Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa CCM-NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA makalla amesema uimara wa chama cha Siasa ni nguzo imara kwa wananchi kwani umoja unajenga imani...
Vipaumbele vya wagombea uongozi wote wa CCM, vinaelezwa kwa ufasaha, umakini na kwa mpangilio mzuri sana na unaeleweka kirahisi kwa wapiga kura.
Hii imechochea hamasa kubwa mno kwa wapiga kura...
Huu unaweza Kuwa ni aina nyingine ya ulaji tu
Uchaguzi wa Kitongoji Tarime mgeni rasmi kwenye mkutano wa Kampeni mh Tundu Antipas Lisu kutoka Chadema HQ DSM
Hata ACT Wazalendo Mzee Duni Haji...
Wakuu
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA bara, Tundu Lissu amekataa maji katikati ya mkutano wa hadhara kwenye Ufunguzi wa Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, akiwa Nyamongo mkoani Mara.
Soma...
Kanuni ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu inasema kuwa hapatakuwa na mgombea kupita bila kupingwa na hivyo itabidi apigiwe kura ya hapana au ndiyo.
Leo nimemuona Tundu Lissu akiwafundisha...
Wakuu,
Tunaendelea kula popcorn wakati tunaendelea kuangalia movie.
====
Katibu wa Umoja wa vijana wa chama cha Mapinduzi (UVCCM) Kata ya Iwawa Benjamin Mahenge amewasihi wanaccm kujitokeza...
Akiwa kwenye muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Mjini Tarime Tundu Lissu amesemaRais Dkt. Samia hana tofauti na mtangulizi wake hayati John Magufuli, tofauti yao ni jinsia tu...
Naibu katibu Mkuu wa chama cha mapinduzi Tanzania Bara ndg. John Mongella amewataka wanachama wote wa CCM washiriki kikamilifu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na kuchagua viongozi bora watakao...
Makamu Mwenyekiti CHADEMA upande wa Bara Tundu Lissu, amewataka wanachama wa chama hicho kutokuwa waoga katika kukabiliana na Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchauzi huu wa Serikali za Mitaa na...
Nape Moses Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa (MNEC) alipokuwa akifungua mkutano wa uzinduzi wa kampeni hizo Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Rukwa aneeleza kuwa ni muhimu wagombea kufanya kampeni...
Wakuu,
Mambo yanazidi kunoga, kila kona ni mwendo wa kutamba na kuponda. Mnaenda kusikiliza sera za wagombea kwenye mitaa yenu?
Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa...
Akiwa kwenye kampeni leo mjini Arusha, Godbless Lema "Juzi mmeona Dar es Salaam, na hili jambo huwa nalisema kila siku yeyote anayekataa kupigania zana ya Utawala bora atakutwa na mauti ya...
Polisi waliotumwa na ccm kama wafanyavyo siku zote, leo wameshindwa kufurukuta baada ya kujaribu kuzuia mkutano halali wa Chadema kwenye uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa wenyeviti wa serikali za...
Wakuu,
Twende kwenye kampeni ili mchague viongozi wanaostahili.
=====
Wakati vyama mbalimbali vya siasa hapa nchini vikiendelea na kampeni zao, wananchi wilayani Makete mkoani Njombe...
Katibu wa Siasa, Uenezi na Mafunzo Wilaya ya Iringa Vijijini Ndg, Anold Hezron Mvamba amewataka Wananchi kujitokeza katika zoezi la kupiga kura katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unatarajiwa...
Wakuu,
Inaonekana baada ya kumaliza kutishia wapinzani, wameanza kutishiana na kusimangana wenyewe ndani ya chama
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa amewataka...
Tasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoa wa Mwanza (TAKUKURU) imewaonya wagombea na wananchi kuelekea katika Uchaguzi wa Serikali za mtaa, kuacha kutoa, rushwa, kuelekea katika uchaguzi huo...
Wakuu,
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambaye pia ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka wananchi wa Nyamongo na...
Wakuu,
Mnakumbuka zile kamata kamata za wapinzani na wafanyabiashara? It seems kama ACT Wazalendo wamekuja na muarubaini wa tatizo hilo
Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.