Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa ufafanuzi wa utaratibu wa upigaji kura katika uchaguzi mkuu na kusema mpiga kura aliyeharibu kwa bahati mbaya karatasi ya kupigia kura akiwa kwenye kituturi...
Jiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho.
Mgombea Urais wa...
“Wagombea wanaambiwa Mawakala wataapa kwenye Tarafa nk. Hakuna ngazi ya Tarafa kwenye Uchaguzi. Mawakala wanapaswa kuapa ama kwa Msimamizi msaidizi ( kwenye Kata ) au kwa Msimamizi wa Uchaguzi (...
Tofauti na mwaka 2015 kampeni za mwaka huu zimeongeza mambo muhimu kwenye ilani za vyama.
Ikumbukwe kuwa ilani ya CCM kwenye kitabu chenye kurasa zaidi ya 350 ndio iliyosheheni mambo makubwa na...
Najaribu kuwaza Kama tokea 2015 Rais Magufuli angeruhusu shughuli za kisiasa kuendelea Kama ilivyokuwa kipindi Cha nyuma, na hivyo Wapinzani kupata fursa ya kufanya mikutano ya kisiasa Mara kwa...
Mkutano wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu katika viwanja vya Bank, Mombo - Korogwe Vijijini. Mheshimiwa Tundu Lissu akiongea na wananchi wa Mombo ametoa maneno ya Utangulizi.
Watu wa Korogwe hapa sio...
Miradi iliyotekelezwa na inayotekelezwa kwa mapato ya ndani kwa mwaka wa fedha 2019/2020 katika halmashauri ya wilaya ya Mbeya ni pamoja na ujenzi wa stendi ya Mbalizi kiasi cha shilingi milioni...
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupita Demokrasia Makini, Cecilia Mmanga amesema vijana wawe kama marasta, wasisubiri ajira za serikali.
Amesema hayo alipoulizwa kuhusu namna...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza kuwa matokeo ya Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 28 yatatangazwa Da es Salaam na sio Dodoma kama ilivyotangazwa awali
Dodoma ni Makao Makuu ya Tume hiyo...
John Mnyika: Jitihada za mawasiliano na NEC juzi, jana na leo mpaka muda huu kudhibiti hujuma kwenye uapishaji wa mawakala zimekwama maeneo mengi. Nitazungumza vyombo vya habari HQ saa 8 mchana...
CCM wamekuwa wakijinasibu kwamba watashinda kwa kishindo,lakini mbinu pekee wanayofikiria kuitumia ni hii ya mawakala.
Zipo namna mbili za kutumia, mosi ni kuwatimua mawakala wote na vituoni...
Tume ya uchaguzi zipo taarifa za wakurugenzi kutoa taarifa zinazokinzana za vituo, muda na tarehe kuapishwa mawakala.
Tokeni adharani mweke ratiba wazi watu wasome nakuteleza. Itashangaza kusikia...
Mgombea Urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu amesema ili uchaguzi uwe huru na haki ni lazima mawakala wote waapishwe.
Amesema hayo alipokuwa kwenye mkutano wa...
Kwa habari zinavyomiminika maeneo mbali mbali mda huu ni kama vile mawakala wa CCM wameshawahi sehemu husika kusubiri kiapo ila nyie mnasubiri ile saa tano asubuhi ya Na inaonekana kuna...
Mgombea Urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Dkt John Magufuli ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano anayemaliza muhula wake wa kwanza amesema hakuzaliwa Rais.
Amesema Urais...
Huku siku zikizidi kuyoyoma kwa kasi kubwa kuelekea tarehe ya kupiga kura , Mh Lissu naye anaendelea kuchanja mbuga hapa na pale ili kuomba kura kwa wananchi .
Leo anaendelea na mikutano yake...
Huu ndio ukweli ambao wapinzani tunapaswa kuutafakari na kuchukua hatua sahihi. Wameengua wagombea wa upinzani tukaa kimya, wakatuchukila poa, lakini kama tungesimama imara, leo hizi figisu za...
Wachungaji wanateseka mifugo inapata tabu.
Tundu Lissu sikiliza, kero zetu tunakulilia, maji tuna nyanyasika.
Sisi wakina mama Tundu Lissu tunakuahidi kura zetu za Urais, kiti utakikalia.
"Lakini TFF lazima niifute kwanza, ninawaomba Watanzania mnipe ridhaa yenu nikaifute TFF ndio inayotuletea migogoro, hizi timu zetu zisingekuwa na migogoro, mara migogoro na wawekezaji mara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.