Mama umepigaje hapo? Zile timu 2 zitauawa kwadizaini hiyo. Yule wa Cuba pia anarudishwa chamani kuchukua nafasi ya ndugu marangi(kwa kiingereza marangi ni ma.....)
Pole sana kaka Gambo kumbe...
Kwa sasa, tunaona mwanamke anayewania urais pamoja na chama cha siasa kinachotaka mgombea wao wa nafasi hiyo awe mwanamke.
Hata hivyo, dini inasema bila utata kwamba mwanamke haruhusiwi kuwa...
Nilifanikiwa Kutembelea Ofisi Ya Kata Ya Kivule, Iliyopo Wilaya Ya Ilala, Mkoa wa Dar Es Salaam, Ili Kuweza Kupitia Taarifa Ya Utekelezaji wa Ilani Ya Chama Cha Mapinduzi Kwenye Kata Ya Kivule...
Ni mwezi, miezi na mwaka sasa watendaji wa umma wameamua kuwa sikio la kufa.
Mnamo mwezi ya saba mwaka 2024 mh waziri alitembelea kinyerezi kuondoa kero ya maji iliyotesa wananchi. Aliiweka chini...
Mh. Tundu Lissu amealikwa Chuo Kikuu cha Makerere kutoa mhadhara wa umma juu ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na ushawishi wake katika siasa na katiba za Afrika Mashariki.
Tega sikio
Kuna haja gani ya kuchangisha watumishi pesa ili mitungi ya gesi inunuliwe kwa pesa za watumishi kwa lengo la kutengeneza taswira kuwa mama katoa zawadi ya mitungi ya gesi kwa wananchi.
Kama...
Kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, maswali mengi yanajitokeza kuhusu mume wa Rais Samia Suluhu Hassan, Hafidh Ameir.
Katika kipindi hiki, ni muhimu kujua kama Hafidh atajitokeza hadharani...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Amos Makalla amesema kwamba ccm haitegemei Kubebwa, haina haja ya kuteka watu na kuwatupa maporini ili kupata ushindi
Na kwamba kauli za aliyekuwa DC wa...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ametembelea na kujionea maendeleo ya ujenzi wa Msikiti wa BAKWATA Wilaya ya Karagwe mkoani Kagera (Masjid Zahra)...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ambae pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC Organ akishiriki...
Ipo dhana ambayo imejengwa na baadhi ya wapenzi wa vyama vya siasa, kwa kuwaita machawa, wale wote wanaoonekana kuipenda CCM, kwa mioyo yao.
Watanzania wanauhuru wa kupenda chama chochote cha...
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kwa mujibu wa takwimu zisizo rasmi matumizi ya simu nchini Tanzania yamefikia karibu Wananchi Milioni 30 hadi 40.
Kwenye hao wanaotumia simu. Matumizi ya simu janja yaaani smartphones yanaweza...
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na Makundi Maalum, Wakili Amon Mpanju amewataka wanawake kujitokeza kwa wingi kwenda kugombea nafasi mbalimbali za uongozi kwenye uchaguzi...
Halmashauri ya Manispaa ya Singida, ikiongozwa na Mkurugenzi wake, Joanfaith Kataraia, imefanya bonanza maalum la kusherehekea Siku ya Wanawake. Katika bonanza hilo, yamefanyika mashindano ya...
Jana nilipata wasaa wa kumuona Waziri Simbachawene katika shuguli za kiserikali. Katika kutupia macho dress code yake nibaini amepachika nembo katika suti yake. Kusogeza zaidi nikabaini haikuwa...
Kuelekea siku ya Wanawake Duniani tarehe 8 mwezi wa tatu itakayofanyika kitaifa mkoani Arusha, leo wakazi wa mkoa huo wamefurika nje ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Paul Makonda kwa ajili ya kufanya...