TANGU Jumatatu ya Oktoba 19,2020 hadi hivi sasa ninapoandika andiko hili, nashindwa kuelewa wala kupata jibu stahiki juu ya kile ambacho vyama vya Siasa nchini Tanzania vinamaanisha pale...
Dakika ya 78 Kipindi cha pili cha lala salama, makocha hawatulii kwenye bench. Muda huu atakayepigwa goli itakuwa imekula kwake.
Wachezaji wa timu ya kijani wote wamerudi nyuma kuweka ukuta...
Kada wa chama Cha mapinduzi na bilionea Davis Mosha amewaambia hayo Wananchi wa Moshi kuwa hata Kama hawakumchagua 2015 kwenye ubunge hatasita kutekeleza ahadi zake alizowapa kipindi hicho.
Pia...
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977, toleo la 20 Juni 2005 imeainisha misingi inayohakisi maamuzi mazito ya watanzania wote juu ya nchi yao kwenye utangulizi wake. Misingi hiyo...
TANDAHIMBA
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CUF, Prof. Ibrahim Haruna Lipumba amesema endapo atachaguliwa kuwa Rais, atahakikisha anaboresha bei ya korosho na wananchi...
Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Geita, Leonidas Felix, amepiga marufuku wapigakura kwenda kula pilau kwa watakaoshinda katika uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28, mwaka...
Kama umefuatilia mkutano wa Membe na waandishi wa habari leo utagundua kuwa mheshimiwa Membe hayuko tayari kumuunga mkono mheshimiwa Lissu kwenye kiti cha urais.
Ikumbukwe kwamba kiongozi wa...
Hii sasa sina shaka kuwa watanzania wameamua kuipiga chini CCM kwa sababu hii!
Mwanzo wa kampeni, CHADEMA walivyoanza kuchangisha pesa ili kusaidia kumalizika kwa kampeni pasipo mkwamo, wengi...
Salaa.
Ikumbukwe jimbo hili Mgombea wa Chadema mwaka 2015 alishindwa kwa figisu alizofanyiwa wakati wa majumuisho ya kura, sasa hali inavyoonekana safari hii Chadema wanaenda kulichukua jimbo...
Na Thadei Ole Mushi
1.Ni kawaida ya wanasiasa, Maadui wao wanataka wawe maadui wetu sote. Hili ndio kosa kubwa la wanasiasa, Kote Duniani.
2.Kosa lingine kubwa ninaloliona hapa ni selection ya...
MGOMBEA URAIS WA ACT NI ZITTO AU MEMBE? TUKO HOI JAMANI
WARAKA WA KWANZA WA VIJANA
Sisi Vijana wa ACT kutoka mikoa mbalimbali tunaendelea kusikitishwa na mwenendo wa uendeshaji wa Chama chetu...
Ikiwa Kampeni zimeshika kasi yule Mgombea ambaye nyota yake inang'ara Mh Tundu Lissu , leo anaendelea na kampeni kwenye Majimbo ya kanda ya ziwa ya Ukerewe na Rorya.
Kama kawaida yetu tuko...
Mgombea Urais wa JMT kupitia CCM, Dkt. John Magufuli amesema jina lake na la Mama Samia lipo juu katika karatasi za kupigia kura hivyo wananchi wasihangaike kuangalia kwingine
Amesema, "Wewe...
Bajeti za Madawa kutoka Billion 34 mpaka sasa Billion 270
80% vijiji vyote vimepata Umeme
Tatizo la Umeme linakwenda kuwa historia kupitia mradi kubwa wa Stigles pale Rufiji ambao utatoa...
Nafahamu kwamba sheria hairuhusu mgombea urais wa JMT mh Membe kumpigia kampeni mgombea urais wa JMT mh Tundu Lissu
Hali ikoje pale Maalim Seif wa Zanzibar anapopanda jukwaa la CHADEMA na...
Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Marekani ameshasema lolote baya litakalofanyika kwenye uchaguzi wa mwaka huu lazima liwe na matokeo kutoka kwake![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wenye akili na...
Kesho ndio siku ya kuapishwa mawakala wa vyama katika uchaguzi mkuu.
Tukumbuke kuwa wakala anaapa halafu anaondoka bila utambulisho wowote, yaani anaondoka kama mimi na wewe!
Eti wakala anaenda...
TUTAWAHUDUMIA WAZEE WALIOLITUMIKIA TAIFA LETU" PROF.LIPUMBA"
TANDAHIMBA
Tutaweka utaratibu wa kitaifa wa hifadhi ya wazee itakayohusisha jamii nzima
kuwalea wazee wetu ambao wengi wao baada ya...
1. Ilani ya Chadema katika SURA ya 12.1 (a), inakusudia kuuza Nchi kwa kuweka REHANI madini yetu. Jaribio hili litaleta mgogoro mkubwa wa ardhi kati ya Wananchi na watakaopewa madini hayo kwa...
BREAKING NEWS: Kamati ya maadili ya Taifa imesitisha adhabu za kufungiwa kwa siku 7 za wagombea wa chama cha NCCR-Mageuzi ndugu James Mbatia pamoja na mgombea Ubunge Jimbo la Moshi Vijijini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.