Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Wananchi wa Kiranyi wilaya ya Arumeru wamefunga barabara kwa zaidi ya masaa matatu kwa lengo lakufikisha ujumbe kwa serikali, kutokana na ubovu wa barabara hiyo kwa muda mrefu huku wakilaumu...
0 Reactions
1 Replies
191 Views
Wakuu, Waziri Kivuli Ofisi ya Waziri Mkuu-Bunge, Sera , Vijana , Kazi na Ajira amesema yafuatayo wakati yuko kwenye kwenye mahojiano pale EATV "Hoja ya kushiriki uchaguzi mkuu bado hatujaifuta...
1 Reactions
8 Replies
259 Views
CCM mwiko kusema mitano tena kwa mbunge na diwani. Mitano tena ni kwa Rais Samia Suluhu tu kwa madiwa na wabunge mwendo wa ngiri mkia juu. Hayo yamesemwa na Katibu wa Siasa na Uenezi Mkoa wa...
0 Reactions
6 Replies
373 Views
  • Redirect
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni mgombea mwenza wa kiti cha Urais Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema wapo watu wameanza kampeni za kutaka kuwatoa majimboni wabunge waliopo...
0 Reactions
Replies
Views
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni mgombea mwenza wa kiti cha Urais Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema wapo watu wameanza kampeni za kutaka kuwatoa majimboni wabunge waliopo...
1 Reactions
4 Replies
319 Views
Tangu Rais Samia alipopokea kijiti cha uongozi wa nchi mwaka 2021, amesifiwa na baadhi ya Watanzania kama Mama mwenye moyo wa ukarimu, hususan katika kujitoa kwa hali na mali pale anapodhani...
4 Reactions
17 Replies
3K Views
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Halima Mamuya amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan hatakuwa na mpinzani katika...
0 Reactions
1 Replies
105 Views
Historia ya Tanzania tangu ukoloni ni uzalendo na kujitoa kwa maslahi ya watu wote sio ya mtu mmoja uzalendo huo ndio umetufikisha hapa hivi leo kwenye Tanzania ya sasa nzuri na kwa hakika ni...
3 Reactions
24 Replies
459 Views
Wakuu, Wote tunashuhudia kipindi hiki cha uchaguzi wanasiasa wakiangahaika huku na hukokuonesha wananchi wao ni watu wa kazi, wanawasikiliza kero za wananchi na kuzitatua kwa wakati, wanafika...
0 Reactions
0 Replies
179 Views
Honeymoon si mnaijua? 😁😁😁 Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara Stephen Wasira, amesema Chama na Serikali yake haitakubaliana na azimio lolote litakalotolewa na Chama cha...
2 Reactions
9 Replies
514 Views
Makamu Mwenyekiti CCM Stephen Wasira atupa vijembe kwa CHADEMA adai hawajashika dola lakini wanagombana na kushikana mashati je wakipelekwa ikulu si watagawana hadi vikombe? Soma Pia: Pre GE2025...
0 Reactions
45 Replies
2K Views
Wakazi wa Mbagala Mzinga Wamefunga barabara ya kutoka Dar kwenda Mikoa ya kusini kwa madai ya kuchoshwa na ajali kwenye eneo lao, jambo hilo limesababisha foleni kubwa ya Magari. Jambo hilo...
13 Reactions
60 Replies
5K Views
Mjumbe wa Baraza kuu UVCCM Taifa Viti Vitatu Tanzania Bara Ndg. Shamira Mshangama akiwa kwenye muendelezo wa ziara yake ya kuimarisha uhai wa Jumuiya ya Vijana CCM na kuhamasisha ushiriki wa...
0 Reactions
2 Replies
97 Views
Baraza la Wazee wa Jiji la Arusha limeunga mkono uamuzi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wa kumteua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kugombea tena nafasi ya...
1 Reactions
6 Replies
232 Views
Vyama vya siasa, hasa vyama tawala katika nchi za Dunia ya Tatu kama Tanzania, hutumia mbinu nyingi za hadaa kuwashawishi wananchi na waumini wa demokrasia ili waendelee kushikilia madaraka na...
0 Reactions
1 Replies
116 Views
Wakuu NCCR nao nao wanadai hawapo kuunganisha nguvu na chama chochote cha upinzani, wanasahau kidole kimoja hakivunji chawa Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila...
3 Reactions
19 Replies
592 Views
Wanabodi, Saa hizi ni usiku mkubwa, usingizi umejigomea, hivyo nimeshuka jf. Baada ya mwana CCM mwandamizi, ambaye ni born and breed CCM, kusema ukweli kuhusu ushindi wa uchaguzi kwenye baadhi ya...
16 Reactions
26 Replies
1K Views
Anasisitiza kwamba no reform no election. Akiulizwa mtasusia uchaguzi? Anakataa kwa nguvu zote kwamba chadema haiko tayari kususia uchaguzi. Akiulizwa ni lini mtatangaza jina la mgombea wenu...
6 Reactions
97 Replies
2K Views
Miaka mitano imeshaisha sasa miamba inaenda kuomba nafasi kwa miaka mitano mingine kisha wakapige makofi bungeni na kusisitiza kuwa vijana wajiajiri ilihali wao wamekomaliaga hapo tu. === Mbunge...
2 Reactions
34 Replies
891 Views
Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Ruvuma kimewataka wanachama wake kuhakikisha wanazingatia taratibu, Sheria, na kanuni za Uchaguzi wakati wa mchakato wa uteuzi wa wagombea wa Ubunge na Udiwani...
0 Reactions
0 Replies
87 Views
Back
Top Bottom