Zikiwa zimebaki siku 3 kabla hatujaingia tarehe 28.10.2020 siku ya kufanyika kwa uchaguzi Mkuu Tanzania, nadiriki kusema kuwa nchi naona inamtaka Lisu. Nimezunguka Mikoa 25 ya Bara na 3 ya...
TLP leo imemlaki Magufuli katika eneo la Himo jimboni Vunjo.
Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha TLP Mzee Agustino Lyatonga Mrema
Akizungumza mara baada ya Rais kumpa nafasi ya...
Fellow countrymen when you see wrong or inequality or injustice, speak out, because Tanzania is your country. This is your democracy and so make it, protect it and pass it on. Democracy is not a...
Wanabodi habari ya majukumu?
Nipo naangalia taarifa ya habari ya ITV naona leo hakuna taarifa ya mikutano ya Lissu. Je, leo Mh Lissu hakufanya mikutano?
ITV ni vizuri muwe mnatupa taarifa mapema...
Ndugu zangu,
Ukisikiliza yanayoendelea ndani ya ACT na CHADEMA kuhusu suala la Wagombea urais Muungano na Zanzibar utacheka sana na utagundua dhahiri kuwa hakuna upinzani Tanzania bali wasaka...
BIDHAA INAPOKUWA NGUMU KUUZIKA UNATAFUTA MBINU MPYA ZA UUZAJI
Leo alfajir natoka msikitini rafiki yangu Abdallah Kageta ambae ndiyo mwadhini wa sala ya Alfajir hapa msikitini kwetu huwa tuna...
Kwa hakika ni WanaCCM wachache sana wanaojua kuwa CHADEMA NI MSINGI lilikua ni zoezi operation ya chama nchi nzima na lilikua na lango la kuhakiki wanachama wake nchi nzima ngazi zote kuanzia...
Jeshi la Polisi limemkamata mgombea ubunge wa jimbo la Kawe Dada Halima Mdee na sasa wanakwenda naye kumpekua nyumbani kwake Mbweni.
Halima Mdee alikwenda kuripoti Polisi juu ya Matukio ya...
"Unapokwenda kulinda kura aga kabisa nyumbani kwako, uhakikishe familia yako umeiacha vizuri kwa maana utakutana na wenye kazi yao ya kulinda kura na unanaweza usirudi nyumbani ukaenda gerezani au...
Mh. Tundu Lissu leo atakuwa na Mikutano mitatu Jimbo la Singida Magharibi ambayo ni;
1: Sepuka,
2: Iglanson na
3: Ihanja.
Wakati wa Mabadiliko ni sasa.
Yani yule mwingine leo anafanya mkutano...
Tarehe 28 hiyooo imefika,
Misimamo ya watanzania haitabiriki,
Hii inatokana na kukosa uhuru wa kuongea,
Watanzania wakikutana kwenye vijiwe wanamsifia Magufuli,
Ukimdadisi mmoja mmoja kwa...
Nimemsikia Tundu Lissu kupitia East Africa Radio kwamba leo ataendelea na kampeni mkoani Ruvuma kisha wataelekea Dodoma, Singida, Kilimanjaro, Tanga na kumalizia Dsm siku ya mwisho.
Nauliza tu...
Membe yuko live anafanya mahojiano na redio Tehran mida hii na ameulizwa kuwa kuendelea kwake na harakati za kampeni haoni kama zinamuhujumu Lissu na upinzani kwa ujumla?
Membe amejibu kwa kuwa...
Tumsifu Yesu Kristu!
Bado siku nne tu taifa hili linaingia kwenye uchaguzi ambao utaamua hatma ya wananchi wake ambao miaka mitano iliyopita walichagua viongozi wao, lakini kutokana na katiba ya...
Kati hali isiyo ya kawaida, Viongozi wa CCM waambulia watu 6 katika kikao kilichotegemewa kuwa na isiyo ya kawaida. Kwani TPDC peke yake in Kaya 72 na Mikocheni B ikiwa na watu ,5000
Mwezi...
Nawaomba wasimamizi wa uchaguzi mliowahi kutishwa kutimuliwa kazi eti msimtangaze wapinzani kwa vile mmepewa magari, mmepewa na mishahara. Toeni shaka hakuna mtu mwenye mamlaka ya kumfukuza DED...
Jumuiya ya viongozi wanawake kutoka vyama mbalimbali vya siasa, wamelaani tabia ya baadhi ya wanasiasa nchini kutoa lugha za vitisho.
Wamesema tabia hiyo inaweza kusababisha uvunjifu wa amani...
Wadau nini kimetokea?
Ukijaribu tuma ujumbe mfupi wenye maneno Tundu Lissu au John Magufuli hauendi ila jumbe nyingine zinaenda....
Jaribu kwa Airtel, Vodacom
Mgombea wa urais Dr. John Pombe Magufuli amewaahidi wakazi wa Karatu kulala wilayani hapo alipokuwa akiendelea na kampeni za kutafuta urais mkoani Arusha.
Rais Magufuli ametoa ahadi hiyo na...
Mgombea urais kwa tiketi ya chama cha wananchi CUF Profesa Ibrahim Lipumba, amesema atakapopata ridhaa ya kuwaongoza Watanzania, serikali yake itashirikiana na Jumuiya ya Umoja wa Kimataifa ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.