Chama cha Mapinduzi (CCM) kimetoa siri kuhusu wagombea wake kutoenguliwa na Tume ya Uchaguzi kwenye uchaguzi huu mkuu kwa kigezo cha kishindwa kujaza fomu. Aliyefichua siri hiyo alikuwa ni katibu...
Mzee Daniel Wambura askari mstaafu mwenye umri wa miaka 90 ameapishwa jana kuwa wakala wa CHADEMA kwenye Uchaguzi Mkuu, uko katika Jimbo la Tarime Mjini.
Serikali ya China imeitaka USA kutoingilia maswala ya ndani ya nchi nyingne ikiwemo uchaguzi wa Tanzania kwa kuwa serikali ya Tanzania inaweza kusimamia vema uchaguzi
==
CHINA YAIAMBIA MAREKANI...
Mabibi na mabwana, heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada.
Wahenga walisema staajabu ya Mussa lakini siyo ya Firauni.
Kwa kweli binadamu tuko tofauti. Huyu bwana alikuwapo siku Mh. Lissu...
Nimesikitishwa na kitendo cha TBC1 kutumika kumfanyia kampeni mgombea Urais wa CCM.
Kumekuwa na vipindi kadhaa vya kumpigia kampeni Mgombea Urais wa CCM lakini kitendo cha kuweka vipindi kadhaa...
It might be a memorable moment to remember!
Mgombea urais mwenye ushawishi mkubwa kwa tiketi ya CDM ametua mjini Karatu muda wa jioni akiwa kachelewa. Na kwa kuheshimu sheria za uchaguzi ameamua...
Mheshimiwa kwanza pole kwa uchovu wa safari za kampeni. Napenda kukupongeza kwa elimu mujarabu unayoitoa kwa wananchi jinsi ya kujitambua na kusimamia haki zao.
Nampenda kukuomba uongeze hizi...
Wakuu, heshima kwenu.
Kuna baadhi ya nchi nimeona wagombea wanapokuwa wanawania nafasi ya cheo kikubwa kama uraisi, huwa wanapewa nafasi ya kufanya mdahalo. Mdahalo kwa wagombea unazo faida...
Mgombea Ubunge wa Kilwa Kusini kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Selemani Bungara ‘Bwege’ akifuatilia kwa makini hotuba ya Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Kassim Majaliwa wakati alipomuombea kura mgombea...
NITASIMAMIA MAENDELEO YA KIUCHUMI NCHINI "PROF.LIPUMBA"
Lindi
Serikali ya umoja wa kitaifa chini ya CUF itajenga uchumi wa kisasa wenye ushindani wa kitaifa na kimataifa na utakaohimili...
Aliyewahi kuwa Mgombea wa CCM Moshi Mjini na bilione Davis Mosha amwombea kura, Rais Magufuli, Priscuss Tarimo na Juma Raibu
Kada wa Chama cha Mapinduzi na Aliyekua Mgombea wa Ubunge Moshi...
Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi, Dkt. Magufuli yupo mkoa wa Pwani eneo la Bagamoyo na anaeongea sasa ni aliyekuwa mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete. Pia kwenye mkutano wa leo yupo...
Habari waugwana wa JF
Tupo kwenye wakati joto la uchaguzi limepanda kweli, wapo watu bado hawajapata mwafaka nani wampe kura zao wapo kwenye Tadhimini, hili ni kundi dogo sana
Lipo lingine la...
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amewalaumu Tume ya Taifa ya Uchaguzi kwa vifo vya mawakala watano wa chadema katika ajali ya gari iliyotokea barabara ya Molo – Sumbawanga
Mnyika amesema...
Kweli Mungu anatupenda sana Watanzania.
Sisi tunaolipwa mshahara mdogo zaidi ndiyo wasimamizi wa vituo vya kupiga kura,
Sisi tunaolazimishwa kuchangia mwenge kwa kukatwa kwenye mishahara yetu...
WanaJf, Salaam!
Naona tume ya uchaguzi nchini Tanzania NEC imepewa meno makali ya kisheria ili kuleta ufanisi ktk uchaguzi mkuu utakaofanyika nchini 28 Oktoba 2020. Hata hivyo nashauri yafuatayo...
Akizungumza Jana mjini Mtwara bwana majaliwa amedai kuwa "uchambuzi wa kimazingira umekamilika na punde tukiingia madarakani tutaanza ujenzi wa reli mpya toka bandari ya Mtwara hadi liganga na...
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imewaasa viongozi wa kidini kutojihusisha na kampeni za kisiasa kwa kuwaambia waumini wao kuhusu viongozi wa kuwachagua bali wabaki kuhubiri amani, upendo na umoja...
Tuchague Kukomesha kushindishwa Njaa watoto wetu Shule za Serikali.
Wagonjwa wanaolazwa Mahospitali ya Serikali wapate huduma ya Chakula kwa gharama ya Serikali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.