Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Tundu Lissu, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara na mwanasiasa mashuhuri, amepokelewa kwa shangwe na hamasa kubwa mkoani Mara wakati wa ufunguzi rasmi wa kampeni za uchaguzi za Chama cha Demokrasia...
4 Reactions
4 Replies
414 Views
Mchungaji Msigwa, ambaye ni mbunge wa zamani wa jimbo la Iringa mjini kwa tiketi ya chama cha CHADEMA na kujiunga CCM Juni 30, 2024 amewataka wananchi wawachague wagombea wa CCM kwasababu vyama...
1 Reactions
35 Replies
2K Views
Msimamizi wa uchaguzi halmashauri ya jiji la Dodoma, Dkt. Frederick Sagamiko ametangaza kuahirishwa uchaguzi kwa nafasi ya wajumbe mchanganyiko katika mtaa wa Mwangaza jijini humo kwa mujibu wa...
1 Reactions
5 Replies
321 Views
Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amezungumza kwa msisitizo kuhusu mapambano ya chama hicho kuhakikisha uchaguzi wa serikali za mitaa unafanyika kwa haki, huku akiwataka wananchi wa...
1 Reactions
6 Replies
413 Views
Unawatangazia wananchi kuwa wakimuona Mkuu wa Mkoa wamzuie, ebo.Mkuu wa Mkoa ambaye ametajwa kikatiba, ametajwa kwenye sheria ya Tawala za Mikoa Na.19 ya mwaka 1997, ametajwa kwenye kanuni za...
2 Reactions
14 Replies
389 Views
Hakukuwa na namna yoyote ya kuokoa ccm zaidi ya kuwaengua Wagombea wa Chadema, Hongera sana Mchengerwa, Uliona mbali. Hebu angalieni hii
3 Reactions
4 Replies
325 Views
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu kimezindua rasmi kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji, ikiwa ni hatua muhimu katika kuhakikisha wananchi wanashiriki kikamilifu...
0 Reactions
0 Replies
193 Views
Wakuu, Ya kweli hayo? Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa...
0 Reactions
26 Replies
707 Views
Mgombea wa nafasi ya uenyekiti wa serikali ya mtaa wa Kambarage uliyopo katika halmashauri ya mji wa Njombe anayetetea nafasi hiyo kwa mara nyingine, Francis Msanga ametoa wito kwa wananchi wa...
1 Reactions
0 Replies
169 Views
Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye amesema migogoro inayoendelea kwenye chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni dalili za kuvunjika kwa chama hicho. Vyama vyote vya Siasa vikikaribia...
1 Reactions
4 Replies
353 Views
CCM wamedhania kuengua wagombea na sasa kujitapa kuwa Wapinzani hawajaweka wagombea wa kutosha kama CCM ndio ujanja. Kutokupiga kura ni kuihalalishia ushindi CCM hivyo njia sahihi ni wapinzani na...
5 Reactions
33 Replies
868 Views
Kampeni zimeanza kwa gia kubwa "Mkinichagua mihuri itakuwa bure hamtalipia", ni kauli ya mgombea uenyekiti wa Kijiji cha Matamba wilayani Makete mkoani Njombe kupitia Chama cha Demokrasia na...
2 Reactions
3 Replies
248 Views
Wanabodi, Wakuu huyu baba alikuwa wapi siku zote? Kwani bado yupo kwenye siasa? Mlezi wa CCM Mkoa wa Mtwara, Mizengo Pinda, amewahimiza viongozi na wanachama wa chama hicho kutobweteka na...
0 Reactions
15 Replies
459 Views
Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana Taifa ACT Wazalendo,ndug. Abdul Nondo amemnadi Mgombea wa CHADEMA Kijiji cha Matanda, kata ya Kigwa Wilaya ya Uyui, Jimbo la Igalula Mkoa wa Tabora, Ndug. James Erick...
1 Reactions
0 Replies
234 Views
Katibu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi Ally Hapi leo amezindua kampeini za uchanguzi wa Serikali za Mitaa kwa chama hicho mkoa wa Kagera huku akiwapigia chapuo wagombea wa chama hicho...
1 Reactions
1 Replies
214 Views
Wakuu Mbunge wa Bukoba mjini Stephen Byabato ametumia lugha za kichina, kijerumani, kifaransa, kiingereza, kiswahili na kihaya kuwanadi wagombea wa serikali za mitaa mbele ya katibu wa Jumuiya ya...
1 Reactions
16 Replies
665 Views
Wakuu Yule Mbunge wa Binadamu na Wanyama kashika kipaza cha Siasa tena. Msanii na mwanasiasa maarufu, Profesa J, amerudi tena kwenye ulingo wa siasa kwa uzito, akizindua kampeni za uchaguzi wa...
6 Reactions
13 Replies
1K Views
Wakuu, Mambo moto, ni mwendo wa kujitutumua kwa kwende mbere! ==== Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote...
0 Reactions
2 Replies
309 Views
Wakuu, Nape asema, vyama vikikaribia kufa wanaanza kugombana, kama ilivyokuwa kwa Mrema na CHADEMA wanaelekea huko huko. Hivyo watu wasipoteze muda kwenye chama kingine, kwani chama original ni...
3 Reactions
14 Replies
574 Views
Back
Top Bottom