Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Natoa ushauri kwa CHADEMA Ni takribani siku 10 tu zimebaki kuhitimisha kampeni. Na trh 28/10/2020 ni siku ya uchaguzi yenyewe. Mgombea wetu na Rais anayesubiri kuapishwa, Mh. Tundu Lissu kuna...
13 Reactions
36 Replies
3K Views
Nguvu kubwa (wakati mwingine isiyokuwa na sababu) inatumika na vyama shindani kuwaaminisha wapiga kura kuwa wao ni bora zaidi. Walisema wahenga kizuri chajiuza. Nasi wapiga kura macho tunayo...
2 Reactions
1 Replies
506 Views
Wakuu Salaam: Bernard Membe kama kabwaga manyanga basi tutangaziwe rasmi maaana haonekani kokote. Kama amerudi tena India tujue mgombea wetu saivi hayuko nchini! JPM ratiba zake ziko wazi na...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Baada ya kufuatilia kampeni za mwaka huu hususan za Chama cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kuangalia serikali na Tume wanavyochezesha mchezo huu wa kampeni...
18 Reactions
69 Replies
7K Views
Huu hapa chini ndo mualiko wao uliosambazwa leo: MUALIKO WA KUSHIRIKI KATIKA MKUTANO MAALUM WA SEKTA BINAFSI KUMPONGEZA MHESHIMIWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI...
2 Reactions
46 Replies
4K Views
Wananchi wa Lamadi wakimdekia barabara Mhe. Tundu Lissu asubuhi hii WA MWISHO ATAKUWA WA KWANZA. #NIYEYE2020✌😎
44 Reactions
185 Replies
15K Views
Tumesikia mengi na tunaendelea kusikia mengi kutoka kwa wagombea wa vyama vyote sasa na mwisho tukafanye maamuzi sahihi kwa kuchagua viongozi sahihi watakao weza kushirikiana na wananchi kwa...
0 Reactions
0 Replies
623 Views
Enyi watia nia 7000 wa CCM mlionyimwa mishahara. Enyi wagombea wa CCM mlioshinda kura za maoni na kutoteuliwa. Enyi wafanyabiashara mliofirisiwa mitaji yenu kwa kodi za TRA. Enyi watumishi...
18 Reactions
38 Replies
3K Views
Kwa lugha rahisi, kiapo ni ahadi rasmi, tena mbele ya ushahidi wa Mwenyezi Mungu juu ya matendo yako na tabia zako kuanzia siku hiyo ya kiapo. Kwa ndugu zangu wakristo kama alivyo mheshimiwa JPM...
32 Reactions
71 Replies
5K Views
Tunaweza kuneneana uongo lakini siyo wa kiwango hiki. Kama kweli waziri wako alikujibu hivyo kama unavyosema hapa basi huwa hufuatilii mambo kwa undani. Na kama ulijua hili ila ukaamua tu...
48 Reactions
158 Replies
12K Views
NITATUMIA ELIMU YANGU KUKUZA UCHUMI NA KUFUTA UMASIKINI KATIKA NYANJA ZOTE"PROF. LIPUMBA" TUNDURU KASKAZINI Ukuaji wa uchumi wa Tanzania haujaambatana na kasi kubwa ya kupungua kwa watu...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Kijana anayejali watu
0 Reactions
1 Replies
779 Views
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imewataka waangalizi wote wa uchaguzi mkuu wa mwaka huu waliopata vibali, kutambua kuwa wao siyo watendaji bali wana jukumu la kutazama uchaguzi utakavyokuwa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wafuatao ni kundi la watu wenye shughuli yao maalumu siku ya tarehe 28. 1) Wanachama wa NSSF. 2) Waliotimuliwa kwa vyeti feki pamoja na familia na ndugu zao waliokuwa wanawategemea nao...
2 Reactions
12 Replies
933 Views
Mwishoni wa mwaka jana Dunia iliingia kiwewe baada ya kuripotiwa ugonjwa wa virus vya Corona huko Mji wa Wuhan Nchini China Badae maambukizi yakaenea kwa kasi Ulaya hasa Italy na nchi jirani kama...
9 Reactions
45 Replies
4K Views
Leo Oktoba 15, Baraza Kuu la Ulamaa BAKWATA Taifa limeketi kikao cha dharura na limetoa nasaha na maelekezo matano. Sehemu kubwa ya tamko hilo ni juu ya mienendo ya viongozi wake hasa kipindi hiki...
16 Reactions
100 Replies
14K Views
Shehe Ponda leo amehudhuria mkutano wa Tundu Lissu Dodoma ,Ni dhahiri mambo ya mashehe yamepata nguvu mpya sasa kwani hotuba ya Tundu lissu akiwa huko Tabora sasa imeanza kazi yake. CCM hawana...
1 Reactions
2 Replies
907 Views
CHADEMA inawamaliza CCM na kuwaziba koo, CCM wameanza kupata tatizo la kupumua mbali ya kuwa safari zao za wagombea wao wamefungasha wasanii magoigoi waliojaa hofu ya kuiogopa CCM, Msiiogope CCM...
9 Reactions
23 Replies
2K Views
Kuna Jambo nililiona wakati wa kupiga kura mwaka 2015 Afisa Uchaguzi kabla ya kunipa karatasi ya kura ambayo ilikuwa na serial number aliandika namba hio katika fomu kuonesha amenipa karatasi ya...
2 Reactions
0 Replies
491 Views
Anaandika mhe Zitto Kabwe mbobevu wa siasa za Tanzania na mtetezi wa watanzania. Mwaka huu Serikali ya CCM imeamua kuua kabisa zao la Korosho kwa kugawa dawa ya Salfa ambayo inakausha mikorosho...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom