Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

  • Redirect
Katika kile kinachoonekana kuendelea kwa mivutano ya makundi ndani ya Chadema, kada mmoja wa chama hicho, amepinga uteuzi wa viongozi watendaji wa juu wa sekretarieti na wajumbe wa kamati kuu ya...
1 Reactions
Replies
Views
Baraza la Halmashauri ya Wilaya ya Geita limesema kwa asilimia 95 limetekeleza ilani ya Chama cha Mapinduzi katika kukamilisha miradi mbalimbali ambayo inaendelea kujengwa na iliyokamilika katika...
0 Reactions
0 Replies
73 Views
Rais Samia alipopendekezwa kuwa mgombea wa urais 2025, kuna mjumbe alisimama na kuwambia yeye na mwinyi inabidi watoke nje ili wapigiwe kura, ambako Rais Samia alijibu hawezi kutoka nje, kama ni...
25 Reactions
120 Replies
10K Views
Katibu wa jumuiya ya Wazazi Ally Hapi amewataka vyama vya upinzani kuacha visingizo vya kukimbia mapambano ya uchaguzi kwani mabadiliko wanayoyataka wapinzani tayari Watanzania wameshayapata...
2 Reactions
12 Replies
623 Views
Wakati tunaelekea kwenye Uchaguzi Mkuu ambako pia wananchi watapata nafasi ya kuchagua wabunge watakaowawakilisha kwa miaka mingine 5, tunashashuhudia viongozi wakianza kutangaza nia na kuahidi...
0 Reactions
5 Replies
638 Views
Kwamba pamoja na uzee wake, Lakini kumbe makamu mwenyekiti wa CCM bara, mzee Stephen Wasira ni vibrant, powerful na influencial politician, kiasi kwamba mtu anaejiita msomi, mwenye mdomo na...
6 Reactions
76 Replies
1K Views
Amesema kuwa ameona taarifa ya jeshi la polisi kuhusu kutekwa kwa Katibu huyo, Soma: Pre GE2025 - Amani Manengelo, Katibu wa BAVICHA Mkoa wa Mwanza, ameripotiwa kutekwa na kupotea tangu tarehe...
1 Reactions
12 Replies
740 Views
Tundu Lissu: Tubadilishe tarehe ya Uchaguzi Mkuu kwa Miaka miwili ili tuwe na tume Huru. Waati akihutubia Maelfu ya Watu huko Mkoani Singida hii leo, amesema Uchaguzi uahirishwe. Amesema kuliko...
20 Reactions
77 Replies
3K Views
Lissu ameeleza kuwa hakuna mpasuko kwenye chama chao na pia amesema wamefanya uchaguzi wa kihistoria kwa mara ya kwanza katika historia ya chama chao kwa takribani zaidi ya miaka 30. Ameeleza pia...
4 Reactions
15 Replies
618 Views
Wakuu, Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika usiku wa Tuzo za Wasanii wa Vichekesho (Tanzania Comedy Awards) zitakazofanyika Februari 22, 2025 katika ukumbi wa The Super...
10 Reactions
48 Replies
1K Views
Wananchi Mkoani Lindi wametakiwa kujitokeza kupata elimu ya msaada wa kisheria kupitia kampeni ya mama Samia Legal AID inayolenga kutatua changamoto za kisheria ambazo zinawakumba wananchi. Rai...
0 Reactions
2 Replies
146 Views
Nini hasa unadhani kimepelekea vyama vya upinzani nchini, kupuuza na kuukalia kimya wito wa kuunganisha nguvu ya upinzani kisiasa na kiongozi mpya wa Chadema Taifa, kuelekea uchaguzi mkuu wa...
4 Reactions
35 Replies
496 Views
Kuelekea uchaguzi mkuu mwaka huu kuna mbilinge kubwa linaendelea ktk majimbo mengi hapa nchi. Fedha zinamwagwa Kama ulezi Kwa wananchi, wajumbe, wenyeviti n.k.. Si DSM, Songwe, Geita, Mwanza...
1 Reactions
2 Replies
169 Views
Akizungumza na wananchi na wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM katika Kata 3 za Nyamagaro kyang'asaro na Nyamtinga, Mbunge wa Jimbo la Rorya, Jafari Chege amewawetaka wananchi wa Kata hizo...
0 Reactions
4 Replies
162 Views
Kasi ya Wasira CCM imeharibu mipango, malengo na uelekeo wa upinzani kabisa nchini. Imewadhoofisha na kuwapotezea matumani kabisa, kiasi kwamba wamekosa na hawajui la kufanya. Kwa kipindi kifupi...
3 Reactions
13 Replies
331 Views
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, ameendelea kuzungumzia changamoto za mfumo wa uchaguzi nchini, akisema kuwa kura ya mtu mmoja lazima iwe sawa na kura ya mtu mwingine popote ndani ya...
1 Reactions
4 Replies
362 Views
Bado tuna safari ndefu sana ambayo kwa sasa ccm inaonyesha kutoa pesa nyingi kwenye media na mitandao watu wasijenge uwezo wa kuhoji kwa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi 2025. Kuna party nyingi...
3 Reactions
6 Replies
149 Views
Hii ni moja ya kauli za Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa (NEC) wa Mkoa wa Mbeya, Ndugu Ndele Jailos Mwaselela, alipotekeleza ahadi yake ya kuchangia ukarabati wa ofisi...
1 Reactions
4 Replies
233 Views
Habari Ndugu zanguni, Nadhani wote tumemsikia Tundu Lisu akitoa hoja zake kuhusu chaguzi zetu. Tukiacha ushabiki pembeni na kuwa Wazalendo, tutaona kwamba hoja zake ni za Kitaifa, haziegemei...
64 Reactions
180 Replies
5K Views
Tunza sana huu Unabii na usidanganyike na No Reforms No Election Chadema itashiriki uchaguzi na itajipatia Wabunge wengi tu na huenda ikatoa Waziri mkuu ambaye ni Freeman Mbowe Ni ngumu sana...
9 Reactions
39 Replies
922 Views
Back
Top Bottom