Mgombea Uenyekiti wa Kijiji cha Ilula, Kata ya Ilula, Jimbo la Kwimba, Silvester Cherehani amesikitishwa kuona watu wa kijiji hicho wakipata misukosuko kwa sababu ya kuuliza mapato na matumizi ya...
Wakuu,
Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akimnadi mgombea wa nafasi ya uenyekiti wa kijiji Mnange katika kata ya Uyowa, jimbo la Ulyankulu mkoani Tabora, Novemba 20, 2024
Kupata...
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ally Hapi, amewataka viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuacha kulalamika na badala yake kuelekeza nguvu zao...
Bila shaka dunia ya sasa bila kutumia sayansi ya namba mambo mengi utaona magumu hususani yale mambo yanayohitaji namba ziseme zaidi kuliko maneno na mojawapo ni ushindi wakati wa uchaguzi. Kila...
Katika hili Nakubaliana na Freeman kwamba Lengo la Kujaza Fomu za uchaguzi ni kukusanya Taarifa za Wagombea Ili kuona kama wanakizi vigezo
Ni sahihi kumuengua Mgombea aliyepungukiwa vigezo Lakini...
Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba, Mkoa wa Songwe umebahatika kupata Neema ya kuzinduliwa kwa kampeni za Uchaguzi wa serikali za Mitaa na Mwamba Kabisa Freeman Mbowe
Taarifa ya Chama chake...
MBETO HANA HAKI YA KUTUPANGIA, NJIA YA KUTUMIA KUPINGA SHERIA MBOVU.
Ndugu Wanahabari, awali ya yote nichukue fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu, kwa kutujaalia uhai na uzima, na ukimya katika...
Wakuu,
Mambo yameendelea kuwa sukari kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Katibu Mkuu ACT Wazalendo, Ado Shaibu akizungumzia "Wasaliti" wa chama hicho watakavyofutiwa uanachama
Ado amesema...
Katika maeneo mengi, changamoto ya ukusanyaji wa taka imeendelea kuwa kilio cha wananchi. Magari ya kukusanya taka ama hayafiki kabisa au hufika mara chache sana, huku wakazi wakilazimika kutoa...
Salaam
Hivi wagombea wanaotufaa wanapatikana CCM pekee? Kama CCM hawakupitisha wagombea tunaowataka kwenye kura za maoni hakika tutawatafuta wanaotufaa kwa vyama vingine kupitia uchaguzi wa...
TUNA MTAJI WA IMANI YA WATANZANIA: NCHIMBI
Azindua kampeni Mwanza akitamba na takwimu za kura za uhakika
Awasihi wanaCCM kila mmoja kutafuta kura 10 kwa ajili ya ushindi wa kishindo
Ahamasisha...
Wakuu,
Mambo yanaanza kuchangamsha, bumunda karudi na makeke yake mzee ropo ropo!
=====
Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya...
TUNA MTAJI WA IMANI YA WATANZANIA: NCHIMBI
Azindua kampeni Mwanza akitamba na takwimu za kura za uhakika
Awasihi wanaCCM kila mmoja kutafuta kura 10 kwa ajili ya ushindi wa kishindo
Ahamasisha...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Salum Mwalimu ataongoza Uzinduzi wa kampeni za CHADEMA Bunda Mjini.
Taarifa ya Chama chake iliyosambazwa kila mahali hii hapa...
Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa John Pambalu amewaomba wananchi kuchangia fedha kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni Jimbo la Nyamagana Mwanza.
Chadema wazee wa michango halafu haijulikani inakwenda wapi...
Kampeni leo zimeanza rasmi za uchaguzi wa serikali za mitaa.
Ni muda wa kusikia tambo, majivuno, kejeli lakini na hoja nzuri na za hovyo. Leo tuanza na Kata ya Wazo moja ya mtaa na yakasikika...
Waliokuwa wagombea wa nafasi ya uenyekiti na wajumbe kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kata ya Ungalimited jijini Arusha wamelalamikia rufaa zao kutokusikilizwa na kutupiliwa...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amejibu maswali kuhusu madai ya mgawanyiko na mnyukano ndani ya chama hicho, akisisitiza kuwa migogoro ya kisiasa ni jambo...
LIVE:MKUTANO WA UZINDUZI WA KAMPENI ZA CCM MKOA WA DAR ES
SALAAM.
MWENEZI AMOS MAKALLA AZINDUA KAMPENI ZA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MTAA MKOA WA DAR ES SALAAM
Chama Cha Mapinduzi...
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimewasambaza viongozi wake wakiwamo wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) katika mikoa 26 ya Tanzania kushiriki uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa Serikali za mitaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.