Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amesema ana uhakika Uchaguzi Mkuu utafanyka kwa amani na utulivu, japo kuna baadhi ya vyama wanataka kuwa na vurugu ili uchaguzi usifanyike.
Amesema...
Wakuu natanguliza salamu , pia nawaombeni radhi kwa usumbufu wa nyuzi zetu lukuki zinazohusu uchaguzi , muda uliobaki ni mfupi na hatuna namna zaidi ya kuvurumisha hewani taarifa za Mgombea huyu...
Mimi ni mwanachama wa CCM. Sio mwanachama maslahi au mwanachama fuata upepo, la hasha bali mwanachama mwanzilishi hata kama nilijiunga 1978 mwaka mmoja tokea ianzishwe.
Ninafuatilia sana siasa za...
Kuanzia mchakato wa kuwateua Wabunge na madiwani na kukiuka maadili ya chama mengi yameshuhudiwa na malalamiko kwa tume ni mengi sana ambayo hayajajibiwa hadi leo. Maswali ni mengi na imekuwa kama...
Jana nimeletewa barua hii baada ya Kamati ya maadili kuketi, wamenihukumu bila hata kuniandikia tuhuma zangu wala kuniita kujitetea kwenye Kamati. @TumeUchaguziTZ fundisheni wasimamizi wenu...
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC, amesema watanzania wanataka Afya iliyoimarika, barabara nzuri, miradi ya umeme, elimu bora hawataki blah! Blah!
Amesema watanzania hawataki viongozi...
Nimejaribu kufatilia hotuba za Lissu kujua endapo atachaguliwa tutakuwa na Tanzania ipi sijapata jibu nchi itaendelea au kurudi nyuma je miradi kama bwawa la umeme la nyerere, daraja la busisi...
Leo nimeona niliamkie jiji Dar es Salaam.
Linapokuja suala la kuleta mabadiliko ya kisiasa na kiuchumi majiji makuu ya nchi huwa ni kitovu kwa sababu huwa yana wakazi wengi walioelimika na kupata...
NCHI HII INAHITAJI RAIS MCHUMI NA MWENYE HURUMA NA WATANZANIA MKINICHAGUA KUWA RAIS NTAFUTA UMASIKINI KATIKA NYANJA ZOTE"PROF.LIPUMBA"
IRINGA MJINI
Ukuaji wa uchumi wa Tanzania haujaambatana na...
Wasalaam.
Mimi ni mkazi wa Tegeta Nyuki, Leo natoka hali ya kushangaza mgombea Urais kupitia CCM bwana Magufuli amesema hajui matatizo ya mafuriko yanayowakumba wakazi wa Tegeta hivyo wamchagulie...
NJOMBE- WANGING'OMBE
Serikali ya umoja wa kitaifa chini ya CUF itajenga uchumi wa kisasa wenye ushindani wa kitaifa na kimataifa na utakaohimili misukosuko ya utandawazi, unaokuwa kwa kasi bila...
Mtu hawezi sema anawaheshimu wananchi bila kuheshimu kura zao..
Kulazimisha matokeo ambayo yapo kinyume na wananchi watakavyopiga kura sio Tu ni dharau Kwa wananchi vile vile ni uthibitisho kuwa...
Niwe mkweli Gwajima ni mgombea pekee wa CCM " aliyebahatika" kufanyiwa kampeni na Dr Magufuli karibu katika kila kata ya jimbo la Kawe.
Wakati akielekea kwenye mkutano mkuu wa kampeni wa wilaya...
Habari za leo.
Katika kuendela na harakati za BAKWATA kukisaidia chama Tawala, Jambo la kusikitisha ni kwamba Viongozi wa CCM wamefanya Siasa ktk Msikiti wa Ndanda Usangi.
Mgombea udiwani Kata...
Imeandikwa kwenye Biblia takatifu, katika kitabu cha Mithali, sura ya 14:34 nanukuu kama ifuatavyo "Haki huliinua Taifa, Bali dhambi ni aibu ya watu wote" mwisho wa kunukuu.
Kwa maandiko hayo ya...
SALAAM KUTOKA LAMADI KWENDA CHATO ALIKOPUMZIKA MGOMBEA WA CCM NDG. MAGUFULI.
Ndg, mgombea na Mh. Rais salaam sana. Hivi majuzi umekuwa kwenye ziara ya mikutano yako ya kampeni kwa mikoa ya...
"Baba wa Taifa ametawala kwa miaka 20+, Mwinyi miaka 10, Mkapa miaka 10, Kikwete miaka 10 hatukumwaga damu. Na mimi katika miaka 5 niliyotawala sikumwaga damu! Amani na usalama wa Watanzania ni...
Nikiwa mpenzi na sio mwanachama wa CHADEMA, Kwa kipindi hiki cha uchaguzi nimetimiza wajibu wangu kwa kuwaombea Kura Rais mtarajiwa Lissu na Madiwani watarajiwa wa CHADEMA kwenye uchaguzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.