Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Serikali ya awamu ya Tano chini ya usimamizi wa Rais Magufuli inaendesha miradi mikubwa ya kimkakati ambayo matunda yake hayaonekani leo au kesho ni ya muda mrefu na ndio namna ya kuongozaNchi...
1 Reactions
7 Replies
890 Views
Ama kwa hakika Bawacha ni Taasisi imara mno! Imeimarisha sana uwezo wa kujieleza kwa wakina mama na umewapa ujasiri mkubwa mno. Angalia video hii ya umati ukimshangilia Sophia Mwakagenda...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA ambaye ndio mgombea urais wa JMT wa chama hicho mh Tundu Lissu amewahoji wafanyabiashara wa pembejeo sokoni kariakoo namna wanavyolipa kodi zao TRA. Lissu alitaka pia...
12 Reactions
233 Replies
16K Views
Wala sio hesabu ngumu. Ni wazi sana kwamba taasisi kama Polisi na NEC mara kwa mara zinafanya ukosefu mkubwa wa usawa dhidi ya vyama vya upinzani. Umewahi kujiuliza kwa nini? Sababu ni moja...
7 Reactions
25 Replies
2K Views
Kichwa cha habari chajieleza, uchaguzi mkuu wa mwaka huu kiukweli nje ya wasanii kujaza watu au watu kuja kushangaa mtu aliyepigwa risasi nyingi kwenye kampeni,ni uchaguzi ambao kampeni zake...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
NEC: TIMU ZA KAMPENI Timu ya kampeni ni kundi la watu lililoundwa na mgombea wakati wa mchakato wa uteuzi au uchaguzi kwa lengo la kumnadi na kumsaidia mgombea huyo katika kampeni za uchaguzi...
15 Reactions
220 Replies
20K Views
Kuna kimbunga kinakuja maana Katibu mkuu wa CHADEMA ameandika ifuatavyo: Aidha katika mikutano hiyo zitatumika Chopa tatu ambazo moja itatumiwa na mgombea Urais, nyingine mgombea mwenza na...
44 Reactions
103 Replies
10K Views
Mungu wa Israeli amesikia kilio cha Watanzania cha miaka mingi. Mungu wa Israel ameona mateso ya watu wake na sasa ameshuka mwenyewe kuja kutukomboa. Mungu kampiga upofu wa fikra na ufahamu...
107 Reactions
198 Replies
14K Views
Wakuu ukiacha usaliti wa Nchi na kutumika na Mabeberu CHADEMA imejizika yenyewe kwa kuleta sera ya kujitawala kimajimbo ndani ya Tanzania Kwa wale Watanzania ambao hawajaipitia hii sera ya...
16 Reactions
387 Replies
18K Views
Katika kile kinachoonekana ni unafiki wa dhahiri wa BAKWATA, Masheikh wa BAKWATA wameanza kutumia podium mbalimbali za hadhara kumfanyia kampeni Mgombea uraisi wa CCM. Wiki kadhaa zilizopita...
5 Reactions
46 Replies
6K Views
Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Dkt. Benhajj Shaaban Masoud amewataka Wasaidizi wa Sheria wa Majaji wa Mahakama ya Rufani kutumia vyema elimu ya uendeshaji wa mashauri ya uchaguzi ili...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mgombea urais wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amesema endapo akiingia madarakani atahakikisha anafanya uteuzi wa wakuu wa wilaya wenye vigezo vya kusimamia maendeleo ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mgombea urais wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amesema endapo akiingia madarakani atahakikisha anafanya uteuzi wa wakuu wa wilaya wenye vigezo vya kusimamia maendeleo ya...
0 Reactions
1 Replies
691 Views
Pamoja mimi ni mwanaccm na mpigakura wako kama walivyowapigakura wengi wanao tegemea kukupigia kura kwa kuwa nilijiandikisha eneo la Kimara nilikokuwa naishi hivyo kuwa msikivu na ulitendee kazi...
0 Reactions
2 Replies
753 Views
Sasa ni dhahiri kuwa swala la chama gani chaweza kutoa rais wa JMT limezikwa rasmi na uhakika ni kuwa, CCM peke yake ndicho kitaendelea kutoa rais. Ukifuatilia mijadala inayoendelea hasa ndani ya...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
1. Shekhe Ponda anataka kutanua goli la udini, mkimjibu mnachochea udini, mtazigawa kura zetu bure achaneni naye tujiandae kupiga kura Oktoba 28. 2. Shekha Ponda anataka kuhamisha goli la USHOGA...
8 Reactions
88 Replies
7K Views
Nimemsikia Polepole Leo akidai kuwa CCM ina wanachama 16 million. Assuming kuwa mwanachama ni lazima awe na umri wa miaka 18 hivyo inamaanisha kuwa kwa idadi hiyo CCM ina 70 % ya Wapiga kura wote...
19 Reactions
159 Replies
10K Views
Huyu jamaa, hana kabisa mvuto akiwa jukwaani. Siasa kwake naona si jambo alilonalo kiasili. Anajitahidi sana kuongea na kudondosha vibwagizo akiwa jukwaani, lakini wapi! Hamna kitu kabisa...
27 Reactions
253 Replies
18K Views
Nimekuwa Geita kikazi nikagundua CCM ilishafutika kabisa kule na Chadema inaweza shinda Jimbo lolote kule . Kuanzia Bukombe, Geita mjini, Geita vijijini, Sengerema Buchosa hakuna kabisa kitu...
11 Reactions
26 Replies
4K Views
Wanabodi, Huwa siandiki uzi kama sijapata hisia/kuwiwa kuandika ,siandiki kiushabiki ila napenda kushusha nyuzi nikiwa kama kijana mzalendo wa Taifa la Tanzania na mpenda maendeleo. Huwa napenda...
4 Reactions
104 Replies
10K Views
Back
Top Bottom