"Wapo Wanaccm waliowekewa mapingamizi, wapo wa ACT, wapo wa CHADEMA, na majibu ya mapingamizi yalitoka, lakini kwa hatua za rufaa kwa maelekezo ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi ambaye ni Rais...
13 November 2024 Arusha, Tanzania
CHADEMA WANAZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI MUDA HUU, tathimini kuelekea uchaguzi 2024
https://m.youtube.com/watch?v=GStMiPMklKs
Katibu wa CHADEMA Kanda ya...
Wakuu,
Saa 5 asubuhi hii Mbowe kutema cheche Makao Makuu ya CHADEMA, Mikocheni, nini kitaendelea? Vuta sofa kwa updates.
https://www.youtube.com/live/9kQEVPB0RAk?si=U4fqpWwWOg47j7jV
===...
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Nape Nnauye, amefanya mahojiano na kituo cha redio cha VOS FM na kuelezea matarajio ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC) Oganaizesheni, Issa Usi Gavu, akiwa kwenye mkutano wa wana CCM Rorya amesema; "mwongozo uko wazi CCM, fanya kosa lolote tutakusamehe, kosa la...
Wakuu,
Kampeni zimeanza rasmi leo Novemba 20, 2024, mambo yatakuwa moto huko mtaani kila chama kujinadi ili wajihakikishie ushindi mnono.
Je, yapi matarajio yako kwa wagombea katika uchaguzi...
Baadhi ya wagombea nafasi za uongozi ndani ya CHADEMA wilayani Serengeti wameeleza changamoto walizokumbana nazo katika harakati zao za kisiasa. Wameeleza kuwa rufaa walizowasilisha kupinga...
Hii ifike kwa OR TAMISEMI ni kwamba Watendaji kata wamekuwa kikwazo kwa watumishi kuomba sababu wanachajiwa 30k-50k ili wapate ñafasi na ndiyo chanzo cha idadi ya waombaji wamekuwa wachache
Vyama vya siasa wilayani makete mkoani Njombe vinavyoshiriki uchaguzi wa serikali za mitaa vimetakiwa kufanya kampeni za kistaarabu kwa kunadi sera zao kwa wananchi badala ya kutoa matusi au...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amewaomba viongozi wa dini mkoani humo kutumia nafasi zao kuhamasisha waumini wajitokeze katika uchaguzi wa Serikali za mitaa na amani itawale.
Makonda...
Huyu ni Mgombea wa nafasi katika Serikali ya Mtaa Mshikamano, huko Mbezi Louis, jijini Dar. Anaitwa Masoud “Lupenga” Mbaruku.
Kwenye moja ya kampeni zake ameahidi kuwa watafanya vyovyote vile...
Zoezi la kupiga kura kwa ajili nafasi ya Mwenyekiti na Wajumbe mtaa wa Mwananyamala-Kisiwani jana, Oktoba 23 lilishindikana kutokana na sababu mbalimbali, ikiwemo baadhi ya majina kutokuwepo...
Mshikemshike umeanza
Imeelezwa kuwa wanachama takribani 19 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jimbo la Kilombero, mkoani Morogoro wanashikiliwa na Jeshi la Polisi wakituhumiwa...
Wazee na Viongozi wa Dini Wilayani Ikungi Mkoani Singida wamekutana Kujadili na Kuombea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao unatarajiwa Kufanyika Mapema wiki Ijayo ili Ufanyike wa Amani na...
Wakuu,
Jeshi la polisi Halmashauri ya mji Makambako,limesema kuwa limejipanga vyema kuimarisha ulinzi na usalama katika kipindi cha chote cha kampeni ili vyama vyote vya kisiasa vifanye kampeni...
Wakazi wa Longido wamepatiwa elimu ya mpiga kura ili kuepuka makosa wakati wa uchaguzi. Mkuu wa Polisi Jamii Wilaya ya Longido, ASP Tausi Mbalamwezi, amesema elimu hiyo inalenga kuwapa wananchi...
Halmashauri ya mji wa Njombe imekiri kuweka sawa mazingira ya uchaguzi wa serikali za mitaa hadi kwa makundi maalumu ili yaweze kushiriki kikamilifu katika mchakato mzima wa uchaguzi unaotarajiwa...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa amesema Chama cha Mapinduzi (CCM), kimefanikiwa kuweka wagombea katika nafasi zote za vijiji...
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, amekanusha vikali kauli ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed...
Msimamizi wa uchaguzi halmashauri ya mji wa Njombe, Kuruthum Sadick amesema kuwa kuelekea kwenye kampeni za uchaguzi mpaka siku ya uchaguzi hakuna kijana atakayeweza kutumika kuvuruga zoezi la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.