Habari wakuu,
Nauliza kama ulijiandikisha mkoa flan labda Dar , Muda wa uchaguzi ukakukuta na majukum mengine labda Dodoma.
Unaruhusiwa kupiga Kura ya uraisi au mpaka uende kituo...
Wooote wanaojihusisha katika usimamizi wa Uchaguzi Mkuu wa 2020 kutamka neno HAKI imekuwa ngumu mno kama kutamka tusi na nguoni au kukufuru, lakini wamejikita kwenye neno AMANI na wako radhi...
Ikiwa ni siku saba zimebaki kuelekea uchaguzi mkuu, mgombea wa Urais kupitia CCM Mhe. Dkt. John Magufuli, amewataka Watanzania kujitenga na propaganda za ubaguzi zinazoenezwa na baadhi ya...
Katibu Mkuu na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini, Ndugu Ado Shaibu amekamatwa na Polisi ili kuzuiwa asihudhurie Mkutano wa Tundu Lissu unaofanyika Jimboni Kwake.
Ndugu Ado Shaibu...
Ndugu na jamaa wanaotarajiwa kufanya safari ya kuja Zanzibar au kwenda Bara mnapaswa kufanya safari zenu mapema kabla ya wiki ijayo ya tarehe 28.
Mkumbuke siku hiyo hakutakuwa na chombo...
WAGOMBEA wawili wa kiti cha Ubunge wa Chama cha ACT-Wazalendo kupitia majimbo ya Kibamba jijini Dar es Salaam na Kyerwa mkoani Kagera wamewajia juu viongozi wa chama hicho kutokana na kauli yao ya...
Mgombea Urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA amesema yeye sio wa kwanza kumtumia mwanasheria au wakili ambaye ni raia wa Uingereza.
Amejibu hivyo alipoulizwa kuhusu kutumia...
Tunawasoma watu maarufu waliopingana na uonevu wa wakoloni wakatuletea ukumbozi. Waliofanya hayo walianza kwenye sanduku la kura 1958 na 1961 wakaingia ikulu na mzungu akafungasha virago.
Toka...
Polisi watumia Mabomu ya Machozi kuvuruga Mkutano wa @ACTwazalendo ulokuwa ukifanyika katika Kiwanja cha Legeza Mwendo Kata ya Milola Jimbo la Mchinga.
Mgombea wetu, Ndugu Syprian Mtotomwema...
Habarini wenzangu, kama tuonavyo mambo ndio yanaelekea mwishoni, Tumejiandaaje pale Mawasiliano yakizimwa?
Yaani JF, WhatsApp, Facebook, Insta, Telegram, Signal, SMS zikawa inaccessible.
Njia...
Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila, amesema serikali ya mkoa huo imejipanga kukabiliana na vijana 150 walioandaliwa kila Kata na vyama vya upinzani kwa ajili ya kufanya vurugu kwenye vituo...
Kwanza niseme waziwazi kuwa mimi namuunga mkono Tundu Antipas Lissu kuwa ndiye mgombea ninayeamini anaweza kumng'oa John Joseph Magufuli na ndiye nitakayempigia kura.
Lakini pamoja na hayo lazima...
MBOWE ANAWEZA KUPATA FEDHEHA UCHAGUZI HUU
Na Thadei Ole Mushi
Mwaka huu Mh Mbowe kabla hata ya Kampeni kuanza alifanya mkutano mmoja kwenye Jimbo lake la Hai maeneo ya Tambarare akaulizwa Swali...
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imewataka wagombea wanaowania nafasi za kuchaguliwa kupitia Uchaguzi Mkuu wa rais, wabunge na madiwani, utakaofanyika wiki ijayo waache kuwa na matokeo mifukoni...
Kura yangu inakupa hakikisho la kula miaka 5 bila bugudha yoyote ni contract yangu na wewe kiongozi hivyo thamani yake ni kubwa kuliko dhahabu na almasi.
Nitapiga kura yangu, nitailinda kura...
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na Masista wa Bikira Maria of Kilimanjaro (Sisters of our lady of Kilimanjaro) Moshi mjini mkoani Kilimanjaro...
Mikutano mingi ya Chama cha Mapinduzi inapomalizika eneo la tukio watu wenye uniform za chama upotea au kuzibadilisha na hivyo kutoonekana wakiwa wamezivaa kurejea makwao.
Miaka ya nyuma mtaani...
I first came to Tanzania over 30 years ago to volunteer as a doctor, and that experience instilled in me a deep and lasting affection and respect for Tanzania and the Tanzanian people. It was the...
Kwenu Masheikh na wahadhiri wetu
Nawasalimien Assalam Aleikum.
Jana mmefanya press conference, mmezungumza na kutoa kauli yenu kuhusu hatua ya Sheikh Ponda kusimama na kuwataka Waislamu na...
Rais Magufuli amesema kuna watu wanadai anamchukia Mrisho Gambo na kwamba alimfukuza kazi ya mkuu wa mkoa wa Arusha lakini hiyo siyo kweli.
Gambo alinifata akaniomba agombee ubunge ili aiokoe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.