Kwa kipindi ambacho nimekifahamu Chama cha Mapinduzi kwa chaguzi zilizopita. Kimekua kikifanya vizuri kwenye kufanya Kampeni za Uchaguzi.
Sisemi kwamba mbinu zote walizotumia zilikua ni sahihi za...
Kuna wakati najiuliza kati ya wanasiasa na wapiga kura ni nani ana kumbukumbu fupi zaidi. Kwa mfano, wakati fulani kulikuwa na kampeni ya kubomoa nyumba bila kulipa fidia hapa Dar, na wananchi...
Lema umekuwa Mbunge wa Arusha mjini kwa vipindi viwili mfululizo, tena ukilipwa mamilioni ya shilingi kwa mwezi.
Kama hiyo haitoshi umelipwa viinua mgongo viwili kingine bado hakijapoa kabisa...
Wanajamvi,
Ninaomba nilete kwenu hoja tatu ni kwanini tusichague Upinzani. Hoja hizo ni Kama ifuatavyo:
1. Njia za kushughulikia janga la korona
2. Kushindwa kuwa mfano kwenye chama na majimbo...
Violence Alert Tanzania Election
"Tunapigwa mabomu nje ya hotel ya Gaprena Kahama, kwasababu watu wamesindikiza gari na hawataki KUONDOKA"
Inadaiwa Mtu mmoja amepigwa mguuni na risasi ya moto...
Kupitia akaunti yake ya Twitter Mgombea Ubunge wa Jimbo la Serengeti kwa tiketi ya CHADEMA, Bi. Catherine Ruge amelalamika kudhalilishwa n polisi ikiwamo kupigwa mabomu, kuchaniwa nguo na kushikwa...
Kwa kuwa sheria za uchgauzi za Sasa hazimruhusu mtu kupigia Kura eneo lolote alipo na badala yake anapaswa kusafiri kwenda sehemu alikojiandikishia, Basi tunaitaka Serikali kutoa ruhusa ya Siku...
MOJA: Reli nyingine zilizopo na zenyewe ni standard gauge - TAZARA, RELI YA KATI, (DAR -KIGOMA) na ya TANGA-ARUSHA
MBILI: Marais wengine wote na wenyewe walianzisha mabwawa ya umeme, kuanzia...
Na Bwanku M Bwanku.
Baada ya mafanikio makubwa ya awamu ya kwanza ya miaka mitano ya Serikali ya CCM katika kupambana na umaskini na kuwawezesha wananchi ikiwemo kusaidia vikundi vya...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia ACT-Wazalendo, Ndugu Zitto Zuberi Kabwe atahutubia mkutano wa hadhara wa kampeni katika Kata ya Bangwe leo Oktoba 16, 2020.
Zitto ambaye pia ni...
Mwaka 2015 Mh. Magufuli alikuwa anaomba uongozi wa nchi kwa mara ya kwanza. Alikuwa Bandidu hasa na style ya push ups kuonesha kuwa yuko imara kiafya kuliko mpinzani wake mkubwa Eddo Lowassa...
Nimesikia Mara kadhaa, neno hili likitamkwa na Mgombea Uraisi wa Chama cha Upinzani Zanzibar.
Tena sio kwenye Kampeni hizi tu. Hata Kampeni za vipindi vilivyopita amekua akilitamka Sana...
KILA WAKALA WA MGOMBEA URAIS, UBUNGE NA UDIWANI KATIKA KITUO CHA KUPIGA KURA ANA HAKI YA KUPATIWA NAKALA YA FOMU YA MATOKEO YA UCHAGUZI WA RAIS, MBUNGE NA DIWANI.
SEHEMU 1: UTANGULIZI.
Makala...
Tundu Lissu anavyoshambulia utadhani ni jeshi lenye askari wengi kiasi cha kuunda batalioni nzima. Ndiyo, inaeleweka chama chake kimempa nyenzo za watu na rasilimali chini ya kampeni yake; lakini...
Kwa tulioshuhudia chaguzi zote tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi 1992 wanaweza kukubaliana na mimi kuwa kampeni za Chama cha Mapinduzi zimepoa sana.
Wiki iliyopita Dkt Magufuli kamaliza...
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Dk John Pombe Magufuli leo anaendelea na kampeni zake katika jimbo la Segerea Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam ambapo atanadi Sera na...
Kama tujuavyo serikali ya awamu ya tano chini ya rais Magufuli imeibua miradi mingi mikubwa ambayo ipo katika hatua mbalimbali za utekelezaji, hii ikimaanisha kwamba tayari hii miradi imeshatumia...
Mwaka 2014 nikiwa katibu wa Umoja wa vijana Chama Chama Cha Mapindizi UVCCM-Mkoa wa Morogoro Tulipokea Wageni Vijana kutoka Africa Kusini.
Lengo la Vijana hao ilikua ni kutembelea Eneo la Mazimbu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.