Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Viongozi Dini Mkoani Iringa wametoa wito kwa Vyama vya Siasa, wagombea na wananchi kuwa wastaarabu wakati wa Kampeni na baada ya Uchaguzi iku kulinda na kudumisha amani iliyopo nchini. Pia, Soma...
0 Reactions
3 Replies
249 Views
Wakuu, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Kagera imewaonya wagombea wa nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024...
0 Reactions
2 Replies
230 Views
Baadhi ya wananchi wa Mkoa wa Dodoma wameviasa vyama vya siasa nchini kudumisha amani wakati wa kukamilisha michakato ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024 Pia, Soma...
1 Reactions
1 Replies
173 Views
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Singida, ACP Amon Kakwale, amewataka waandishi wa habari kutumia kalamu zao kama nyenzo ya kuimarisha mshikamano wa Watanzania badala ya kuleta mgawanyiko...
0 Reactions
0 Replies
155 Views
Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga imeanzisha kampeni ya kuhamasisha wananchi kushiriki kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024, kwa kutumia michezo...
0 Reactions
1 Replies
181 Views
Baadhi ya wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam wamesema, baada ya kukamilika kwa mchakato wa kujiandikisha kwenye Daftari la Mkazi la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni wakati wa wananchi kujiandaa...
0 Reactions
0 Replies
162 Views
Viongozi wa Dini mkoani Manyara wametoa wito kwa vyama na wagombea wa vyama vya siasa kutumia lugha za kistaarabu wakati wa kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa zinazoanza Novemba 20 mwaka huu...
0 Reactions
0 Replies
142 Views
Wanawake wa Wilaya ya Babati Mkoani Manyara wamewataka Wagombea wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na wanachi kwa ujumla Wilayani humo kufanya na kushiriki kampeni za kistaarabu katika uchaguzi huo...
0 Reactions
0 Replies
299 Views
Wakuu Kumeanza kuchangamka huko Arusha Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini Godbless Lema, ameagiza wanachama wote waliofanya fujo wakati wa zoezi la...
2 Reactions
32 Replies
2K Views
Kwamba wanasababisha fujo, ikumbukwe kwamba Wagombea wa uchaguzi wa serikali za Mitaa wa Chama hicho wapo kwenye ofisi za Halmashauri kusubiri hatima yao Ngoja tusubiri namna watakavyopigwa kwa...
9 Reactions
118 Replies
3K Views
Mtendaji wa kata ya kiwira ambaye ni kada mtiifu wa CCM anahujumu uchaguzi pamoja na mtendaji wa kijiji cha Mpandapanda wamewaengua wagombea wote wa CHADEMA kijiji cha Mpandapanda au Kiwira Mjini...
1 Reactions
3 Replies
262 Views
Mchengerwa: 1. Unaona kabisa anajiamini kusema analolisema. Unaona kabisa kuwa ana mamlaka Kuu inampa kiburi na arrogance! 2. Hakuna kitakachobadirika. 3. Kama alisema Lisu, uchaguzi umeisha...
4 Reactions
9 Replies
346 Views
Viongozi wa CHADEMA wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro wakieleza jinsi rufaa zao za majimbo ya Moshi vijijini, Moshi mjini na Vunjo 'zilivyogonga mwamba' chini ya Mwenyekiti wa kamati ya rufaa ya...
0 Reactions
22 Replies
1K Views
Wakuu, Sidhani kama hizo sehemu nyingine mambo yatakuwa tofauti. Serikali (CCM) itasema mchakato ulikuwa wa huru na haki, wamepokea hata mapingamizi tena wakaongeza na siku za kupokea mapingamizi...
0 Reactions
6 Replies
467 Views
Nabii wa Mungu, Godbless Lema, leo amekitendea haki Cheo Chake cha Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini, baada kuwatimulia mbali Maofisa wa TAKUKURU waliohudhuria semina ya Wagombea wa Uenyekiti wa...
15 Reactions
111 Replies
5K Views
Wakuu naona mambo yanazidi kuwa tofauti na vile ilivyotarajiwa licha ya imani iliyojitokeza baada ya Nchimbi kutoa kauli. Ama ndiyo kusema wote makosa yao ni makubwa makubwa?
4 Reactions
23 Replies
974 Views
Majibu yaliyotolewa na Kamati leo tarehe 15 Novemba, 2024, ambapo hakuna mgombea yeyote aliyeshinda katika majibu hayo ya mapingamizi kwa sababu zilizoambatanishwa ikiwa ni rufaa hizo...
1 Reactions
72 Replies
2K Views
Nimeshangazwa na chama cha ACT-WAZALENDO siku ya kesho wanaenda kuzindua ilani ya chama chao kwajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa kwa uchaguzi upi? Kwa wagombea wepi? Katika jukwaa ili kuna...
0 Reactions
16 Replies
606 Views
Makamu Mwenyekiti CHADEMA upande wa Bara, Tundu Lissu, ameweka wazi aina ya watu wanaostahili kuwa viongozi ndani ya chama chao. Akizungumza leo Novemba 13, 2024 mkoani Singida wakati akifungua...
4 Reactions
35 Replies
2K Views
Back
Top Bottom