Na: George Kabadi
Nimekuwa miongoni mwa wafuatiliaji wazuri wa kampeni za mwaka huu 2020, Naomba kupigana moja kwa moja na hoja za watu wanaodai uchaguzi wa mwaka huu siyo mgumu kama ule wa mwaka...
Pamoja na kuwa
1. Wamefanya siasa miaka mitano peke yao.
2. Wanajisifia kufanya makubwa kila siku
3. Wamejenga Flyovers.
4. Wamenunua ndege, uwanja wa ndege Chato.
5. Wanatupigia magoti...
Wapiga kura kwa mwaka 2015 walikuwa 23,161,440 na mwaka 2020 ni 29,804,992 Hivyo mshindi wa uchaguzi mwaka huu ataamriwa na hawa wapiga kura wapya takribani milioni sita na nusu.
Ikumbukwe kuwa...
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeonya kuwa msimamizi yeyote atakayesababisha Mahakama itengue matokeo ya uchaguzi, atatakiwa kufidia hasara na gharama za kurudia uchaguzi.
Kamishina wa NEC...
Siasa za Chuki Mgombea wa Chadema Moshi Mjini Raymond Mboya dhidi ya Juma Raibu zinaharibia chama,viongozi wanazidi kuhamia CCM kuunga mkono kazi za Raibu Mgombea Udiwani wa BomaMbuzi
Wakati...
Kumekucha...kumekucha!
Bado siku 11 tu kipenga Cha kumaliza mchezo kipulizwe hapo 28 Oktoba,2020.
Fainali ni kati ya hawa miamba 2 John Joseph Pombe Magufuli (CCM) na Tundu Antipas Mughwai Lissu...
Habari iwe kwenu wakuu!
Zikiwa zimebaki siku chache kabla ya watanzania kufanya maamuzi kwenye sanduku la kura , nimefuatilia kwa ukaribu sana kamapeni za wagombea mbali mbali na...
Mgombea urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amesema akishindwa kwa haki atakuwa wa kwanza kusema kuwa ameshindwa kwa haki.
Amesema wakishinda lakini Tume ya Taifa...
Akiongea na Wananchi wa maeneo tofauti tofauti kaka Mkubwa Davis Mosha amewataka wanaMoshi kumchagua Rais Magufuli, Priscuss Tarimo na Madiwani wa CCM na sio kufuata mkumbo wakuaminishwa kuwa...
Ukiongozwa una nafasi yakumweleza kiongozi njia sahihi pale unapobaini mnakwenda wrong direction. Mkiongozwa mnaridhia,mnakubaliana na kusimamia misingi ya kuongozana bila kupindisha au kuegemea...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Queen Sendiga, amesema akichaguliwa kuwa Rais wa Tanzania, akiunda baraza la mawaziri...
Kila mara tumekuwa tunamsikia Rais wetu akitamka kuwa Maendeleo hayana chama.
Kwa maana nyingine ni kuwa nchi hii ni ya mfumo wa vyama vingi, kwa hiyo mwananchi yeyote anaruhusiwa kuwa mshabiki...
Rais mstaafu Dr Kikwete amesema tofauti na vyama vingine CCM ni chama cha dini zote na madhehebu yote kwa mfano waislamu kuna Shia, Sunni.
CCM ni chama cha makabila yote zaidi ya 120
CCM ni chama...
Hii ni kengere ya kuwaamsha na kuwakumbusha tu,
Mnakumbuka yaliyojitokeza kwa watinia Nia udiwani na ubunge ilivyokuwa kazi kurudisha fomu, watu walitangiziwa njiani na kupolwa fomu. Hiyo ilokuwa...
Masaa ya Ukombozi yanakaribia tujitwalia Uhuru wetu kwa kura zetu. Kwenye diplomasia ya utawala kuna msemo wa kiswahili wenye maana sana unasema, "Wali wa kushiba huonekana kwenye sahani". Hii...
Takriba miaka minne tumedhurumiwa kiasi cha kutosha haki zetu,wengi wetu tumenyanganywa nyavu zetu, ndoano, na vitendea kazi zetu ktk uvunaji wa samaki wakisema eti na zana haramu au samaki...
Wakuu heshima sana,
Kadri siku ya uchaguzi mkuu zinapokaribia nabaki najiuliza maswali kadhaa bila majibu.
Najaribu kutafakari ni eneo gani haswa CCM ilikosea ?.
Mosi, kununua wapinzani...
Wanabodi
Watu wameisha zoea ukitolewa wito, then wito huo uwe umetolewa na kiongozi fulani, mtu ukiwa nobody, huwezi kutoa wito.
Mimi ni nobody, lakini hapa natoa wito kwa Watanzania wenzangu...
Adhabu ya kifungo cha kutofanya kampeni imemalizika jana saa tano na dakika 59 usiku, kwa hiyo kuanzia asubuhi hii ya leo ya tarehe 9 yuko huru kuendelea na kampeni zake.
That punishment wasn't a...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.