Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Wakuu Wananchi tumekubaliana lini Rais Samia kupita bila kupingwa? Hivi huyu Mbunge anawazungumzia wananchi gani? Au anaongea kwa niaba ya vikao vyao vya kificho? Tena aelewe, si kila...
1 Reactions
7 Replies
576 Views
Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa Joseph Mbilinyi (Sugu), amemuomba Makamu Mwenyekiti wa Balaza la Wanawake Chadema Elizabeth Mwakimomo kusimamia suala la umoja na kuunganisha wanawake wote katika...
0 Reactions
3 Replies
258 Views
Wakuu, Wakati tunaeleka kwenye Uchaguzi Mkuu ambao tutachagua Madiwani, Wabunge pamoja na Rais mengi hutokea kabla ya kuwapata viongozi hao. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
𝗗𝗞𝗧. 𝗦𝗔𝗠𝗜𝗔 𝗡𝗜 𝗧𝗨𝗥𝗨𝗙𝗨 𝗬𝗔 𝗖𝗖𝗠 𝗞𝗪𝗔 𝗪𝗔𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔 𝗨𝗖𝗛𝗔𝗚𝗨𝗭𝗜 𝗠𝗞𝗨𝗨 2025 Rais Samia Suluhu Hassan ni kiongozi wa kipekee ambaye amebeba matumaini makubwa ya Watanzania. Utendaji kazi wake umejikita katika...
0 Reactions
15 Replies
267 Views
Wakuu, Akiwa anaongea kabla ya mafunzo kwa waandishi wasaidizi na waendesha vifaa vya bayometriki huko Tanga, Mwenyekiti wa Tume Huru ya UchaguziJaji Rufaa Jacobs Mwambegele amewahasa waendesha...
0 Reactions
0 Replies
107 Views
Wakuu, Kwenye events hizi mbili za mwisho za CCM kuna kitu nimejifunza. Unakuta msanii anaenda ku-perform huko CCM alafu anavaa manguo ya CCM then akienda kwenye vyombo vya habari akiulizwa yeye...
0 Reactions
1 Replies
160 Views
BALOZI NCHIMBI ACHANGISHA SH. 1.7B UJENZI OFISI YA CCM MKOA WA SINGIDA Matukio mbalimbali katika picha wakati wa hafla ya chakula cha jioni iliyoenda sambamba na harambee ya uchangishaji wa fedha...
2 Reactions
28 Replies
970 Views
Tuwe tu Wakweli ni mwanaccm gani Chama Cha Mapinduzi kimemuandaa kuwa Rais wa JMT kama alivyoandaliwa Dr Samia wakati wa shujaa Magufuli au atakavyoandaliwa Dr Emmanuel Nchimbi kuelekea uchaguzi...
3 Reactions
34 Replies
720 Views
Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Ruvuma kimefanya mkutano maalum na kupongeza azimio la kuwaunga mkono viongozi walioteuliwa na chama hicho kugombea nafasi ya urais katika uchaguzi ujao. Mkutano...
0 Reactions
1 Replies
125 Views
Huyu ni MwenyeKiti wa Wilaya ya Tarime. Anaitwa Marwa Ngicho, hapa alikuwa msibani anawaambia Wananchi wana maisha mazuri kupitia CCM. Wananchi walimzoea msibani bila kuogopa. Soma Pia: Uzi...
2 Reactions
20 Replies
935 Views
Mwenyekiti wa Kampeni ya *Mama Asemewe, Ndugu Geofrey Kiliba, amewataka wanavyuo kote nchini kutumia mitandao ya kijamii na elimu zao kueleza mafanikio makubwa ya Serikali ya Awamu ya Sita chini...
0 Reactions
8 Replies
365 Views
Huyu Luhaga Mpina naona ana ushawishi sana kwa wafuasi wa mwendazake, kwa jinsi anavyoipopoa serikali ya inayoundwa na chama chake sioni dalili za yeye kupitishwa tena kuwa mgombea wa nafasi...
4 Reactions
40 Replies
692 Views
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) na Kamati ya Bajeti ya Bunge pamoja na wabunge mbalimbali wamezungumzia maboresho ya Bandari ya Dar es Salaam, yanayotekelezwa na...
0 Reactions
6 Replies
278 Views
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Ndg. Shemsa Mohamed, Aungana na Wanachama wa CCM Katika Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM, Ndg. Stephen Wasira , Leo Lamadi Busega. Mwenyekiti wa Chama Cha...
0 Reactions
5 Replies
338 Views
Ndani ya CCM katika Watu waliopikwa na Chama na kuiva vizuri hakunaga wa kumshinda Mzee Kikwete, akifuatiwa na Dr SheIn kisha Dr Nchimbi na Ndio sababu hata Mzee Mgaya wa CCM huwa anazipa uzito...
4 Reactions
61 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa amewasilisha hoja kwa mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa Mwenyeiti wa chama hicho, Rais Samia Suluhu Hassan awe mgombea urais wa Tanzania...
19 Reactions
342 Replies
13K Views
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amemwandikia barua ya kuomba apumzike Umakamu wa Rais ambapo amesema baada ya kutafakari ameridhia ombi hilo...
28 Reactions
263 Replies
16K Views
Wakuu, Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, ameendelea kufuatilia mwenendo wa kesi zinazopinga matokeo ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji, ambazo chama...
0 Reactions
1 Replies
312 Views
Haya mambo haya ndio yanafanya MTU akitwae Kiti hata kama ni Kwa Hila. Kama Rais Samia ataishia 2030, Makamo wake atakubali habari zake za Siasa kuishia hapo, na kwa kua atakua keshajijenga...
0 Reactions
3 Replies
191 Views
Wakuu, Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema Elizabeth Mwakimomo, amesema mabadiliko katika nchi hii yataletwa na chadema na kuongezea kuwa Kauli za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert...
0 Reactions
0 Replies
201 Views
Back
Top Bottom