Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge ametoa onyo kali kwa watu au vikundi vya watu vilivyopanga kufanya fujo siku ya uchaguzi ambapo ameeleza kuwa vyombo vya ulinzi na usalama...
0 Reactions
41 Replies
2K Views
Kuna tofauti kubwa sana iliyojitokeza jinsi tulivyo ripoti taarifa za uchaguzi za 2015 na hali ya sasa tunavyo endelea kuripoti. Kwanza tumetawaliwa na woga usiokuwa na sababu, na woga huu...
4 Reactions
48 Replies
3K Views
Askofu Gwajima amesema yeye amekuwa akiisaidia jamii kabla hata hajawa mwanasiasa kwa mfano kuwachimbia Waislamu visima vya maji katika misikiti ya Salasala na Makuti. Pia amewachimbia visima...
3 Reactions
70 Replies
5K Views
1. Jambo la kwanza usifanye fujo kituo cha kupigia kura au kupiga makelele,kuzozana nk ile ni sehemu ya kupanga msitari na kupiga kura yako kwa amani na utulivu 2. Kazi ya kujumlisha matokeo ya...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Tunapoelekea mwishoni mwishoni kuelekea uchaguzi mkuu hapo tarehe 28.10.2020 Ni bora tujikimbushe namna ya upigaji kura wetu. Kazi yetu kubwa sisi wapiga kura ni kwenda kuwapigia kura wagombea...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Mufti Mkuu leo amepewa heshima ya kufungua kwa Dua mkutano wa kampeni wa mgombea urais wa CCM na kabla ya kuanza dua amesema ana mambo mawili; 1. Kukanusha kile kinachodaiwa kuwa Waumini wa Dini...
80 Reactions
152 Replies
15K Views
KAMPENI ZA MAGUFULI MKOANI KILIMANJARO Nileteeni Madiwani Kama Juma Raibu Leo katika kampeni zake zinazoendelea Mkoani Kilimanjaro Rais na Mgombea wa CCM Dkt John Pombe Magufuli wakati...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Nimesikitishwa na kitendo cha Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuniandika kwamba Mimi sio mtu mzima licha ya kwamba nimezaliwa mwaka 1958. Hebu angalia picha hi ya orodha ya wapiga Kura. Je hizi ni...
1 Reactions
0 Replies
588 Views
Tume imeruhusu vitu viwili vya ajabu. Mosi ni kuruhusu watu kutumia vitambulisho mbadala (Pasi ya kusafiria na leseni ya udereva). Pili ni kuruhusu mpiga kura kurudia kupiga tena kura iwapo...
7 Reactions
48 Replies
5K Views
Wana JF habari. Mi sio mwanasiasa Ila Uchaguzi tunaoshiriki ni wengi japokuwa wengine huwa hawapigi kura Ila maneno wanayo mengi kwenye vijiwe. Kuelekea tarehe 28.10.2020 siku ya jambo la watu...
7 Reactions
180 Replies
13K Views
Mgombea wa Urais anayetarajiwa kupata ushindi mkubwa Tundu Lissu leo ataitetemesha Chato na viunga vyake katika kampeni zake zilizoivuta Dunia. Taarifa kutoka ndani ya Team yake ya Kampeni kabla...
121 Reactions
984 Replies
87K Views
Ndugu Polepole nakumbuka uliitisha vyombo vya habari na kutoa shutma dhidi ya Mgombe wa Urais kupitia CHADEMA ndugu Tundu A. Lissu kuwa "sio mwenzetu" na uliahidi kumuanika hadharani katika siku 7...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
CCM mmetia aibu ya mwaka huko Bagamoyo, Pwani jana na leo huko Korogwe, Tanga. Shule zilifungwa na kuamuru wanafunzi na walimu wao kuhudhuria mikutano ya kampeni ya Magufuli. Nawaulizeni CCM...
45 Reactions
105 Replies
8K Views
Bila kupepesa macho wala kutikisa masikio, naingia kwenye mada moja kwa moja. Katika andiko hili nimebainisha kinagaubaga mambo ambayo yatamuangusha Magufuli na kumuinua Hon Dr Tundu Antipas Lissu...
34 Reactions
114 Replies
9K Views
Masheikh wakanusha kauli ya Issa Ponda kuwa waislamu walikubaliana kumpigia kura Lissu. Sheikh Ponda Issa Ponda alisema hayo alipokuwa Dodoma akimnadi mgombea Urais kupitia tiketi ya CHADEMA...
9 Reactions
254 Replies
26K Views
Polisi Kigoma wanawashikilia watu watano (Viongozi wa Chadema) Kata ya Gwanumpu wilayani Kakonko kwa kukutwa na vitambulisho 14 vya kupigia kura kinyume cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi. RPC...
1 Reactions
53 Replies
6K Views
Mwaka 2020 utakumbukwa kama mwaka ulioshuhudia kampeni zenye ushindani mkubwa na msisimko wa aina yake katika jimbo la Vunjo Mkoani Kilimanjaro. Jimbo la Vunjo limekuwa kama jimbo la North East...
15 Reactions
79 Replies
9K Views
Mwaka 2015 wako baadhi ya wabunge wa CCM waliopoteza majimbo yao kutokana na mafuriko ya Lowassa, wabunge wengi wa Kaskazini hawakufanikiwa kurudi tena bungeni kutokana na mafuriko ya Lowassa. Na...
15 Reactions
58 Replies
7K Views
Mgombea urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia Makini amesema wakiingia madarakani wataboresha huduma za afya ili kupunguza vifo vya wajawazito. Amesema...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom