Ilani ya CCM 2015-2020 Ukurasa wa 7
Ilani ya ccm 2020-2025, Ukurasa wa 10
Hivi hizi kelele zote hasa huwa za nini wakati namba zinaonyesha jamaa na CCM mpya yake wame- drop? Kumbuka hizo ni...
Njombe leo:
Maji ni uhai, mkoa wa njombe ni moja ya mikoa mikubwa katoka nchi yetu, mbali ya kusifika kwa ardhi nzuri inayostawisha mazao mengi ya biashara ikiwemo chai na miti.
Lakini bado...
Kampeni au tuseme mikutano ya Lissu inathibitisha hilo na mimi binafsi nimeliona hilo na hata leo Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika ameongelea swala hili katika hii tweet yake hapa chini...
17 October 2020
Halima Mdee : Wanawake ni Jeshi Kubwa, Wanaweza
Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Bi. Halima James Mdee azungumzia umuhimu wa wanawake ktk Taifa kushirikishwa...
Waswahili walisema tangu zamani kwamba hakuna marefu yasiyo na ncha , hicho ndicho kinachotokea sasa huko Monduli .
Wamasai wameamka na wamegoma kuabudu binadamu na sasa wameamua kufanya uamuzi...
Msafara wake ni mkubwa na ulinzi aliojiwekea ni wenye gharama kubwa sana, matumizi kwenye kampeni na ulinzi ni pesa nyingi ambazo zinaweza kutatua kero katika Wilaya zote kila mwezi.
Je, haya...
SAKATA la wagombea ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini, Patrobas Katambi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Salome Makamba wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) limeendelea kuchukua sura...
Katika kampeni zako umesema kuna maeneo hujapeleka maendeleo kwa kuwa wamechagua upinzani.
Swali: Mbona mkoa wa Dodoma karibia wote wamechagua CCM tangu uhuru ila ni maskini wa kutisha? Kongwa...
Nianze kwa kusema wazi kuwa maendeleo ya watu huwezi kuyatenganisha na maendeleo ya vitu kwa namna yeyote ile wazungu wanasema (the are interwovened) hivyo maendeleo yaliyofanyika kwa kuzingatia...
Wadau,
Leo mvua kubwa inanyesha Dar es Salaam. Hata hivyo, haikuwazuia Wananchi wa Majimbo ya Ubungo na Kibamba kwenda kumsikiliza Rais John Magufuli na wagombea Ubunge wa majimbo hayo kwenye...
Hivi huku kuomba kura kwa namna hii ni kwamba mtu anakuwa anatafuta uongozi wa kwenda kuongoza watu au wanatafuta uongozi wa kwenda kula?
Hivi ni wananchi wajinga wa wapi wanaweza kumpa kura...
Kwa hakika kama sio DHARAU basi ni KIBURI. Kama sio hivyo viwili, basi ni KUJISAHAU. Na kama sio vyote labda ni Mzoefu wa KUTELEZA ULIMI.
Serikali yoyote inafanya kazi sake kwa kodi toka kwa...
Inakera sana tena sana,sasa hivi kila mwananchi anakosa huduma za msingi, kisa tu uchaguzi na kampeni.
Ukienda kwa wakuu wa Wiaya, Wakurugenzi na hata Watumishi wa afya watakuambia wapo bize na...
Mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amesema wingi wa watu kwenye mikutano ya kampeni ya wagombea wengine wa urais haumtishi.
Profesa Lipumba amesema hayo...
Kamati ya Maadili imemkuta Mgombea wa Jimbo la Vunjo kupitia NCCR Mageuzi, James Mbatia na hatia katika tuhuma ya uvunjivu wa Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya Mwaka 2020.
Hivyo...
Hahaha! Membe bana. Hivi atafika hadi mwisho wa uchaguzi kweli?
Sasa hivi yupo ITV.
===
Ikiwa kampeni zinaendelea kupamba moto, vituo mbalimbali vya utangazaji vimeanza kuwahoji baadhi ya...
Pamoja na kujipitisha mashuleni kutuomba kura za huruma, mie nimeamua kura yangu sitampa mgombea wa ccm kama nilivyofanya 2015 hii ni kutokana na mambo 10 niliyoyaona kipindi hiki cha miaka mitano...
Kuna hili jambo limenifikirisha sana hadi hatimaye nimepata jibu.
Ukiacha kuwa Bernard Membe alikuwa ni kama backup iwapo Tundu Lissu angeenguliwa, lakini naona kubaki kwa Membe kwenye karatasi...
Kwenye video hapa chini kinaonekana kivuko ambacho kipo upande wa Mwibara. Kilitoka Ukerewe kwenda Mwibara ambapo kimemuacha ndugu Lissu akiwa Ukerewe kwenye mkutano. Yani Lissu amefika Ukerewe na...
[emoji625]MTAA KWA MTAA NA MKUMBO.[emoji625]
Mgombea pendwa wa Ubunge Jimbo la Ubungo Prof. KITILA MKUMBO akiwa katika kampeni za mtaa kwa mtaa kata ya Mabibo na Manzese.
Akisikiliza kero na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.