Nilifika nchini Tanzania kwa mara ya kwanza zaidi ya miaka 30 iliyopita kufanya kazi ya kujitolea kama daktari na uzoefu huo ulinifanya nijenge heshima na mapenzi ya kina na ya kudumu kwa Tanzania...
Leo hii Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na mgombea urais kupitia CCM bila ya huruma yoyote na kwa zaidi ya dakika 23 alimkaba Mbowe akiwa chini na kumwekea goti shingoni kwa muda wote...
Nimeona Mfano wa karatasi ya kupigia kura za Urais inayosambaa mitandaoni na ambayo inadaiwa kutolewa na Tume ya Uchaguzi (NEC).
Nina swali dogo tu ambalo naomba nijibiwe. Huu mpangilio wa Majina...
Kuelekea Uchaguzi Mkuu nimekua nikifuatilia matangazo ya taarifa za habari kwa vituo vyote vya TV za hapa nyumbani nakushangazwa na Kituo cha Television cha Star TV cha jijini Mwanza.
Kimekuwa na...
Awali ya yote ningependa kwa unyenyekevu mkubwa kumshukuru mwenyezi Mungu wa mbinguni na mwingi wa rehema kwa kutuwezesha sisi watanzania kuwa na kiongozi wa aina yake katika nchi yetu.
Rais...
Hizi siku chache zilizobaki, unaweza kuzitumia vizuri kwa kuwaongezea mishahara watumishi. Hawa ni watu wasio na kinyongo na huridhika kwa kitu kidogo tu.
Ili kupunguza 'technicalities'...
Kama kuna jimbo ambalo CHADEMA wanaliwinda kwa udi na uvumba basi la Meatu lipo juu kwenye list!
Ni jimbo ambalo lilikuwa chini ya CCM likiwakilishwa na mfanyabiashra mwenye kiwanda cha vintwaji...
Kuelekea uchaguzi wa tarehe 28 naomba Chadema na ACT Wazalendo mchukue tahadhari muhimu
1) Kuhusu mawakala wenu, wajiamini, wawe makini na matukio yote, wawe wenye uzalendo maana pesa nyingi...
Sheria za Tanzania zinasemaje kuhusu kufanya shughuli za serikali wakati wa kampeni? Je, sheria inakubali au hakuna mwenye uthubutu kukemea?
Sheria inasemaje kuhusu ahadi ya ajira? Hii siyo...
WATU WA MUNGU TUTAMCHAGUA TUNDU LISU.
Na, Robert Heriel
Sisi watu wa Mungu, wapenda haki, wakataaji wa dhuluma, wakataaji wa utesaji, wapinga umungu mtu, wapenda uhuru, sisi tunaopenda umoja...
Kawaida na hulka ya binadamu ni kutamani kusikia au kuona kitu kipya kuliko cha zamani, wazungu wanasema test the difference.
Tangu kampeni zianze CCM wamekuwa wakipoteza muda mwingi kuelezea...
Mgombea Ubunge katika Jimbo la Kibamba kupitia tiketi ya chama cha CCM Ndg. Issa Mtemvu kwa uchunguzi nilio ufanya ni kwamba wananchi wa jimbo la Kibamba wanakuhitaji sana ili uweze kutatua...
Mbunge mteule Viti Maalumu Mkoa wa Kagera (CCM) Regina S Zachwa amewataka wanachama wa CCM, wananchi kwa ujumla kurudisha Shukrani kwa Rais Magufuli kwa kumchagua kwa kura nyingi za kishindo...
Salaamu, Kwanza niwapongeze vyama tajwa kwa mwitikio mkubwa vinao upata kutoka kwa wananchi kwa muendelezo wa kampeni zinazoendelea tofauti na mategemeo ya watawala.
Wote tunajua maelekezo...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha UPDP amesema kuwa Serikali yake itaandaa Muswada punde baada ya kuingia Bungeni kwa ajili ya unyanyasaji na udhalilishaji wa...
Wakuu,
Niko hapa Korogwe ambapo Kesho tutakuwa na kampeni ya mkoa kwa mgombea wa CCM ndugu Magufuli.
Wananchi wamejitokeza kwa wingi sana kumsalimia barabarani. Watu ni wengi mno. Nimeamini kuwa...
SUALA LA SIMU KWA MAWAKALA: TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI MSIHARIBU UCHAGUZI WA WATANZANIA!
Taarifa kuwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi itazuia Mawakala wa Vyama kuingia na simu zao katika vituo vya...
Tutaunganisha sera za vyama vyote vya siasa ndani ya siku 100 za kwanza madarakani
Mgombea Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Wakulima Tanzania, AAFP, Seif Maalim Seif...
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dkt. Wilson Mahera amewashauri waangalizi wa ndani wa uchaguzi kuwa na fedha ili wawe na uwezo wa kufanya kazi hiyo badala ya kutegemea wafadhili.
Ametoa...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha UPDP, Twalib Kadege, amesema kuwa ikiwa Watanzania watampa ridhaa ya kuongoza nchi watahakikisha vyama vyote vinapata ruzuku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.