Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Wanabodi, Hata baada ya kufikisha miaka 60 tangu Tanzania ipate uhuru bado wanasiasa on stage wanazungumzia changamoto ya kukosekana kwa maji safi na salama kwa wananchi? Akiwa anaongea kwenye...
0 Reactions
0 Replies
110 Views
Vyama vya siasa mkoani Manyara, vimeiomba taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa takukuru mkoa wa manyara kuweka utaratibu wa kutoa mrejesho wa watuhumiwa wanaokutwa na hatia ya kuomba au...
0 Reactions
2 Replies
221 Views
Wananchi wa Mtaa wa Buguruni Kata ya Njombe mjini Mkoani Njombe wamelalamikia uwepo wa vibaka ambao wamekuwa tishio katika usalama wao na kuwataka viongozi watakaoshinda katika uchaguzi wa...
0 Reactions
0 Replies
184 Views
Mwenyekiti wa CCM Mbeya amesema changamoto ya maji inaenda kuisha Jijini Mbeya ifikapo mwakani (2025), kutokana na kupelekwa kwa mradi wa zaidi ya TSh. bilioni 117. Ametoa kauli hiyo katika...
1 Reactions
1 Replies
157 Views
Wasimamizi wa uchaguzi ngazi ya vituo halmashauri ya Nsimbo mkoani Katavi wametakiwa kuzingatia muda wa kufungua na kufunga vituo vya kupigia kura ili kuepusha vurugu zinazoweza kutokea katika...
0 Reactions
0 Replies
182 Views
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo ndugu Ado Shaibu ameendelea na kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa, na Novemba 21, 2024 alikuwa Jimbo la Mbeya Mjini, Kata ya Ruanda Mtaa wa Makunguru ambapo...
0 Reactions
0 Replies
137 Views
Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Morogoro ambaye pia ni Mwenyekiti Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) Jana akizungumza kwenye Mkutano wa Hadhara wa Ufunguzi...
0 Reactions
0 Replies
169 Views
Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoani Geita kimeonyesha kujiamini kushinda Vijiji na Vitongoji vyote Wilayani Nyang’hwale baada ya Vijiji 39 kukosa wapinzani, huku vyama vya Upinzani vikifanikiwa...
0 Reactions
1 Replies
218 Views
Wakuu, Naona ile idea ya Kizimkazi Festival inazidi kusambaa katika maeneo mbalimbali ya Tanzania. Baadhi ya wananchi wa Tarafa ya Mwembe Mbaga, Wilaya ya Same, Kilimanjaro, wamejitokeza...
0 Reactions
1 Replies
171 Views
*Walisema chadema wqnachelesha maendeleo. Kuanzia Rqis hadi balozi sasa wote ni CCM, Maendeleo yapo wapi? *Siku ya kupiga kura, piga kura, nenda kale rudi kuweka kambi kwenye kituo. Kanuni...
4 Reactions
16 Replies
712 Views
Wakuu vipi huko kwenu kampeni zinakwendaje === Aliyekuwa Mwenyekiti wa Kijiji cha Ilalanguru, Jimbo la Kigoma Kusini, mkoani Kigoma kwa tiketi ya CCM, Venance Chamaheke amemuombea kura mgombea wa...
0 Reactions
0 Replies
183 Views
Wakuu, Kama mnakumbuka Makonda kujitokeza na kujisafisha kwa kusema kuwa hakuhusika katia kumpiga risasi Tundu Lissu, Godbless Lema leo amejibu mapigo. Siku ya leo, Lema amesema kuwa ipo siku...
7 Reactions
29 Replies
2K Views
Kwa Mfumo wa Tanzania Serikali za Mitaa ni tegemezi kwa Serikali Kuu hivyo zinatekeleza Ilani ya chama kinachotawala kwa wakati huo Sasa ukichagua Chadema au ACT wazalendo bado utakuwa umechagua...
9 Reactions
67 Replies
1K Views
Nimekaa, nikawaza: kwa nini kusiwe na utaratibu kwamba wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu au Serikali za Mitaa, wafanyakazi wa umma na binafsi waruhusiwe kutoka kazini mapema ili wakasikilize sera...
0 Reactions
0 Replies
131 Views
KATIBU wa Halmashauri Kuu(NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi,Siasa na Mafunzo CPA Amoss Makala amewahakikishia Watanzania kwamba Chama hicho katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa...
2 Reactions
10 Replies
361 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amesema mji wa Tarime una nafasi ya kipekee ya kudai haki kupitia chama hicho cha upinzani hasa kikipewa uongozi na...
1 Reactions
11 Replies
958 Views
Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini ambaye pia ni Nabii wa Mungu ambaye Unabii wake Nchini Tanzania umetimia na Kupitiliza, Godbless Lema, leo Amezindua rasmi Kampeni za uchaguzi wa wenyeviti wa...
1 Reactions
4 Replies
427 Views
Ni ushauri tu maana nawaona Viongozi wa Upinzani wanatumia Muda mwingi kulia na hayati Magufuli ambaye hayupo. Watu wanataka kusikiliza mambo ya mama mboga, mabarabara, Maji, Zahanati nk na siyo...
0 Reactions
7 Replies
260 Views
UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024 , CHAGUA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) #tumetekelezakaziiendelee #ChaguaCCM #shirikiuchaguziwaserikalizamitaa
1 Reactions
7 Replies
281 Views
📍 Kigamboni Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es salam CPA. Amos Makalla ameendelea na mikutano mikubwa ya kampeni ya Uchaguzi wa Serikali za...
0 Reactions
6 Replies
247 Views
Back
Top Bottom