Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

MGOMBEA wa Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha ADA TADEA, Juma Ali Khatib, amesema anakusudia kuinua sekta ya michezo, kwa kuweka bajeti maalum ya kuendeshea ligi kuu ya Zanzibar, badala ya...
0 Reactions
1 Replies
972 Views
Dkt. Magufuli: Vijana wanakosa ajira, Vijana wanadharaulika wengine wamemaliza kusoma hawapati ajira > Miaka 5 inayokuja nataka suala la ajira nilishughulikie kwa nguvu zote. Kama tumeweza...
5 Reactions
62 Replies
6K Views
Mamilioni ya Watanzania wake kwa waume, vijana kwa wazee, masikini na matajiri wametokea kumpenda na kuonyesha hadharani ni jinsi gani wanavyomuunga mkono Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA Mh...
6 Reactions
37 Replies
4K Views
Mgombea Ubunge jimbo la Kawe kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Halima Mdee, amesema kuwa hajakubaliana na maamuzi ya Kamati ya Maadili ambayo yamemsimamisha kutofanya kampeni...
8 Reactions
67 Replies
8K Views
Mgombea Ubunge wa Chadema Karagwe, Adolf Mukono, wagombea udiwani Kata za Chanika na Kituntu wakamatawa na Jeshi la polisi “Tumewakamata baada ya kupata malalamiko kutoka upande wa CCM wakidai...
8 Reactions
37 Replies
5K Views
Kitakachombeba Tundu Lissu mwaka huu ni yeye Kama mgombea kuuzika as personal yaani anakibeba chama Kingine ni yeye kuja na slogan ya Kipekee kabisa toka kuanzishwa kwa vyama vingi ya uhuru...
56 Reactions
75 Replies
6K Views
Salaam Wakuu, Inadaiwa kuna mambo hayaendi Vizuri huko Chato Mkoani Geita. Tunaomba Jeshi la Polisi lihakikishe amani kwa Wakazi wa Chato wa vyama vyote. Hapa chini ni Taarifa kutoka Viongozi wa...
11 Reactions
123 Replies
16K Views
NEC YAKABIDHI NAKALA YA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KWA VYAMA VYA SIASA Tume ya Taifa ya uchaguzi leo imevikabidhi vyama vya siasa nakala tepe ya daftari la kudumu la wapiga kura pamoja na...
6 Reactions
61 Replies
8K Views
NJOMBE- MAKAMBAKO Nitahakikisha kuwa Bajeti ya Wizara ya Afya inapanda na kufikia asilimia 15 ya Bajeti ndani ya miaka 10 ijayo. Ongezeko la bajeti litawezesha katika kuandaa miundombinu ya...
0 Reactions
0 Replies
829 Views
Iwe ameshinda au ameshindwa uchaguzi mkuu wa mwaka huu, mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM Dkt. John P. Magufuli lazima abadilike. Lazima awe mpya. Hawezi tena na kamwe kubaki alivyo...
56 Reactions
68 Replies
9K Views
Pamoja na kuwa atakuwa hayuko majukwaani lkn mazingira ya jinsi NEC ilivyomzuia yanatosha kumpigia kampeni, sasa wananchi na jumuia za kimataifa zimejua kweli Tume haiko huru na inapendelea...
93 Reactions
172 Replies
15K Views
Baada ya juzi Tundu Lissu kuibua sakata la wamachinga kuuziwa vitambulisho na kulaani kitendo hicho, Jana Rais Magufuli amelitolea ufafanuzi na kusema kuwa sio kweli na kutoa maagizo kwa wakuu wa...
74 Reactions
125 Replies
12K Views
Wakuu Jana niliangalia BBC Swahili, wamesema kwenye makubaliano yetu na kampuni ya uchimbaji madini ya Barrick kwenye zile asilimia ni kama tumepigwa, hivi hiki chombo cha habari cha mabeberu...
21 Reactions
162 Replies
14K Views
Nilivyo kuwa nasikia kuwa ukiona vyaelea ujue vimeundwa, nimeamini! au usilolijua ni kama usiku wa giza, nimeamini! Wadau hali inayoendea ya kundi moja kujihakikishia kuendelea kuwepo madarakani...
9 Reactions
18 Replies
2K Views
Katika mkutano wa kampeni unaoendelea hapo Kawe, mgombea wa Ubunge wa Kawe kupitia CCM, Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima amesema jambo fulani la kushangaza. Namnukuu “Rais...
11 Reactions
75 Replies
6K Views
Bila maneno mengi, ninaomba ITV wakiongezee muda kipindi cha Dakika 45 kwa kipindi hiki cha uchaguzi angalau kiwe kwa dakika 80. Pia kifanyike hata kwa wiki mara tatu. ITV niwasikivu na weledi...
0 Reactions
0 Replies
666 Views
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imevitaka vyama vya siasa nchini viwe na subira na viiache tume hiyo itekeleze majukumu yake kwa mujibu wa taratibu za uendeshaji wa uchaguzi. Taarifa iliyotolewa...
0 Reactions
2 Replies
955 Views
Mpaka sasa hatujui hatma ya chama chetu kwenye uchaguzi mkuu huu. Siyo mgombea wetu, Mwenyekiti wetu wala kiongozi wa chama aliyetoka hadharani kutuambia tunafanyeje kwenye chumba cha kupiga kura...
5 Reactions
58 Replies
5K Views
Wanajamvi Salam, Zikiwa zimebaki siku kumi na nne (14) tu kwenda kushuhudia historia ikiandikwa Tanzania, kwa ama wananchi kuendelea kuchagua ccm ambayo kiukweli imeshindwa kutatua matatizo...
42 Reactions
84 Replies
8K Views
Ningetamani sana kama ningemsikia mgombea uraisi mwenye Sera kama vile: . Kuweka wazi mshahara na marupurupu atakayojilipa . Kusema atapunguza mshahara na posho zake . Kupunguza ukubwa wa...
0 Reactions
0 Replies
432 Views
Back
Top Bottom