Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

BARAZA la Wazee mkoani Arusha limetaka ushirikishwaji katika vikao mbalimbali vya kijamii na ngazi za kimaamuzi ikiwemo bungeni ili kutumia hekima na busara zao kwenye hatua za maamuzi katika...
0 Reactions
0 Replies
64 Views
Wananchi hao wa Kiboriloni wamesikika wakilalamika miundombinu ya barabara kuwa ni mibovu sana na mbunge wao hawajamuona tokea atoe ahadi ya kushughulikia barabara hiyo. Wameongeza kuwa...
0 Reactions
3 Replies
163 Views
Habari za leo, Kwa maoni yako nani anaweza kulisaidia hili Taifa ili lisonge mbele kimaendeleo kwa kasi. Binafsi huwa namkubali sana Majaliwa K. Majaliwa. Namuona kama mtu ambaye anaweza...
5 Reactions
175 Replies
7K Views
Katibu wa Kamati Maalum ya NEC, Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI) CCM Zanzibar Ndg. Khadija Salum Ali amefanya zoezi la kuhamasisha Madereva wa Boda boda Saateni (Pinda Mgongo) juu ya...
0 Reactions
2 Replies
116 Views
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa, Ndugu Ally Hapi, ametoa onyo kali kwa viongozi wa Serikali za vijiji wanaotokana na CCM, akiwataka kuacha tabia ya kujiona miungu watu kwa kuwaonea...
0 Reactions
0 Replies
90 Views
Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mhe. Mrisho Gambo amesema Chama cha Mapinduzi na wanachama wake wameshafanya maamuzi ya kumteua Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Mgombea wa Urais hivyo wanaopiga...
0 Reactions
3 Replies
166 Views
"Kwa mfumo wowote ule (upinzani) hawataweza kuing'oa @CCM madarakani, kwa sababu kila chama kinataka kupata ruzuku, ukitaka kuiondoa CCM madarakani inabidi uanze harakati za kufika hata maeneo...
1 Reactions
7 Replies
266 Views
"Tunayo kampeni inayoendelea ya Dkt. Samia Suluhu Hassan ya masuala ya nishati safi ya kupikia, kampeni ambayo inakwendaa kuokoa mazingira yetu, na ambayo sisi kwenye mji wa utalii tunatakiwa...
0 Reactions
3 Replies
49 Views
  • Redirect
"Tunayo kampeni inayoendelea ya Dkt. Samia Suluhu Hassan ya masuala ya nishati safi ya kupikia, kampeni ambayo inakwendaa kuokoa mazingira yetu, na ambayo sisi kwenye mji wa utalii tunatakiwa...
0 Reactions
Replies
Views
Wakati akifanya mahojiano na ITV, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu amehoji ni wapi Rais anatoa fedha za kuwapa viongozi wa dini? kwa mshahara upi? Kupata taarifa na matukio yanayojiri...
6 Reactions
68 Replies
2K Views
Mbunge wa Arusha mjini Mrisho Gambo anazungumza muda huu lengo ni Uhamasishaji wa Kutoa Elimu a Nishati Safi kwa Viongozi wa Baraza la Wazee Arusha Karibu kufuatilia kinachoendelea...
0 Reactions
2 Replies
364 Views
Kesi ya kusambaza taarifa za uongo katika Mtandao wa X inayomkabili mwanasiasa mkongwe nchini, Dk Willibrod Slaa (76) itatajwa leo Jumatano, Februari 19, 2025 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi...
0 Reactions
2 Replies
252 Views
Huu ni ushauri wa bure kabisa kwa uongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuelekea uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba, 2025 kwamba kwa viashiria vyote vya kitafiti na kiuchambuzi wa sayansi...
5 Reactions
46 Replies
522 Views
Yani kila mwaka CCM sera zao ni maendeleo sekta ya afya na elimu, miaka zaidi ya 60 ya uhuru bado sera zao wanazoona zitawapitisha ni kama za miaka ya 70 huko. Soma: Pre GE2025 - Special Thread...
0 Reactions
0 Replies
89 Views
No reform no elections ni agenda ya kuwapotezea uelekeo wa kisiasa chadema na kuwapoteza kabisa kwenye ramani ya siasa. Hakuna alie na uhakika ikiwa chadema watashiriki au hawatashiriki uchaguzi...
1 Reactions
0 Replies
151 Views
Mbunge wa Gairo Ahmed Shabiby ambaye ni kaka wa mfanyabiashara Meleikh Online Shabiby alivamia sherehe ya wafanyakazi wa Mdogo wake Meleikh Shabiby na akapata nafasi ya kuzungumza na wafanyakazi...
1 Reactions
6 Replies
617 Views
Jimbo la Vunjo ni kati ya majimbo 100 nchini ambayo yamenufaika na mradi wa ujenzi wa shule mpya za sekondari Mafunzo ya Amali Uhandisi, ili kuwawezesha Vijana kupata ujuzi na kuwa mahiri. Kwa...
0 Reactions
6 Replies
238 Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Victoria kimekusudia kufanya maandamano ya amani kwenda kukutana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda kushinikiza kutoweka kwa Katibu wa...
3 Reactions
42 Replies
1K Views
Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, nakuja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", leo nazungumzia kitu kinachoitwa the Political Vision, Focus na Targets. Moja ya matatizo...
17 Reactions
86 Replies
5K Views
Najiuliza tu sipati jibu. Ni KWELI kuna mihimili mitatu, Dola, Mahakama na Bunge, mihimili hii haiingiliani, Ila kwa mujibu wa kauli ya rais wa awamu ya tano, kuna mhimili mmoja una mizizi mirefu...
25 Reactions
140 Replies
2K Views
Back
Top Bottom