Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kawe, Dar es Salaam kwa tiketi ya CCM, Josephat Gwajima amesema aliyekuwa Mbunge wa kawe sio maarufu kwa watu wa Kawe.
Ameyasema hayo alipokuwa kwenye kipindi cha...
Akizungumza katika Mahojiano Maalum na JamiiForums, Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha UPDP, Twalib Kadege amesema iwapo Watanzania watampa ridhaa ya kuongoza...
Akiongea na Vyombo Vya Habari katika Ofisi za jiji la Arusha wakati akiwasilisha malalamiko yake kwa Mkurugenzi msaidizi wa uchaguzi dkt John Pima ,Mgombea Ubunge wa jimbo la Arusha Mjini...
Hebu tuwekane sawa tusije kurukana kimanga baadaye.
Nauliza tu. Kauli na matamko yanayotolewa na mgombea wa CCM, Mh rais John Pombe Joseph Magufuli ndio msimamo rasmi wa chama au ni kauli na...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imewataka watazamaji wa uchaguzi wa ndani na wa kimataifa, waliopewa idhini na tume hiyo kuangalia uchaguzi mkuu, watekeleze wajibu wao kwa mujibu wa mwongozo na...
Tanzanians are counting 6 days to casting their votes later Wednesday next week.
So far the political rallies/campaigns have seen peaceful atmosphere allover the country. Two political figures...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema hakuna mtu yeyote atakayeruhusiwa kukaa mita 100, kusubiri matokeo ya uchaguzi.
Badala yake NEC imeelekeza kuwa kila mpiga kura anayekwenda kupiga kura...
Tunavyofahamu katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977. inaeleza wazi majukumu ya kila mhimili wa Dola, ikiwa Bunge ndilo lililopewa jukumu la kupanga bajeti na kupanga miradi hiyo...
Mabibi na mabwana heshima kwenu.
Hapa ni ushauri wa bure kwao vyama vyote watia nia kuelekea lala salama katika uchaguzi huu.
Zimekuwapo changamoto nyingi katika kufikisha ujumbe kwa wapiga...
Tarehe 28/10/2020 umeoga asubuhi na mapema kwenda kuratibu au kusimamia uchaguzi, kwa mazingira yalivyo mkeo na watoto wanakuombea uende na urudi salama huku wakikuomba ukatende haki.
Unafika...
Kampeni za Lisu zimekushtua na zimeishutua CCM kuwa wananchi wengi hawakuridhika na namna ulivyoongoza katika kipindi hiki cha awamu ya kwanza. Tumekaa na kufikiria tumeona tukupe kura as the last...
Kilio cha wakulima wa mkoa wa Manyara ni kushuka Bei kwa mazao yao Kama mbaazi, maharage na mahindi.ADC ukipata ridhaa kwa wananchi inafanya maboresho ya sekta ya kilimo pamoja na kurudisha hadhi...
Nilidhani wakati huu wa uchaguzi wapiga kura ni WAFALME.
Kitendo cha Magufuli kupiga magoti na kuwaomba Wanambeya kura kilionyesha unyenyekevu na heshima kwa wapiga kura.
Wagombea lukuki wa CCM...
1. Mthubutu wa Maendeleo ya Watanzania na Tanzania
2. Anajiamini na haogopi wala hatishiki kama Sifa Kuu ya Amiri Jeshi Mkuu makini
3. Ana Unyerere 40% na Usokoine 60% ambavyo vinamsaidia sana...
Huenda wengi wasinielewe kwenye hili.
Nani anakumbuka 2018 harakati za Mange? Sasa kama bado tuko na akili na uoga huo basi bora tumpigie Magufuli kura kwa sababu hizi.
1. Sehemu zenye Wapinzani...
Tumefika nyakati ambapo:-
Unaahidiwa kuwa ukichagua upinzani, hutapata au kuletewa maendeleo
Kuweka bendera ya upinzani kwenye duka lako ndio chanzo cha kufungiwa biashara zako zote
Kuweka...
Ni nani atabisha kuwa kwa kuwepo "haki" tu katika uchaguzi huu tunapita salama?
Haki itatupa viongozi bora.
Haki itatupa viongozi chaguo la watu.
Haki itatufanya tuheshimike tena.
Haki...
Mgombea Urais wa CCM ndugu John Magufuli azidi kung'ara kwa miradi yake yenye tija kwa watanzania. Mradi wa daraja jipya la wami wafikia 45%. Hii itapunguza ajali hivyo kuokoa maisha pia...
NASAHA MUHIMU SANA...
Maisha mazuri au mabaya hayaletwi na kiongozi, bali ni kwa yale yanayochuma mikono yetu, tubadilike na tuwe wema kwanza sisi!
Tusijidanganye kwa kura, tufanye subra na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.