Katika mkutano wa Rais Mtarajiwa Tundu Lissu polisi walifika eneo la mkutano na kuanza kuwatawanya watu kwa kutumia mabomu hata hivyo kwa kuwa Lissu ni kiongozi Wala si mtawala aliamuru watu...
Nec ijifunze democrasia kutoka kwa jabali la democracy Tanzania JPM. Akiwa Mwenyekiti wa CCM aliamuru kura zihesabiwe kwa uwazi kabisa mbele ya wajumbe kwenye mchakato wa kura za maoni kupata...
KELELE ZA CHINA DHIDI YA NCHI ZA NJE KUINGILIA UCHAGUZI WA TANZANIA SIO KELELE ZA CHURA MTONI!
Taarifa ya China iliyotolewa na msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya nchi hiyo bwana Zhao Lijian...
Wakazi wa mji wa Tandahimba na vitongoji vyake walikusanyika kwa wingi kwenye viwanja vya shule ya msingi Matogoro ili kumpokea mgombea urais anayeiwakilisha CHADEMA Mh. Tundu Lissu.
Kwa hakika...
TUNDU LISSU V/S UONGOZI CHADEMA
Inasikitisha sana kuona Tundu Lissu akifanya kampeni zake bila viongozi wa kuu wa chama, wale wana gombea ubunge tunajua hawawezi kuwepo kila pahali, lakini...
Ndugu zangu,
Kutokana na hali ilivyo huenda CHADEMA ikakosa Mbunge ambaye ni kiongozi Mkuu katika chama kwani Mbowe ambaye ni Mwenyekiti nafasi yake kurudi bungeni ni finyu mno kwani Wananchi wa...
NITAKUWA RAIS MSIKIVU NA NITAUNDA SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA " PROF.LIPUMBA"
LIWALE
Nchi yetu imejaa ufisadi, ubinafsi, migawanyiko, kuumizana, ubaguzi,
kutokuaminiana, chuki, kukata tamaa na...
Katika kipindi hiki cha kampeni za urais, nimekuwa nikimwona huyo jamaa aliyevaa ‘Kaunda suti’ ya buluu hapo kwenye picha, akiwa pembeni ya Tundu Lissu karibu kila sehemu.
Nikiangalia mavazi yake...
Mgombea ubunge wa jimbo la ubungo kupitia Chama Cha mapinduzi Profesa Kitila Mkumbo amezungumzia Mambo matano muhimu atakayoanza kuyashughulikia punde tu akiapishwa kuwa mbunge.
Profesa Kitila...
Ndugu zangu wasalam,
Mimi ni mwajiriwa kwenye sekta binafsi na nimeanza kuchanigia NSSF tangu mwaka 2011, akiba yangu ni kati ya Mil 60-75, japo kuna kipindi nilijitoa nilipohama kampuni, muda...
Mgombea wa Urais Kupitia chama cha ADC Mh Queen Cuthbert Sendiga leo hii ameahidi kujenga chumba Cha kuhifadhia maiti haraka sana katika hosp ya wilaya ya Arumeru (Patandi) endapo atapatiwa nafasi...
Wakazi wa Bukoba, naomba muelewe kuwa boss hanuniwi.
Kuendelea kuuchagua upinzani ni kuendelea kwa hiyari yenu kabisa kujitenga na maendeleo.
Jifunzeni kuenda na uelekeo wa upepo. Amkeni...
Kumekuwa nadharia kuwa watu wengi tunaoshinda mitandaoni aka wazee wa keyboard hatuna muda wa kwenda kupangana na mistari kwa ajili ya kuchagua viongozi wetu wawe wapinzani wawe chama tawala...
Bado siku chache tuifikie 28 Oktoba 2020 ambayo itaamua Tanzania inachukua mlengo gani wa kisiasa na kiuchumi.
Hivi ndivyo inavyotakiwa kupiga kura kwa kuweka alama ya Vema kumchagua Rais wa...
Nimeona Video clip inayomwonyesha Mgombea Ubunge wa CHADEMA Nyamagana (John Pambalu) akishtukia uwepo wa kituo Feki/Bubu/Hewa Jimboni humo.
Namba ya utambulisho wa Kituo hicho haikuwepo kwenye...
Niliwahi kuuliza humu JF kuhusu Wasifu wa Dkt. Mahera ambaye ni Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi , lengo la swali lile lilikuwa kufahamu uwezo na weledi wake na nadhani sasa mmeanza kujua...
Jina lipo vizuri limenyooka hakuna konakona.
Nasema tukutane dimbani tarehe 28. Nimeongea na mtendaji tumekubaliana kura yangu isiguswe wala isichezewe. Ameniuliza kama nimeshafanya maamuzi...
UTANGULIZI:
¶• Nianze kwa kutoa FACT CHECKS zifuatazo:
FACT No. 1; Ni wazi kuwa uchaguzi wa mwaka huu katika ngazi ya Urais atakuwa aidha Tundu Lissu (CHADEMA) ama John Magufuli (CCM)...
"Jumla ya mawakala wa chama watano wamefariki katika hekaheka za kukimbizana na haya marekebisho yaliyotolewa usiku na asubuhi kuambiwa sasa hamuapishwi hapa mnatakiwa mkimbilie kwenda kuapishwa...
Mkurugenzi wa mashtaka nchini Tanzania (DPP) Biswalo Mganga amesema yeyote mwenye lengo la kuvuruga amani ya nchi atashughulika bila kujali dini, jinsia wala cheo chake.
Biswalo ameeleza hayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.