Wanaukumbi,
ACT imeendelea kutoa spana kwa chama tawala yaani CCM.
Akiwa anazungumza kwenye kampeni Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Bara, Isihaka Mchinjita alitoa tuhuma kali dhidi ya Chama...
Kwa mujibu wa Mratibu Wa Uhamasishaji Baraza la vijana wa chadema Taifa (BAVICHA), Twaha Mwaipaya, amesema, Wagombea 20 wa CHADEMA katika Kata ya Mwaya, Jimbo la Kilombero, wapo magereza baada ya...
Wakuu
Jeshi la Polisi limemzuia mwenyekiti wa Chama cha CHADMA, Taifa, Freeman Mbowe kuzungumza na wananchi wa Mbozi, Mkoani Songwe, na kuwatawanya kwa mabomu wananchi waliokusanyika kumsikiliza...
Wakuu,
Naona UVCCM wanaendelea kutoa boko huko kwenye kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Unaendaje on stage kusema kuwa CCM haiwezi kumaliza matatizo yote? Mbona Serikali nyingine...
Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Zanzibar, Ismail Jussa, amewaomba wananchi wa Mtaa wa Komesho, Kata ya Msambweni, Jimbo la Tanga Mjini na vijiji vya jirani kuwaamini wagombea wa chama hicho kwa...
Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Mashaka Gambo, ameongoza wanachama na wafuasi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa katika jimbo lake, akisisitiza...
Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa Novemba 27, 2024, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT), Suzan Kunambi amewataka wananchi wa kata ya Kilimani mkoani...
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) @chadematzofficial jimbo la Lupa wilaya ya Chunya mkoani Mbeya kimezindua mikutano yake ya kampeni kwa ajili ya kuwanadi wagombea wa nafasi mbalimbali...
Wanabodi,
Kuna hii taarifa kwamba kuna vyama takriban 14 ambavyo vimejitokeza kugombea kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa huko mkoani Dodoma.
Hivi ukitoa CCM, CHADEMA na ACT hivyo vyama...
Wakuu,
Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024 LHRC yawajengea uwezo waangalizi wake ili wajue sheria, kanuni na taratibu zinazotakiwa kufuatwa wakati wa...
Wakuu,
Nadhani kwa picha hizi zilizopostiwa na UVCCM huko Instagram, huu Uchaguzi ulitakiwa uwe ushaisha. Hii nchi ni maskini.
Huyu ni Katibu wa UVCCM Kondoa, Shamsele Yesaya akiongea na...
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Mwanza, Cde. Seth Bernard Masalu, anawaomba wakazi wa Mwanza wote na watanzanania kujitokeza kwa wingi kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji...
Aliyekuwa Mwenyekiti CCM asimulia mazito aliyoyapitia akiwa CCM mbele ya Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe akiwa Ilalangulu, Kigoma akiwanadi Wagombea kulekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa...
Wakuu,
Hivi kumbe kuna baadhi ya wanaCCM wanapiga kura ili kumshukuru Rais?
Doto Biteko amewataka WanaCCM Bukombe kujitokeza kupiga kura ya kuwachagua viongozi wao katika uchaguzi wa Serikali za...
LISSU AMVAA MKUU WA MKOA WA SIMIYU KWA KUFANYA KAMPENI LAMADI
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Tundu Lissu amvaa vikali Mkuu wa Mkoa wa Simiyu kwa kufanya kampeni, awataka wananchi wamkatae...
Wakati kmpeni za uchaguzi wa serikali za mitaa zikiwa zinaendelea kurindima nchini na vyama vilivyosimamisha wagombea vikiendelea kuomba ridhaa kwa wananchi.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
Wakuu,
Hapa ndio CCM inapozidi kuwapiga gape wapinzani, maana wana hela afu wana watu, yaani mpaka kontena la uchawa lipo standby kwaajili ya uchawa tu. Bila upinzani kuungana, kumpiga CCM...
Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Arusha, Antony Maswi amewaasa wagombea wa nafasi ya uenyekiti wa vijiji/mitaa na vitongoji kuzingatia demokrasia na kutumia lugha za staha...
Tundu Lissu amewataka maaskofu waliopokea pesa kutoka kwa Rais Samia, ambazo amezitaja kuwa "chafu" kuzirejesha zilipotoka na kutokubali kushiriki katika vitendo vya uovu.
Pia, Soma: Askofu...
Makamu Mwenyekiti CHADEMA taifa Tundu Lissu akizungumza katika mkutano wa hadhara, jimbo la Tarime mjini, Kanda ya Serengeti.
Soma pia: Tundu Lissu: Kama Mnaogopa Mabomu, Mkalale Mshughulikiwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.