Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema kuwa mgawanyiko ndani ya CHADEMA unazidi kudhoofisha nafasi ya chama hicho kushindana na CCM katika uchaguzi...
1 Reactions
26 Replies
664 Views
Wakuu, Majuzi kuna mdau aliweka uzi kuhusu mitungi ya gesi kugaiwa kwa masharti ya kutoa namba ya nida - Nzega, Tabora: Mtaani kwetu kuna watu wanapita Kila kaya wanagawa mitungi ya gesi, Sharti...
1 Reactions
38 Replies
791 Views
Haiwezekani kwa mtu mzima sana kama Wassira kujikita kushambulia na kutukana Chadema, bila shaka aweza kuwa amepoteza Kumbukumbu na kusahau Majukumu ya kikatiba yaliyoainishwa yanayohusiana na...
13 Reactions
93 Replies
2K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema ni marufuku kwa vyama upinzani kuwatumia vijana kutoka mkoani Mara kama nguvu kazi ya kufanya vurugu katika...
5 Reactions
62 Replies
2K Views
Wakuu, Asubuhi ya Jumamosi Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa aliweka pandiko kwenye account yake ya Insta iliweka lebo kwenye gazeti la Nipashe "SIO KWELI (MISINFORMATION)" na kuongeza maelezo...
3 Reactions
14 Replies
663 Views
Wakuu huyu mzee wenu bila kuitaja CHADEMA hasikii raha kabisa Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, ameishutumu CHADEMA kwa kile alichodai kuwa chama hicho...
0 Reactions
2 Replies
395 Views
Watu mnaojua kiingereza mnaweza kunisahihisha kama neno nililolitumia siyo sahihi. Kiranga na Nyani Ngabu msaada tutani. Kwa mtazamo wa kijuujuu huwezi kuona kinachotengenezwa na CCM hasa...
25 Reactions
113 Replies
3K Views
Katika harakati za kampeni kutoka kwa machama promax =============== Taasisi ya Mama Ongea na Mwanao kwa ushirikiano na Lake Gas tutahakikisha kila kijiji, kila kata na kila wilaya tanakabidhi...
2 Reactions
4 Replies
248 Views
Kiukweli hili ni kundi kubwa sana sema kisiasa Wapinzani hawalipi Umuhimu unaostahili. Kundi hili limeathirika kwa muda mrefu sana toka kipindi cha Magufuli takribani Miaka 10 kuna watu...
2 Reactions
13 Replies
433 Views
Chama cha ACT Wazalendo kimesema kuwa kimeshafanya mazungumzo na vyama vingine vya upinzani kwa lengo la kuungana na kuikabili Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi ujao. Kauli hiyo imetolewa...
2 Reactions
36 Replies
1K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amewajibu vikali wanaodai kuwa hakuna kilichofanyika tangu Tanzania ipate uhuru, akisema kuwa kauli hizo zinatokana na...
5 Reactions
49 Replies
1K Views
PRISCUS TARIMO BINGWAA MAMBO UNAYO FANYA TUNA YAONA MBUNGE WETU ANAFAA HATUMUACHI IMETIKI NJE NDANI Mapema leo mbunge wetu PRISCUS TARIMO BINGWAA amekabidhi gari maalumu la kubeba wagonjwa...
3 Reactions
19 Replies
581 Views
90% chaguai nyingi zinagubikwa na rushwa kuanzia ndani ya vyama na nje ya vyama . Wagombea wengi huwatumia viongozi katika serikali za mitaa ili kupenyeza rushwa zao kwenda kwa wananchi hili...
0 Reactions
0 Replies
133 Views
Chama cha mapinduzi CCM wilaya ya Mbarali kupitia Jumuiya ya umoja wa wanawake Tanzania UWT, imefanya maadhimisho ya miaka 48 ya chama Cha mapinduzi kwa kutembelea miradi mbalimbali ya maendeleo...
0 Reactions
1 Replies
123 Views
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Iringa vijijini kupitia kwa Katibu wake Sure Mwasanguti wametoa onyo kali na la mwisho kwa baadhi ya watia Nia wa nafasi ya Udiwani na Ubunge wanaojipitisha...
1 Reactions
9 Replies
270 Views
Wananchi mkoa wa Ruvuma wametakiwa kupuuza maneno ya baadhi ya wanasiasa wanaotumia majina ya viongozi wa juu wa Chama cha Mapinduzi, kuwarubuni na kuwaambia kuwa wametumwa kuja kugombea nafasi za...
0 Reactions
2 Replies
160 Views
Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT), Zainab Khamis Shomari ahimiza wananchi kujitokeza kujiandikisha katika daftari la Wapiga Kura. Soma Pia: Kusini...
0 Reactions
0 Replies
110 Views
Natanguliza pongezi za dhati kwa Mwenyekiti mpya wa CHADEMA Tundu Lissu kwa kuaminiwa na kukabidhiwa Kijiti kuongoza chama kutoka kwa Freeman Mbowe. Lissu anafahamika kwa harakati zake za kitambo...
0 Reactions
0 Replies
63 Views
Mkuu wa Wilaya ya Muheza, Zainab Abdallah ametoa pikipiki kwa Vijana wa UVCCM Mkoa wa Tanga ili zitumike na Vijana kusikiliza na kutatua kero za Vijana, kusemea kazi nzuri zinazo fanywa na...
3 Reactions
24 Replies
574 Views
Wakuu, Msigwa kaamua kuchagua vayolensi na kusema Mwananchi imefanya uchochezi kwa kusema barabara 4 Dar zimefungwa kwa muda sababu ya mgogoro wa DRC na M23. Pia soma: Pre GE2025 - Hali ya...
7 Reactions
69 Replies
3K Views
Back
Top Bottom