Wakuu
Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Tundu Lissu atalihutubia Taifa Jumatano tarehe 12 Februari 2025, saa kumi jioni kutokea Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima, ametoa wito kwa jamii kuwapa wanawake nafasi na sauti katika uongozi, akisema kuwa bila juhudi za makusudi...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro, kimemfukuza uanachama kada wa chama hicho Mchungaji Godfrey Malisa kuanzia leo Februari 10, 2025 kwa tuhuma za kukiuka Katiba na maadili ya Chama...
Wakuu,
Yaani Rais kupiga picha tu, chawa washaingia studio kutengeneza nyimbo out of that picture.
Huyu D Voice ndio alikuwa the last standing artist hapo Wasafi bila viashiria vya chawa ila...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) bara, Stephen Wasira amesema Uchaguzi Mkuu ujao (2025) utafanyika kama utakavyopangwa na Tume Huru ya Uchaguzi nchini (INEC).
Wasira ametoa kauli...
Wakuu
Hivi huwa wanakuwa wapi kipindi kabla ya uchaguzi?, kura zinatafutwa nyie!!
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini, Dkt. Abdulaziz Abood akihiriki kurekebisha barabara pamoja na wananchi wa...
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mara Chacha Heche amemuomba Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Stephen Wasira kuacha kutumia majukwaa kutoa kauli...
Wakuu,
Mwaka 2017 Dkt. Nchimbi alipewa onyo kali huku wanachama wengine wakivuliwa uachama kutokana na utovu wa nidhamu kwenye chama baada ya kumkataa Magufuli na kumsapoti Lowasa kwenye...
Wakuu,
Ukishaanza kuona picha kama hizi ujue kabisa Uchaguzi umekaribia.
Hawa ni moja watu watakaoenda kuamua nani ataenda kuwa diwani, Mbunge au Rais wako.
Wasiende tu kurudia yale mambo...
2025 iko pale kwenye kona je, wapiga kura wa Arusha mjini tumeshatafakari wa kwenda naye kwenye uchaguzi dhidi ya Godbless Lema. Huko CHADEMA inajulikana kuwa ni mgombea wao wa Ubunge ni Lema...
Wakuu,
Kama ambavyo tuliona mdahalo wa CHADEMA mwezi Januari, nadhani kama watanzania tunahitaji pia kuona wagombea wa Urais wakichuana kwenye mdahalo kipindi cha kampeni.
Tumechoka kuona...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohammed Mchengerwa amewaagiza wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya na wakurugenzi wa halmashauri kupanga ratiba ya...
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango amesema baada ya kutumika vya kutosha katika nafasi mbalimbali serikalini, ameamua kukaa kando kwa hiari na kuwaachia wengine waendeleze gurudumu la...
Mbunge wa viti maalumu Mhe. Hawa Mwaifunga ameziomba halmashauri kuangalia njia bora za kufanya marekebisho katika baadhi ya shule ili zirudi katika ubora wake ili kuepusha maafa kujitokeza.
Soma...
Kama inavyofahamika kuwa mwaka huu 2025 ni Mwaka wa Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wabunge na Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania.
Mmesikia Vyama vya Upinzani wakilalamika jinsi wanavyohujumiwa...
Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Handeni Mjini Maryam Ukwaju amewataka waandikishaji wasaidizi,kuhakikisha wanatunza siri za wananchi watakaojitokeza kujiandikisha kwenye Uboreshaji wa Daftari la...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Ndugu Stephen Wasira amepokewa rasmi mkoani Mwanza na kuzungumza na Kamati ya Siasa ya mkoa huo, katika Ofisi Kuu ya CCM Mkoa wa...
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Tanzania Bara Stephen Wasira amesema katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu Chama kitaendelea kushika dola kwa wingi wa kura na si mtutu wa bunduki.
Pia...
Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza, Amos Ntobi, amesisitiza kuwa CHADEMA haitakubali kufanyika kwa uchaguzi wowote wa kitaifa ikiwa...
Mbunge wa Jimbo la Makambako Mkoani Njombe Deo Sanga (Jah People) amesema kuwa wale wanaosema CCM kumpitisha Samia, waende Vyama vingine bado havijateua wagombea wakashauri huko
Amesisitiza CCM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.