Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Kampeni ya "No Reform No Election" ya CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo) ina malengo mazuri ya kudai mabadiliko ya kisiasa na uchaguzi huru. Hata hivyo, ikiwa CCM (Chama Cha Mapinduzi)...
1 Reactions
10 Replies
762 Views
Kwanza,kwenye chama chake tu kuna watu zaidi ya 40% hawamkubali,hiyo imethibitika kwenye uchaguzi mkuu wa chama,hata kama atapambana kuwarudisha, hutawarudisha wote.wengine atakua nao ila...
3 Reactions
67 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa ACT Wazalendo taifa, Abdul Nondo, amehoji nia na utayari wa Serikali katika kusaidia vijana wasio na ajira kwa kuwekeza zaidi kwenye mafunzo ya ufundi stadi...
0 Reactions
0 Replies
107 Views
Katibu mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, amesisitiza kuwa ni lazima Rais Samia aondolewe madarakani katika Uchaguzi Mkuu ujao. Mnyika anasema kuwa Rais ameshindwa kusikiliza sauti za wananchi na...
22 Reactions
85 Replies
3K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa Hakika Rais Samia ni Chaguo La Mungu,Kwa hakika Mama Ni Mpango wa Mungu Mwenyewe,Kwa hakika Mama alikuja kulipa Furaha Taifa hili ,kwa hakika Mama alikuja Kwa Makusudi...
6 Reactions
116 Replies
2K Views
Hellow! Si vyema kupoteza muda kuomba mtanange na mjukuu wako TUNDU Lissu aliye upinzani ilhali ndani ya chama chake anaye Mzee mwenzie, hasimu wake tangu unajanani waliyewahi kugombea Jimbo la...
1 Reactions
14 Replies
869 Views
Kada wa Chama cha Mapinduzi, Mchungaji Godfrey Malisa amesema hatambui uamuzi uliofanywa wa kumfukuza uanachama kwa kile alichodai hakuvunja Katiba ya CCM hivyo maoni aliyoyatoa kuhusu uteuzi wa...
9 Reactions
103 Replies
4K Views
Halmashauri ya Wilaya ya Singida imekumbushia ahadi ya Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dk.Emmanuel Nchimbi ya kujengewa soko la vitunguu ambalo litasaidia kuongeza mapato ya halmashauri ambapo imeiomba...
0 Reactions
1 Replies
95 Views
Habari za mwisho wa wiki wadau na kheri ya mwaka mpya. Lakini kwanza nitie angalizo kwamba mie si mwanachama wa chama chochote bali ni mtaalam tu niliejifunza kufanya chambuzi na mambo mengine...
0 Reactions
26 Replies
985 Views
"Wakati Rais Samia Suluhu Hassan anaingia madarakani aliita vyama kule Dodoma na nchi hii ina vyama 19 vilihudhuria vyama 18 kwenye huo mkutano. "Na Rais alikuwa akizungumzia kuhusu 4R...
0 Reactions
3 Replies
235 Views
Wakuu, Kunaanza kuchangamka sasa, Makonda asema wale wote waliofanikiwa kwa fedha za ushoga moto wa Mungu utawashukia. Makonda asema inatia uchungu unamlea mtoto kwa tabu halafu anaenda kuwa...
1 Reactions
0 Replies
176 Views
Wakuu, Mambo yanazidi kuchanganya, ni vuta n' kuvute. Wasira anasema sheria za uchaguzi ni matokeo ya maridhiano, ambapo wananchi wote wakiwemo CHADEMA walishirikishwa kutoa maoni kabla ya...
2 Reactions
21 Replies
661 Views
Ni wazi sasa Mrisho Gambo ameanza kuchachawa na kukumbuka shuka kukiwa kunakucha. Ameng’aka bungeni dhidi ya serikali kwa kuhoji kuwa ataenda kuwaambia nini wapiga kura wake wa Arusha mjini kwa...
4 Reactions
68 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA jana nimemsikiliza kiujumla hotuba yake ilikuwa imeshiba madini ya kutosha ambayo sasa ni mhimu serikali isishupaze shingo kufanya...
0 Reactions
1 Replies
141 Views
Habari wakuu. Hili ni pendekezo kwa serikali na wadau binafsi kuelekea uchaguzi mkuu mwezi october Kutokana na changamoto ya miongo mingi na malalamiko ya wananchi, mataifa ya nje ya africa...
4 Reactions
6 Replies
387 Views
Baada ya CHADEMA kurudisha chama kwenye Mifumo badala ya MTU mmoja , ni ishara tosha kwamba kinaweza kuongoza nchi. Endapo kitaendelea kuimarisha Mifumo yake yote bila kumtegemea MTU mmoja ni...
3 Reactions
9 Replies
510 Views
Ndugu Zangu Watanzania, Nimemsikia Mbunge wa Arusha Mjini Mheshimiwa Mrisho Gambo akisema na kulalamika kuwa ni aibu Kwa Arusha kukosekana kwa Stendi kubwa na ya kisasa Mkoani Arusha. Lakini...
1 Reactions
5 Replies
373 Views
Hakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii The Civic United Front-CUF Chama Cha Wananchi. Katibu mkuu wa chama cha wananchi-CUF madam Husna Mohamed Abdallah Tarehe 11 February...
5 Reactions
30 Replies
2K Views
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Balozi Dk. Batilda Burian, amewataka wananchi wa mkoa huo kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Mpiga Kura pamoja na kuboresha taarifa zao. Zoezi...
1 Reactions
8 Replies
215 Views
Ili kuhakikisha uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025 unakuwa HURU na HAKI hakikisheni mnaajiri wahitimu wa Vyuo mbalimbali waliopo mitaani na kamwe ajira hizi zisitolewe kwa Watumishi wa Serikali...
0 Reactions
6 Replies
359 Views
Back
Top Bottom