Wakuu,
Akiwa anazungumza leo huko Singida, Mwenyekiti wa Vijana CHADEMA, Deogratius Mahinyila amesema kuwa vijana wa CHADEMA watahakikisha Uchaguzi wa mwaka huu haufanyiki
Mahinyila amesema kuwa...
Wakuu,
Kama lengo ni kuwatoa wananchi kutoka kutumia kuni na wahamie kwenye nishati safi, picha ya Samia inafanya nini kwenye mitungi hiyo?
Picha ya Samia ipo kwenye mitungi sababu yeye ndio...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa akiwa ni mgeni rasmi kwenye mkutano Mkuu Maalum Chama Cha Mapinduzi Jimbo...
Wanachama 2370 waliokua ACT Wazalendo wakiongozwa na aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kiwani kwa miaka 20, Hija Hassan Hija, wamekabidhi kadi za ACT na kuhamia Chama cha Mapinduzi (CCM) huku akiweka...
"Napenda nichukue fursa hii kutoa wito kwa ndugu zetu nyote mliopo hapa, wananchi wote, wanaCCM, wapenzi, wakereketwa kuna jambo moja bado hatujalifanya vizuri nalo ni kujitokeza kwenda kuga kura...
"Tumekuja mbele yenu kutoa shukrani kwa wajumbe wa mkutano mkuu kwa uamuzi ule ambao ulikuwa ni wa busara sana, sasa wapo wa vyama vingine ambao kwakweli wao hayawahusu wanaingilia utaratibu wa...
Wakuu,
CCM mnapumulia mashine sasa hivi :BearLaugh: :BearLaugh: baada ya mahojiano na vikongwe kumchafua Lissu kubuma sasa mmekuja na matembezi.
Yaani mnahangaika, moja haisimami mbili...
Mbunge wa Jimbo la Tanga Mjini, Ummy Mwalimu amewahimiza wananchi wa jimbo hilo kujitokeza kwa wingi kujiandikisha na kuboresha taarifa zao katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura, ili kuhakikisha...
"Nimekuja kutoa shukrani kwa kuteuliwa kuwa mgombea pekee wale waliokuwa wanadhani wana nafasi basi watambue hawana wasubiri 2030 ndio waje"
Dkt Mwinyi ameyasema hayo wakati wa hafla ya Mapokezi...
"Nampongeza mbunge wangu Njalu Silanga anafanya kzi nzuri sana. Mh. Rais ananifahamu vizuri mimi ni mwanaye nikisema kitu hakina longolongo, Waziri Mkuu nakutuma kwa Mh. Rais mimi mwanaye namuomba...
Mbunge wa Jimbo la Itilima, Njalu Daudi Silanga, ameweka wazi mafanikio makubwa ya maendeleo katika wilaya hiyo, akieleza kuwa Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) chini ya uongozi wa Rais Dkt...
Wakuu,
Unapambana na mtu kama Lissu, si basi utumie akili hata kidogo isionekane ni muvi ya kutengeza? Yaani wote mnachukua habari ile ile, mtu yule yule na vichwa...
Mbunge wa Itilima amesesema alijiunga CCM baada ya Mzee Manyoni ambaye kwa sasa ni katibu wilaya ya Itilima kugushi saini yake,
CCM wanazidi kuuthibitishia umma huwa wanafanya umafia kwenye...
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Singida, Omar Athumani Toto, akielezea maandalizi ya mapokezi ya Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa, Mhe. Tundu Lissu wilayani Ikungi...
Hii kampeni feki kabla ya Uchaguzi iliyopewa jina la ''Mama Hana Deni'' imekaa kimkakati kuisaidia CCM ambayo ndio inaongoza Serikali kuweza kuonesha miradi mbalimbali ambayo inatekelezwa kwa kodi...
Naibu waziri wa maji Andrea Methew amesema baada ya Njalu Silanga kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa wabunge wa CCM mkoa wa Simiyu ambapo utendaji wake ulipelekea Rais Samia kuridhia kutoa bilioni 440...
Katibu Mwenezi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA)Wilaya ya Dodoma Mjini Godfrey Kimario Leo Feb 13,2025 amekabidhi kadi ya Chama Chake Kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Chama Cha...
Unaweza kusema kwambaa Kumeanza kuchangamka;
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara Patrick Chandi amekataliwa na wananchi kwenye mkutano wa hadhara licha ya kuwapa hadi shikamoo.
Soma Pia:
Special...
Akitoa Gesi hizo 143 katika kata ya Nyangolo, Malengamakali pamoja na viti 15 na meza Mbili kwa kila kata kwa Niaba ya Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Iringa vijijini Ndugu Constatino Kiwele, Katibu...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Anatarajiwa kuisimamisha Nchi na Afrika Nzima kwa ujumla wake pamoja na nje ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.