Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Nianze moja kwa moja na mada yangu, Kwa mara yangu ya kwanza napenda kumshukuru Mh Tundu Antipati Lissu kwa mawazo mazuri aliyo yatoa jana katika ziara yake ya kutembelea mitaa ya kariakoo kuhusu...
9 Reactions
40 Replies
4K Views
Polisi wa kituo kidocho cha Mbarali Mr. Antipas Temu akiwa na Gari aina ya Nissan T809 AVW amevamia msafara wa mgombea Ubunge wa Chadema na kuanza kulipua mabomu. Kabla ya kuanza kurusha mabomu...
14 Reactions
51 Replies
6K Views
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chadema amewaambia mashabiki wa Chadema kuwa wasiende kupiga kura kwa sababu ambazo hazina mashiko. Sababu ya kwanza anadai kama mawakala hawataruhusiwa? Huu...
1 Reactions
52 Replies
3K Views
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyoeleza nafikiri kuna hàja ya uongozi Wa juu Wa CHADEMA kufafanua juu ya Sera ya utawala Wa majimbo. Kila Mara viongozi Wa CCM wanapohutubia wanapotosha Sera...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Jambo lolote lile huweza kutengenezwa kwa muda mrefu sana lakini maaribifu au kuuaribu uzuri wake ukachukua majuma mawili tu. Sababu ya kuyaandika haya hapo ni kuwaomba viongozi wetu wa ngazi...
0 Reactions
5 Replies
792 Views
Katika kuelekea uchaguzi mkuu mwaka huu imekuwa kama desturi kwa maadhi ya vyama vya siasa kikiwemo CHADEMA kuendeleza siasa zenye mrengo wa vurungu na uvunjifu wa amani. Ni muhimu sana kama taifa...
8 Reactions
216 Replies
14K Views
Kila nikimsikiliza Tundu Lissu, nashindwa kuamini kama kweli anayosema ni uwezo wake mwenyewe au kuna nguvu gani nyuma yake. Ukiachilia mbali uwezo na ukuu wa Mungu aliyemponya kifo,ukaachilia...
12 Reactions
17 Replies
3K Views
Prof. Kitila Mkumbo ambaye unaweza kumuita kuwa ni engeneer wa Chama kimojawapo cha upinzani hapa nchini (tukirejea sakata la waraka wa mabadiliko ndani ya Chadema) ameeleza kwa kujiamini kuwa...
6 Reactions
72 Replies
4K Views
Namsikiliza hapa Nape Nnauye anafanya mahojiano na redio ya jamii MAENDELEO FM. Nape ameulizwa kama CCM itatumia goli LA mkono kwenye uchaguzi huu . Nape: Uchaguzi huu ni mwepesi sana kwa CCM...
4 Reactions
31 Replies
4K Views
Bado kuna wananchi hawajiamini kama watapiga kura ya Rais kwa maeneo walipo. Hii nikwasababu elimu hi bado haijatolewa vyema. Juzi tulikuwa kwenye usaili wa usimamizi wa uchaguzi mkuu huu...
0 Reactions
0 Replies
696 Views
Mabadiliko yanayofanywa na NEC katika uchaguzi huu yanaacha maswali mengi kuliko majibu. Tukumbuke kuwa NEC ndiye hakimu wa uchaguzi huu hivyo akiyumba au kuyumbishwa basi mzigo wote utamwagika...
7 Reactions
17 Replies
1K Views
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu amesema kuna mbinu za kuweka mawakala mwaka huu zimekuwa tofauti uklinganisha na miaka iliyotangulia. Amesema...
27 Reactions
78 Replies
6K Views
Nitapiga KURA ya NDIO kuichagua CCM ifikapo tarehe 28 Oktoba 2020. Nitaichagua kwa sababu sababu zifuatazo; 1. Ndicho Chama pekee kinacholinga na kutetea Muungano wa Tangangika na Zanzibar. 2...
10 Reactions
19 Replies
2K Views
VIONGOZI WA DINI (Makundi Yetu) Kama haitapendeza nisamehewe. Katika mchakato kuelekea Uchaguzi Mkuu, tumegawanyika makundi kadhaa: 1. Mitano Kwanza na Mitano tena. Kundi hili linaelekeza wapiga...
20 Reactions
37 Replies
3K Views
Nimemfuatilia sana huyu jamaa kwenye mkutano wa Chadema uliokuwa unahutubiwa na Mh. Tundu Antiphas Lissu, alivyokuwa anahangaika, mara atoe kiredio chake mfukoni kama vile anawasiliana na mtu...
57 Reactions
103 Replies
13K Views
NITATUMIA ELIMU YANGU KUKUZA UCHUMI NA KUFUTA UMASIKINI KATIKA NYANJA ZOTE"PROF. LIPUMBA" KYELA- MBEYA Ukuaji wa uchumi wa Tanzania haujaambatana na kasi kubwa ya kupungua kwa watu masikini...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hai, Kilimanjaro Mgombea udiwani Kata Ya Machame kupitia CCM Jimboni Hai, Ndugu Martin Munisi leo Mapema amefikisha Malalamiko yake kwa Msimamizi wa Uchaguzi dhidi ya Mgombea Ubunge kupitia...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
  • Closed
Ilani ya Chadema ni TAKATAKA ya kutupwa dampo. Haiwezi kuongoza hata kijiji. Ilani haina utafiti wowote wala analysis yoyote imeandikwa kama barua ya posa. Inasema tutaboresha barabara bila...
19 Reactions
47 Replies
3K Views
Inawezekana ikawa sikubaliani moja kwa moja na kila analolihubiri Tundu Lissu ila kwa kiasi kikubwa naheshimu sana uwezo wake wa kujenga hoja. Zaidi ya mara moja Tundu Lissu ameomba mdahalo na...
14 Reactions
65 Replies
5K Views
Back
Top Bottom