Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Wakuu, Kwa jinsi mambo yanavyoenda uchawa unaenda kuwa anguko la CCM. Rais Samia unaweza usiwe na ufahamu mkubwa kupambana na mavitu complex, lakini hata hili dogo la uchawa unaacha mpaka...
2 Reactions
3 Replies
364 Views
Vyama pinzani wasipoteze muda kusimamisha mgombea wa nafasi ya urais badala yake wapambane juu chini kupata wabunge wengi sana. Wakiwa na idadi kubwa ya wabunge bila shaka kuna watakao penya...
7 Reactions
71 Replies
2K Views
Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) walikuwa wanafahamu kuhusu uwezo wa viongozi waliochaguliwa ndani ya chama lakini wanachama wa CHADEMA wao...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara (CCM), amewataka wanachama wa chama chake kuacha kumwekea fitna ili apate fursa ya kugombea tena ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi...
5 Reactions
27 Replies
1K Views
Kuna huu mfumo wa kusubiri mtu atoke madarakani ndio tuanze kumkosoa lakini akiwepo madarakani ni kama watu wengi wanakuwa wamepoteza macho na kujifunga akili mfano mzuri ni kipindi cha utawala wa...
1 Reactions
0 Replies
102 Views
Wakuu, Juhudi za makusudi zinafanyika kwenye baadhi ya vyombo vya habari kuripoti mambo ambayo moja kwa moja yanatoa picha ya kufanya viongozi wa upinzani waonekane kuchukiwa na wananchi. Mtu...
7 Reactions
34 Replies
1K Views
Wakuu CHADEMA inaonekana kama wako serious sana na huu Uchaguzi Msikilize hapa Mwenyekiti wa BAWACHA Mwanza Hosiana Kusiga: Safu ya uongozi kwa Chama chetu imeshakamilika na tuna uhakika kama...
0 Reactions
0 Replies
118 Views
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa, Mary Pius Chatanda amewataka Watanzania kuyapuuza maneno ya Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu na wawe na imani na Serikali ya Chama...
1 Reactions
18 Replies
875 Views
Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara amedai kuwa kuna uwepo wa hujuma zinazofanywa na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimboni kwake zenye nia ya kuhakikisha hashindi kiti cha ubunge...
5 Reactions
13 Replies
778 Views
Mama Lishe maarufu ambaye pia ni Mwanamuziki, Zuwena Mohammed maarufu kama Shilole ameanzisha na kuzindua kampeni maalum inayolenga kuwawezesha Mama Lishe kutumia nishati safi ikiwa kama sehemu ya...
1 Reactions
7 Replies
397 Views
Wakuu, Kama mnavyojua tumetoka kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na sasa tunauchungulia Uchaguzi Mkuu pale Oktoba 2025. Tumeshuhudia karibia na uchaguzi wa serikali hali ya media ilivyokuwa...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Wakuu, Huu uchawa nyie🤣🤣😂 hivi Samia ashtuki kufanywa kituko kama hivi jamani? Chawa wanazidi kumharibia maskini, soon atakimbia akiwa anabubujikwa machozi ya huzuni. Imagine jinsi Marais...
7 Reactions
46 Replies
2K Views
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu, amesema uteuzi wa Makamu Mwenyekiti wa CCM, Stephen Wasira, ni mbinu ya kimkakati ya chama hicho ili kuzuia mijadala kuhusu Katiba Mpya. Akizungumza...
5 Reactions
20 Replies
873 Views
Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mwita Waitara amesema haoni sababu ya kumhofia Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche iwapo atagombea nafasi ya Ubunge...
2 Reactions
18 Replies
731 Views
Wakazi wa Ikungi, Singida, wanapinga kauli "Hakuna marekebisho, hakuna uchaguzi" kwa sababu eneo hilo ni nyumbani kwa mwanasiasa Tundu Lissu, ambaye ni mkosoaji mkubwa wa serikali. Hivyo...
0 Reactions
4 Replies
324 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Magharibi, Wakili Dickson Matata amesema kuwa viongozi wa nchi ya Tanzania wamekuwa na changamoto ya kutoheshimu sheria na katiba...
0 Reactions
1 Replies
298 Views
Mkoa wa Tabora unapatikana katikati ya Tanzania, unapakana na mikoa ya Shinyanga, Singida, Kigoma, Katavi, na Mbeya. Mkoa wa huu una ukubwa wa takriban kilomita za mraba 76,151, na ni miongoni mwa...
0 Reactions
1 Replies
311 Views
Msatahiki Meya wa Manispaa ya Mpanda, Hidary Summry, ametimiza ahadi yake kwa kuwapatia baiskeli 20 Makatibu wa Jumuiya na Makatibu wa Matawi katika manispaa hiyo. Kupata nyuzi za kimkoa...
0 Reactions
0 Replies
123 Views
1. Nape Nnauye - Hajawahi kuwa msaada kwa watu wake wala Taifa letu. Hajawahi kuwa na mchango wa maana toka awe Mbunge. Tunataka watu wapya waje. Apishe. 2. January Makamba - Huyu yeye aliona...
9 Reactions
60 Replies
2K Views
Back
Top Bottom