MBUNGE AMINA MZEE & TAUHIDA GALLOS: DODOMA MJINI ICHAGUENI CCM, HAMTAJUTA KUICHAGUA CCM
Wabunge wa Viti Maalum (CCM), Mhe. Amina Ali Mzee na Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo (MNEC) wamewasihi Wananchi...
Msichoke, kila hatua ikemeeni kama haitendi haki.
sasa kampeni , wapinzani wanaonewa sana, serikali , polisi for that matter, imeonesha ushenzi mkubwa.
Wakemeeni na kumtanguliza mungu wa...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe anaingia Jimbo la Kyela kwa ajili ya kuwanadi wagombea wa Chama chake kwenye Uchaguzi wa wenyeviti wa serikali za mitaa...
Wabunge wa Vyama Vyote wametawanyika nchi nzima kufanya kampeni za Vyama vyao kasoro wale wabunge 19 wa Viti Maalum waliotokea Chadema
Hii inamaanisha nini?
Mlale Unono 😀
Wananchi wa Mwanza wagoma kutawanyika baada ya Tundu Lissu na John Pambalu kumaliza mkutano, wawasindikiza Lissu na Pambalu kwa maandamano hadi hotelini walikofikia, Pambalu atoa neno la shukrani.
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilayani Hai, mkoani Kilimanjaro kimeendelea kuvuna wanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wanaojiunga na CCM.
Hayo yamefanyika wakati wa kampeni...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema usiku huu saa 12:54, Viongozi wa Chama hicho akiwemo Mwenyekiti wake Freeman Mbowe, wameachiwa bila masharti na Polisi Mkoani Songwe...
"Tunajua mna tatizo kubwa la uhamiaji. Hata mimi walishawahi kunisumbua, wakaniambia mimi si raia wa nchi hii na kunitaka nipeleke vyeti vya babu yangu aliyemzaa babu yangu. Lengo lao lilikuwa...
Jeshi la Polisi leo tarehe 22 Novemba, 2024 katika Pori la Halungu lililopo Wilaya ya Mbozi wamevamia Msafara na kumkamata Mwenyekiti wa Chama Taifa Mheshimiwa Freeman Mbowe pamoja na Viongozi...
Wakuu,
Nimekutana na clip hii ya Dotto Biteko akizungumzia malengo ya CCM kwenye Uchaguzi huu.
Tunajua nini wataenda kufanya. Ni kama marudio ya 2019.
Ushindi wa asilimia 99.99
Joseph Mbilinyi: CCM hawana Maarifa, Wanavuruga Uchaguzi, Wanategemea Dola, wanateka watu na kuua watu ili kutia hofu raia
Ameyasema hayo kwenye Mkutano wa asubuhi leo Novemba 23, 2024...
Wanaukumbi,
Naona CHADEMA pamoja na changamoto wanazopitia za kukamatwa kwa viongozi wao lakini still wapo on THE BEAST MODE kunadi sera zao kwenye kampeni
Akiwa kwenye kampeni huko Kilimahewa...
Wakuu,
Hii ndio tactic mpya ya CCM au ndo kupoteza mvuto kwa wagombea wa hiki chama.
Ukiwasikiliza kwenye kampeni wamekuwa so obsessed na CHADEMA badala ya kunadi sera za wagombea wao
Soma pia...
Huo ndio ukweli Wenyewe
Baada ya Chadema na ACT Wazalendo kufurahia kutwaliwa kwa Shujaa Magufuli wananchi waliahidi kuwaadhibu kwenye uchaguzi
Subirini muone November ni Kesho tu 😂😂😂
Wakuu,
Kuna tafrija huko tumeandaliwa mapochopocho tukajirushe.
====
Mgombea wa nafasi ya uenyekiti wa kijiji cha Nyamsanze, kata ya Buhoro, wilaya ya Kasulu, mkoani Kigoma kupitia chama cha...
Wakuu!
Tuseme hii ndiyo siasa bora au kuna kanamna fulani hivi kati ya ACT Wazalendo na CCM?
===================
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Kijiji cha Ilalanguru, Jimbo la Kigoma Kusini, mkoani...
Wakuu,
Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Katavi, Rhoda Kunchela, ametoa wito kwa wakazi wa mtaa wa Kachoma, kata ya Makanyagio, jimbo la Mpanda Mjini, kuwanyima kura wagombea wa Chama Cha Mapinduzi...
Mwenyekiti mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Juma Duni Haji maarufu kama Babu Duni amewataka wananchi wa Mtaa wa mtaa wa Tupendane, kata ya Manzese katika jimbo la Ubungo kuondokana na uoga...
Wakuu,
Pichani ni Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA, Zanzibar, Salum Mwalimu katika uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa jimbo la Bunda Mjini. Mwalimu atafanya pia mikutano ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.