Nawaza tu hivi Kuna umuhimu gani kwa wakuu wa wilaya na wakurugenzi wa halmashauri zilizopo mjini kutumia magari ya m,amia ya mamilioni,
Maeneo Mengi ya mjini miundo mbinu ni rafiki kwann mkuu wa...
Salaam, Shalom!!
Nijuavyo,
1. Ukichukua pesa ya Damu au ya ukaichanganya na pesa halali ukafungua biashara ,biasharaitakufa.
2. Ukichukua pesa ya mbwa, itokanayo na zinaa ,ukaichanganya na pesa...
Jimbo la Chato ni kama limetelekezwa na mbunge wake Medard Kalemani kwani toka atumbuliwe kwenye nafasi yake ya waziri wa nishati amegeuka bubu.
Chato ilijengwa stendi nzuri sana ya mabasi lakini...
Aliyekuwa Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tawi la Ramadhani Victor Kawogo amejiunga Chama cha Mapinduzi (CCM) Machi 05, 2025 katika Mkutano wa Usomaji wa Taarifa ya...
Mbunge wa jimbo la mhambwe wilaya ya kibondo mkoa wa kigoma alichofanya nikugawa pikipiki za samia 2025 ameshindwa kutetea jimbo lake akiwa bungeni barabara hazipitiki za wapiga kura hata...
Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Abdallah Ulega, ameonesha kutoridhishwa na kasi ya utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa miundombinu ya Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam Awamu ya Nne (BRT 4) kuanzia...
Katibu Mkuu wa zamani wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha), Catherine Ruge amesema vyama vya siasa ni nyenzo muhimu ya kuhakikisha wanawake wanajengewa uwezo wa kuwania majimbo, lakini bado...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameongoza Mkutano wa Dharura wa Kamati ya Mawaziri wa Utatu wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya...
WAZIRI KOMBO ASHIRIKI HAFLA YA KUMBUKUMBU YA SIKU YA KUZALIWA YA MFALME WA JAPAN
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameshiriki...
Nimejikuta nimemuonea huruma Tundu Lissu.
Huruma ni sifa na silka ambazo binadamu hajifunzi.
Nilistudy body language ya Lissu kabla na baada ya kupata reaction asiyotarajia kutoka kwa Wahariri...
Baada ya madudu mengi kutokea ndani ya mifumo ya kiutawala kwa miaka 5 iliyopita ambapo CCM ilitawala yenyewe, pamoja na misuguano ya ndani ya chama, imepelekea CCM kuona umuhimu fulani walau wa...
Wanabodi,
Tangu kupatikana kwa taarifa ya kutelekezwa kujengwa kwa uwanja wa ndege wa Bukoba, eneo la Omukajunguti na badala yake sasa uwanja huo unajengwa Chato, kumetokea pingamizi kadhaa...
Ukweli ni kua Mbingu na Ardhi ni vitu viwili tofauti .
Uovu na Wema ni vitu viwili tofauti .
UZALENDO na kutokua mzalendo ni vitu viwili tofauti.
Hata hivo Licha ya utofauti huo, ukweli ni kua...
Ni kweli kwamba sheria ya sasa ya uchaguzi ni kwaajili ya CCM siyo kwa ajili ya umma. Sheria imetengenezwa kumzuia hata mwana CCM aliyetakiwa na chama ila anatakiwa na wananchi asishinde kwa...
Kwa MTU yoyote mwenye akili timamu ambazo haziongozwi na mihemko atakubaliana na habari hii.
Mkutano ulijaa "show off" KULIKO maana halisi za mkutano. Walienda kutuonyesha uwezo wao wa kutumia...
Kama hutuwezi kuvumiliana katika hili basi hakuna haja ya kuwa na vyama vingi
Shabiki wa YANGA na Simba wanapata huduma sawa na hakuna kati Yao anaeoneka si BINADAMU sahihi
Lakini Leo inafikia...
Makamo wa Rais kwa akili timamu ameamua ku step down nakuwaacha vijana waongoze... ila nyuma ya pazia wapambe hawakufurahi ila hawakufurahi kwa sababu Mh Mpango ameona mbali kuliko wenzake wameona...
Nimetafuta nakala mbalimbali za Katiba ya Tanzania lakini hakuna sahihi? Ni zipi sababu zilizopelekea tusitie sahihi kama ilivyo kwenye sheria na nyaraka nyingine?
Trump anawakilisha hisia za wamarekani wengi. Hakuna atakaemuua Trump as many believe.
Trump strategy ni kila nchi isimamie resources zake na kuzibadilisha kuwa fedha. Kuacha ujinga na focus na...