Kilimo:
Chama hicho kinachoshiriki Uchaguzi Mkuu kikiwakilishwa na Mgombea wa Urais Philipo Fumbo kimeahidi kuweka trekta kila kijiji ambalo litakuwa chini ya ofisi ya Afisa Mtendaji
Matrekta...
Nikiri wazi sikuwa nimeisoma ilani ya Chadema hasa baada ya kuona mgombea wao hana mwelekeo mnzuri na kuisadia nchi hii. Leo baada ya kumsikia ndugu Polepole nilishtushwa na kipengere kinachohusu...
Ukweli wa Mambo Magufuli anashinda Kwa kishindo ..itoshe kusema kwamba Hana Mpinzani Kwa Tanzania,Afrika na Dunia
Uwezo wake wa kufanya kazi kila mmoja anaujua jinsi alivyo mtekelezaji kuliko...
Ninawiwa kuandika waraka wangu binafsi kwa waTanzania kuhusu umuhimu wa kupiga kura na kuchagua mgombea ngazi zote kwa kuzingatia vigezo vifuatavyo:
1. Binafsi mimi nitapiga kura lakini...
Ndugu zangu, bado wiki moja tu ya kufanya maamzi sahihi kwa yule aliyekuwa anatuona watu wa kawaida.
Kimsingi sisi ni watu wa juu na tutabakia juu kileleni.
- Alitutumbua nasi twendeni tumtumbue...
Kuna kila dalili kwamba Mgombea Ubunge wa Chadema Jimbo la Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ambaye pia huitwa 'Rais wa Mbeya' huenda akavunja rekodi aliyoiweka mwenyewe 2015, ya kuwa mbunge...
Kufuatia kushindwa kwa Serikali ya CCM kushikwa na kigugumizi cha kuwaamuru wanunuzi woote wa korosho kutekeleza utaratibu wa kusafirisha korosho msimu huu wa 2020/2021.
Kabla ya kuingia kwa...
Huku siku zikiyoyoma kuelekea siku ya Uchaguzi Mkuu, mgombea Urais anayependwa na wengi na ambaye anatarajiwa kushinda kiti hicho kwa zaidi ya 70% Tundu Lissu leo anaendelea na kampeni za kuomba...
Baada ya kuona upepo unazidi kua mbaya na mgombea wa upinzani akisisitiza kulinda kura ili wahuni wasichakachue..na endapo wakichakachua basi raia wataingia barabarani.
Wagombea wa CCM wamekazana...
Kwa mujibu wa tume ya uchaguzi vyama vyote vinatakiwa vipeleke majina ya mawakala wao kwa ajili ya viapo siku saba (7) kabla ya uchaguzi na kesho ndo siku yenyewe ya kuwasilisha majina na viapo...
Wadau, Viongozi na Wachambuzi wa Sayansi ya Siasa nawapa salamu bila kuwasahau wana JF, katika jukwaa hili tupo mchanganyiko kwa taaluma zetu, ninawaomba wale wenye majibu mahsusi yanayohusu...
Kuhakiki taarifa, Mpiga Kura anatakiwa kuwa na Namba ya Mpiga Kura ambayo ipo kwenye Kadi ya Mpiga Kura.
Kuhakiki taarifa weka namba ya mpiga kura (kama ilivyoandikwa kwenye kadi yako ya Mpiga...
Amani ya nchi hii ilikuwa ya thamani mno kiasi kumtaka kila mmoja wetu kufanya yote yawezekanayo kuhakikisha kuwa hatutetereki lilikuwa si jambo la kupuuzwa.
Tume kwa kuendesha uchaguzi wa wazi...
Hii ni baada ya wananchi kukubali Mabadiliko kwa moyo mweupe kabisa.
Utawala wa kisultani wa jimbo hilo unaenda kuangushwa baada ya hongo ya viberiti, chumvi, Sukari na Ulanzi kugonga mwamba...
Tumerudi tena African Court @court_afchpr tunadai kwanini Serikali haitekelezi uamuzi wa mgombea binafsi?, Mtikila amepambana mwisho wa siku ameondoka, tunaendelea alipoishia Mtikila. Serikali...
Huyu Jakaya kikwete Rais mtaafu amenishangaza sana jana kwa kauli yake ya kuishi nyumba ya kupanga na bado ana mkataba na mwenye nyumba.
Kichangia neno katika kupokea nyumba za vingozi mzee...
Habari za Jioni wana Nzengo!
Sasa iko wazi kutokana na umahiri, uwezo, nia na ari aliyonayo Mh Tundu Lissu Mgombea wa Chama cha Demokrasia na maendeleo ktk ngazi ya Urais atashinda uchaguzi huu...
Habari za wakati huu
"Maendeleo ni hatua (Development is a Process) ambayo inalenga hasa kuhakikisha kuna kuwa na jamii bora, iliyostaarabika, yenye furaha na inayopata mahitaji yake yote ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.