Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Mgombea wa Urais wa JMT kupitia chama cha Democratic Party amejisifu kwa kuwa mgombea pekee anayeishi kijijini. Fumbo anaishi katika Kijiji cha Mwakizega, Kata ya Mwakizega, Tarafa ya Ilagala...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Matangazo ya TBC hususani kampeni za Uchaguzi Mkuu ni utopolo mtupu uliokosa weledi na busara za kiutangazaji kama chombo cha umma kinachogharamiwa na kodi za wananchi wote. Tumevumilia sana...
75 Reactions
202 Replies
15K Views
Bishara ya kununua watu kwa ahadi ya madaraka au nguvu ya fedha itabaki kuitwa biashara ya utumwa siku zote. Waasisi wa biashara ya utumwa awamu ya tano Wana kila sababu yakulaumiwa na kukifanya...
1 Reactions
0 Replies
578 Views
Wakuu Kwema? Wengi wetu tumekua tukimsikia Mgombea Urais kwa Tiketi ya CCM, Bw. John Joseph Magufuli akizitoa kauli hizi mbili za "Maendeleo Hayana Vyama" na "Mkinichagulia Wapinzani Sintoleta...
18 Reactions
87 Replies
7K Views
Amueni kwa nia moja kabisa kuwa kupata kwa Tundu Lissu ushindi sio kupata kwa CHADEMA bali kwa Watanzania wote wapenda maendeleo na demokrasia. Adhima ya kuiondoa CCM yenye ukandamizaji na...
7 Reactions
18 Replies
1K Views
Mgombea ubunge jimbo la Lushoto kwa CHADEMA ana ushawishi mkubwa. Kwanza naomba ku-declare interest kwamba mimi ni mwanachama wa CCM. Kwa miaka nenda rudi jimbo letu la Lushoto limekuwa ngome kuu...
24 Reactions
60 Replies
6K Views
Watu wachache wanadhani CCM ya siku hizi huwa inasikia. Toka atoke Mwalimu Nyerere madarakani na baada ya kifo chake CCM huwa haisikii kamwe. Azimio la Zanzibar ndilo lililoleta CCM isiyosikia na...
0 Reactions
0 Replies
769 Views
Ameielezea JamiiForums masikitiko yake akidai vituo viwili vikubwa vya habari nchini vilikataa kwenda kwenye mkutano wake wa kampeni kwa sababu Waziri Mkuu alikuwa na Mkutano katika mkoa huo huo...
0 Reactions
0 Replies
744 Views
Mgombea huyo, Philipo John Fumbo akiwa Uvinza mkoani Kigoma hivi sasa katika kampeni amelalamikia suala la uwezeshwaji wa Wagombea na ofisi ya msajili. Amesema kuwa vyama visivyo na Wabunge...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
MGOMBEA urais kupitia Chama cha UPDP, Twalib Kadege amesema akichaguliwa, atahakikisha kila Mtanzania anapata tiba bure, kwa kuwa ni haki ya kila mwananchi. Alitoa ahadi hiyo kwenye mkutano wa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia Makini Mh. Cecilia Mwanga amesema endapo atapata ridhaa ya kuliongoza taifa la Tanzania atahakikisha watuhumiwa wa makosa ya ubakaji na ulawiti...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kutokana na mwitikio mkubwa wa wananchi kumuuliza maswali Mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Ndg. Tundu Lissu; imebidi apate muda kuyapitia maswali yote (takriban 200) ili kila mmoja ajibiwe...
60 Reactions
148 Replies
17K Views
POLISI mkoani Morogoro wamemkamata mtu aliyetambuliwa kwa jina la Isihaka Exavery (20) mkazi wa Mkundi, manispaa ya Morogoro kwa tuhuma za kuchana picha za mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama...
4 Reactions
73 Replies
5K Views
Hakuna hakuna hakuna, mitaani kote nimefanya survey kubwa Tanzania nzima kwakweli kila kwenye watu mia basi watano ndio watasema CCM imefanya mazuri na yanahesabika. Ila wanaoiponda kwa ubaya...
14 Reactions
50 Replies
4K Views
Heshima sana wanajamvi. Tukubali tukatae CCM ni chama kikubwa, kikongwe, kina uzoefu katika medani ya siasa za Tanzania na wakati wa Mwl Nyerere kilikuwa na mitazamo iliyovuka mipaka ya Tanzania...
29 Reactions
203 Replies
20K Views
Mbona kitaa tuna ULINZI SHIRIKISHI? Kwanini wananchi wasishirikishwe kulinda kura? Kwani Tume ya Uchaguzi si ya kwao? Kitendo cha Nec kupiga makelele kwamba hakuna ruhusa kulinda kura...
2 Reactions
3 Replies
991 Views
Sijui ni upofu au ni chuki binafsi na wapinzani. CCM wanatukana 'mabeberu' bila kukumbuka kuwa bila hawa 'mabeberu' hata huo uchumi wa kati tusingefika. Ni kweli 'mabeberu' wana mabaya mengi...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Ruaaaaaaaaa! Shimbonyi Mangi.[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119] Leo wakazi wa Moshi mjini wameamua kutoa ya moyoni kwa kumsubiri Rais anayetizamiwa na wananchi wengi kuwa Rais , Mhe. Tundu...
63 Reactions
225 Replies
29K Views
Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt. Wilson Charles amewaagiza wasimamizi wa Uchaguzi ngazi ya majimbo kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia sheria ili kuepuka malalamiko yanayoweza kusababisha uvunjifu...
8 Reactions
96 Replies
10K Views
Mgombea Urais kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Bernad Membe amesema kuungana kwa vyama vya upinzani hakuwezi kukiondoa madarakani chama tawala Ametoa mfano kuwa, fikiria kwamba wao wana kura milioni...
0 Reactions
0 Replies
368 Views
Back
Top Bottom