Hi itasaidia kuondoa mawakala fake watakaojitokeza ili kuleta mchezo na kuwasaidia CCM kuchezea uchaguzi
Ikiwezekana kabisa mngeweka na picha zao na majina yao matatu.
Huu uchaguzi hatutaki...
Chief kalumana inasemekana amakamatwa na polisi akiwa eneo la kuapishwa mawakala na mawakala wa chadema hawajaapishwa hadi sasa.
=====
Jeshi la polisi mkoani Kagera limelazimika kutumia nguvu...
RATIBA YA KAMPENI YA MH #TUNDU LISU
KIPINDI HIKI CHA LALA SALAMA.
TAREHE 18.10.2020
1. HANANG
2. MBULU
3. KARATU
TAREHE 19.10.2020
1. SIMANJIRO
2. MONDULI
3. LONGIDO
4. ARUMERU
5. HAI
6. MOSHI...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Kassim Majaliwa amewataka wakazi wa Masasi watambue kwamba nafasi ya urais inagusa maisha yao na wala si jambo la...
Mpaka 2015 private sectors zilikuwa zinashamiri. Jakaya aliacha mazingira mazuri na bora kabisa kwa sekta binafsi kukua na kuboreka. Ila tokea 2016 makampuni ambayo idadi yake haijulikani...
Mtumishi wa Mungu Askofu, nakusalimu kwa Jina la Yesu Kristo.
Amani ya Bwana Iwe pamoja nawe.
Napenda kukuandikia barua fupi yenye maneno machache.
Napenda kukutambua rasmi kuwa wewe ni...
Nitaboresha urafiki na sekta binafsi ili kuzidi kukuza uchumi wa ndani, fursa za kutosha katika mkoa wa singida ikiwemo kilimo ili vijana waweze kunufaika.
''Kwa sasa sekta binafsi na serikali...
Na Emmanuel J. Shilatu
Harakati za kampeni za uchaguzi Mkuu zinashika kasi kuelekea upigaji kura Oktoba 28, 2020. Wagombea wapo wengi ila leo nitawaeleza kwanini Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama...
Habari wajumbe wangu!
Kwakweli kabisa bila kupepesa macho nasema ukweli kwamba CCM hakuna ajenda wala sera. Mambo ni yale yale miaka yote wamekua wakiyaahidi na kila ikifika uchaguzi wanayarudia...
Poleni na mihangaiko ya hapa na pale ya kutafuta mkate wa kila siku, Tanzania ni moja kati ya nchi iliyojaaliwa tunu kadha wa kadha na Muumba wa mbingu na ardhi, ukiachana na utajiri mkubwa...
Kuna mambo fulani yanaweza kuwa yanakiukwa katika suala zima la ushirikiano wa Chadema na Act wazalendo kuhusu kumuunga mkono Tundu LIssu wenye kugombea uraisi.
Lakini kila mtu, pamoja na CCM...
"CCM sio mbaya ila kuna baadhi ya watendaji wanafanya mambo yanapelekea watu kuja kuichukia CCM..CCM naipenda kutokana na ile mifumo ila kuna baadhi wanayoyafanya watendaji sio mazuri, CCM...
CCM imekuwa ikipoteza uungwaji mkono katika maeneo mbalimbali ya nchi kwa muda sasa na chaguzi zimekuwa zikithibitisha ukweli huu.
CCM ilianza kufutika taratibu katika mikoa ya Kigoma,mikoa ya...
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amesema Jeshi la Polisi halimpendelei yoyote wako kutenda haki na kulinda amani
Amewaambia wanasiasa wasiwe na hofu, Jeshi la Polisi litampigia...
Habari za muda huu ndugu wanabodi wenzangu? Leo nimerudi tena baada ya takribani siku kadha zilizopita kuwa na majukumu mengine na hasa ya kiuchumi pamoja na ya kisiasa.
Tumetafuta kura za...
Anaandika Mhenga wa Wahenga, Kaskazini
Kuna baadhi ya nyaya katika bongo za wenzetu CHADEMA zimelegea na tusipowaangalia vizuri nyaya hizo zitalipuka.
Chadema wameamua kuwafanya Watanzania ni...
Wanaukumbi kwanza niseme wazi kuwa mimi ni Mwanaccm kindakindaki na nyuzi zangu humu zinafahamika tangu nimejiunga na chama hiki miongo kadhaa iliyopita
Kwa miaka mitano kila television, magazeti...
MAGUFULI: Nawashukuru viongozi wa dini kwa Dua na Sala zao. Ninajua wagombe wenzangu wa ubunge wameeleza yote na mikakati mbalimbali ya chama cha mapinduzi kama ilivyofafanuliwa kwenye Ilani...
Asasi ya Ushirikiano wa Siasa,Ulinzi na Usalama (TROIKA) ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) imeridhishwa na mazingira ya hali ya siasa nchini Tanzania yanaruhusu kufanyika kwa...
Nimefuatilia orodha ya wagombea waliofungiwa kufanya mikutano ya kampeni na kamati za maadili kwa kukiuka maadili ya uchaguzi na nimekuta wagombea wa Chadema ndio wengi.
Lakini pia wagombea wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.