Baada ya mwaka jana chama cha ANC kupata kiasi cha asilimia 40 tu ya kura, mwaka huu wamekuja na sera ya kuwezesha kufanyika land redistribution. Kwa miaka yote wazungu wachache wa SA bado...
Mpigania Uhuru, Haki na Demokrasia Nchini Tanzania, ambaye idadi ya kukamatwa kwake na Polisi haihesabiki, Mdude Nyagali ameonekana Ikungi Mkoani Singida wakati wa Mapokezi Makubwa ya Mwenyekiti...
Kijiji cha Nkalakala kimepata fedha milioni sita kutoka kwa Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Singida Jesca Kishoa ambazo zitatumika katika kusaidia miradi mbalimbali ya maendeleo.
Hayo yamefanyika...
Wakuu,
Katika kuhakikisha wananchi wanafikiwa na huduma ya nishati safi ya kupikia, wanawake wazee kijiji cha Msae, kata ya Mwika Kaskazini mkoani Kilimanjaro wamewezeshwa mitungi 60 ya gesi ya...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza kuanza kwa mzunguko wa 12 wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, ambao utafanyika mkoani Morogoro na sehemu ya mkoa wa Tanga kwa siku...
Nimemsikia anasema hakuna wa kuzuia uchaguzi mkuu katika nchi hii. Naona kama anakosea na anapitiliza sasa. Hii nchi siyo mali ya mtu au chama cha siasa.
Pia soma: Pre GE2025 - Mzee Wasira...
Wakuu,
Baada ya Samia Legal Campaign, sasa hivi CCM wamekuja na hii ya kuitwa Samia Teachers kwa ajili ya kupata kura za walimu.
Hapo walimu watadanganywa kuwa wanatatuliwa changamoto zao ili...
Hao vijana wenyewe wanaopewa ushauri huu ndiyo kwanza wako busy na uchawa
===
Ikiwa imebaki miezi minane kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, vijana wametakiwa kuacha tabia ya upambe na kubeba...
Tunaikaribia Nigeria. Mambo haya yanaathiri utambulisho wa taifa letu. Baadhi yetu tumefaidi matunda ya jina zuri la taifa letu ndani na nje ya mipaka. Jina hilo lilijengwa kwa gharama kubwa na...
Amri hiyo kabambe iliyojaa Ukakamavu imetolewa leo na Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu mjini Manyoni
Taarifa kamili hii hapa
UJUMBE-NO REFORM NO ELECTION
Mtumishi wa Mungu Clear Malissa ametangaza kufanya maombi makubwa katika Uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam, yatakayohudhuriwa na waumini wa dini zote nchini.
Maombi hayo yanalenga kuiombea...
Balozi wa mazingira na muhamasishaji, Ndugu Michael Msechu, amekutana na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti, ambapo wamejadili mpango wa kufanya ziara ya kuhamasisha vijana na wananchi...
Mbunge wa Jimbo la Chalinze na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu Mhe Ridhiwani Kikwete Jana amejitokeza katika Ofisi ya Kata ya...
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu Ashiriki Mkutano Mkuu wa Jimbo la Maswa Mashariki
Maswa, 16 Januari 2025 – Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Mohamed Seif...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Rose Mayemba ametoa wito kwa viongozi wa dini nchini kutokuwa waoga na kukemea dhambi zote ikiwemo ufisadi bila kujali imefanywa...
Mwaharakati wa Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mdude Nyagali amemwambia Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu kama asingekuea mpigania haki basi asingeweza kumuunga mkono.
Mdude ameyasema hayo...
Mwenyekiti wa Kampeni ya 'Mama Asemewe', Geoffrey Kiliba, ametoa onyo kali kwa wanasiasa ambao wameshindwa kuthamini vizuri ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Soma Pia: Special Thread...
Utangulizi
Katika muktadha wa maendeleo ya nishati safi, kuna haja ya kuangazia jinsi mitungi midogo ya gesi inavyotolewa kama sehemu ya ajenda hii.
Ingawa nia inaweza kuwa ya kutoa suluhu kwa...
Hakuna mahesabu yoyote ambayo ya naweza kutoa jibu kwamba kwa muda tulio nao, nchi inaweza kufanya mabadiliko makubwa ya kikatiba.
Tunajua Lissu na genge lao wana kiu kali ya madaraka wakiamini...
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira amesema hakuna chombo chochote cha serikali wala chama cha siasa kinachoweza kuahirisha uchaguzi mkuu wa mwaka huu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.