Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally amesema Wabunge na Madiwani wa CCM kutoenguliwa ni suala la kutii Sheria na kufuata Sheria.
Amesema, "Uchaguzi katika nchi zote unasimamiwa na Sheria na...
Leo Dkt Magufuli alimtafuta waziri Jaffo kwenye simu lakini hakupatikana na kuamua kumtafuta katibu mkuu na mazungumzo yao yalikuwa hivi.
MAGUFULI: Katibu mkuu hujambo?
NYAMHANGA: Sijambo...
Na, Sam Ruhuza,
Leo Mawakala wa vyama vya siasa kwenye uchaguzi Mkuu 28/10/2020 wanatakiwa kuapishwa. Sheria inasema wazi wataapishwa na msimamizi wa uchaguzi wa Jimbo ambaye ni Mkurugenzi wa...
UJENZI WA BOMBA LA MAFUTA TOKA UGANDA MPAKA TANZANIA
Rais Yoweri Museveni na Raisi JPM wamezindua ujenzi wa bomba la mafuta la Afrika Mashariki kutoka wilaya ya Hoima, nchini Uganda hadi bandari...
Ni Rais Dkt John Magufuli pekee mwenye uwezo wa kudhibiti haya.
1.Kuondoa wavivu na wasiopenda kufanya kazi
2. Kuondoa mafisadi
3.Kuondoa wala rushwa
4. Kuondoa watakatishaji wa fedha za miradi...
Muda unayoyoma wiki ya lala salama ndiyo hiyo tunaianza.
Kwa hakika hatima yetu kama taifa ni dhahiri kabisa kuwa ipo mikononi mwa tume zetu za uchaguzi yaani NEC na ZEC.
Maamuzi sahihi ya NEC...
DKT. MAGUFULI AMSIFIA UTENDAJI WA ANNA MGHWIRA
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM ambaye pia ni Rais wa Tanzania amesifu utendaji wa Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Anna...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amesema soko la Mabibo, Maarufu kama Mahakama ya Ndizi litakuwa chini ya wananchi.
Ameyasema hayo alipokuwa katika mkutano wa kampeni...
Huu ni mkutano wa kampeni wa mgombea wa CCM kwa nafasi ya ubunge Mbeya Vijijini ndugu Oran njeza.
Huyu mzee mikutano yake huwa haina watu kabisa na kuna baadhi ya sehemu ameshaambulia zomea zomea...
Amani iwe nanyi wadau!
Kwa wapenda mabadiliko wenzangu napenda kuwasalimu kwa furaha sana. Furaha Hii ni kwa sababu Kuu kuwa ile siku yetu muhimu i karibu sana. Tumebakiza siku Saba watanzania...
Kiukweli baba askofu Dkt. Rashid Josephat Gwajima anastahili kuchaguliwa na kutuongoza wana Kawe.
Kama alivyosema Dkt. Kikwete kwamba CCM ni chama cha Dini zote, Makabila yote, Taaluma zote na...
Kuelekea Mwisho Mwa Kampeni za Uchaguzi Mkuu Hapa Tanzania Kumekua na Matukio mbalimbali ya Wagombea Urais ,Ubunge , Udiwani huku kila mmoja akitamba Kuchukua Dola Huku Chama Kikongwe CCM...
Nimetoka kusikiliza mahojiano ya mgombea urais wa JMT kupitia tiketi ya chama cha ACT-Wazalendo muda mfupi uliopita kwenye kituo cha DW. Mtangazaji katupa maswali ambayo nilikuwa nikitamani sana...
Habari wana jf, maalim seif ameongea na waandishi wa habari na kuzungumzia suala la Membe huku akimtolea maneno makali sana.
Nimeshindwa kushangaa, leo hii maalim seif unasema Membe katumwa...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema haina taarifa wala haijapokea maelezo rasmi ya kuwapo mgombea wa urais wa Muungano, aliyejitoa kushiriki uchaguzi mkuu wiki ijayo.
Akizungumza na wadau...
Mgombea Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya CCM, Askofu Josephat Gwajima amesema ana jina la kiislamu ambalo ni Rashidi Gwajima.
Amesema alipata jina hilo baada ya kutelekezwa kwenye msikiti...
Mauaji yametokea Njombe kijana Mlelwa kauawa Chadema hawajalaani au kutolea kauli kuwataka wanachama wao kuheshimu sheria za nchi na kanuni za uchaguzi ili kudumisha amani.
Mauaji pia yametokea...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. John Magufuli ameahidi kufanya Kituo cha Afya cha Mwanga kuwa hospitali ya Wilaya.
Kwa sababu hiyo kutakuwa na hospitali mbili...
Tanzania ina wastaafu wengi sana ambao wanahudumiwa kwa kodi za Watanzania wote bila kujali dini Wala vyama vya siasa.
Wastaafu wetu hawana budi nao kuwahudumia walipa Kodi Hawa kwa kwa...
Mwisho wa ubaya ni aibu. Kila chenye mwanzo kina mwisho. Mwisho wa kurukaruka na mauno yenu ni 28/10/2020.
Kumbukeni CCM ni ileile. Haijabadilika. Ninyi si wa kwanza kudhulumiwa na CCM. Msipodai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.