Tangu nimejitambua kama mtu mzima ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania sikuwahi kwenda kupiga kura
Hii ni kutokana na kutopata ushawishi wa kisera kutoka kwa vibaka CCM na wale wapinzani wa...
Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete alipotoka Nigeria kushuhudia zoezi la upigaji kura, uhesabuji kura na utangazaji matokeo, alisema kuwa angependa siku moja nasi Tanzania tufikie kiwango cha...
Mwenye Chama chake cha ACT - Wazalendo Zitto Kabwe
Nitamuunga mkono na Kumpigia Kura Tundu Lissu
Aliyekaribishwa 'Kimkakati' ndani ya Chama Maalim Seif Sharrif Hamad
Maamuzi yote ya Chama cha...
Moja ya mikoa iliyobarikiwa ardhi yenye rutuba na Hali ya hewa ya kurutubisha mazao ya biashara kama nyanya,vitungui,mahindi na mbogamboga ni Iringa, lakini mazao haya yanaonekana maeneo mengi ya...
Upepo ulikuwa kwao wiki iliyopita na kuonesha mvuto wao ulikuwa mkubwa sana kitaifa. Ila ni makosa madogo yanayoweza kupunguza kura zao na wakiepuka tu wanaweza kuongeza kura sana na hata...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa amewaomba Watanzania wote wakiwemo na wakazi wa Kigoma wahakikishe wanamchagua Rais Dkt. John Pombe Magufuli ambaye ni...
Imeandaliwa na Mwl.ngh'oloyape,
Habarini wanajamvi wa siasa forum nimejaribu kufuatilia siasa za Tanzania na jinsi ambapo tunajinasibisha mitaani kwamba Lissu atakuwa Rais wa JMT nimegundua na...
Lala salama ya uchaguzi zikiwa zimebaki siku 8 ( one digit) inaanza leo ambapo Tundu Lissu atakuwa Hai mkoani Kilimanjaro akiwa na Sheikh Ponda, Askofu Mwamakula na mgombea urais wa Zanzibar...
"Nimempa hekari elfu 10 iliazalishe sukari tan 30,000 hadi 35,000 kwa mwaka na watanzania 800 watapata ajira na badae uzalishaji utafikia tani 60,000 hadi 70,000 na kutoa ajira 2000"
Magufuli...
Leo Babati Mjini.
Mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Mhe. Tundu Lissu kuanzia leo Oktoba 18, 2020 ataanza rasmi kampeni zake kwa kutumia Helikopta
Chanzo: BAVICHA TAIFA
Asanteni Babati...
Tanzania IPO katika nchakato wa Uchaguzi Mkuu, miongoni mwa wagombea URAIS ni Mheshimiwa Daktari John Joseph Pombe Magufuli.
Rekodi alizovunja Mheshimiwa JPM nchini Tanzania, Afrika na dunia...
Mkutano Mkubwa wa kampeni Mheshimiwa Tundu Lissu kwenye viwanja vya Mnadani Karatu Jimbo la Karatu - Arusha
Akiwa Karatu ametolea Ufafanuzi swala la mgombea ubunge jimbo la Karatu kupewa barua...
CCM Kuna mahali nimekosea, target mbaya, maandalizi mabaya na mipango pia imekaa vibaya. Mzee Warioba alisema kwa Tundu ni mtu ambaye anazijua sana sheria kupambana naye penye haki itakuletea...
Ndugu zangu wa upande wa pili mimi mwanachama dormant wa mboga mboga, nina swali kwenu
Kwa kweli nimeshindwa kuelewa Lissu anatumia njia zipi kukusanya umati kwenye mikutano yake, bado nashindwa...
Ndugu zangu wanaCCM mlioko humu ndani na kwingineko, hali ni ngumu sana huyu mtu anatuzidi kwa kiasi kikubwa sana kwa ninavyotazama mimi na msema kweli mpenzi wa Mungu.
Huyu ni ambaye ni sawa na...
Previously wimbo ulikua wa kampeni za Msigwa ila naona umeboreshwa uwe wa kitaifa. Unanibamba sana, inapaswa baada ya campaign uchukue nafasi ya ''one love'', inasaidia zaidi branding ya chama...
WANAMUZIKI nchini wametakiwa kuhamasisha amani katika uchaguzi mkuu na kwenda kupiga kura ifikapo Oktoba 28 ili kuwachagua viongozi wanao wataka.
Ombi hilo linetolewa na Rais mpya wa Umoja wa...
HALIMA MDEE, FEDHA ZA MFUKO WA JIMBO UMEPELEKA WAPI?
Bunge la JMT limetunga Sheria iliyoanzisha na kusimamia fedha za mfuko wa Jimbo kwa lengo la kurahisisha na kumsaidia Mbunge wa kuchaguliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.