo ya uvunjifu wa sheria, makada wa CCM wameanza utaratibu haramu wa kuwachukua watoto wa shule na kuwaelekeza kumpigia Magufuli kura
Huku watoto wakiwa kwenye uniform...
Lissu mgombea urais wa mijini anayezunguka town to town kampeni akiacha asilimia 80 ya wapiga kura waishio vijijini.
Lisu ni wakili kakulia mjini ndio maana siasa zake za kimjini mjini zaidi...
Nguvu kubwa inatumika kutisha na kuifananisha nchi na Libya lakini wapi.
Kauli za zamani za Gwajima ndio zinamuhukumu, alitoa kauli za kashfa kwa waislamu na wakristu walio kinyume na imani yake...
Watanzania tumeshuhudia kwa macho yetu jinsi Mhe Rais Magufuli alivyopokelewa na nyomi kubwa Kilimanjaro. Haijawahi kutokea.
Taarifa za ndani kutoka mkoa huo ni kwamba Mheshimiwa Rais Magufuli...
Ndugu zangu wana JF;
CCM wamejiapiza kuwa John Pombe Magufuli ni lazima ashinde tu uchaguzi huu wa mwaka huu either by hooks or by crooks..
Wagombea wa CCM katika ngazi zote ikiwemo ya Urais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.