Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Siasa tamu bhana ukipatia, JAmaa amesema atarejea tena Mbunge wa Jimbo la Muheza na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe Hamis Mwinjuma "Mwana FA" amesema atagombea tena Ubunge...
2 Reactions
47 Replies
979 Views
Tusiishie kulalamika kuwa ndani ya siasa kumejaa mfumo dude na kuanza kuwapa watu vyeo maalum kwa kutazama jinsia zao mfano viti maalum. Tujiulize maswali halafu kisha tufute mfumo wa viti maalum...
2 Reactions
5 Replies
175 Views
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Mgombea Mwenza wa kiti cha Urais Tanzania Bara Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amesema CCM Haifanyi siasa za matusi kwani ni Chama cha Mfano...
2 Reactions
6 Replies
224 Views
Historia imeandikwa, historia imevunjwa chini ya Mh John John Mnyika Katibu Mkuu wa Chadema. Mnamo Tarehe 21 January 2025 kulifanyika uchaguzi Mkuu katika Chama Hicho. Uchaguzi huo ulijaa kashi...
12 Reactions
54 Replies
1K Views
Katibu Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo Ado Shaibu amesema Rais Samia Suluhu Hassan alitumia njia ya maridhiano kuwapa upofu kwa muda wapinzani ili aweze kujipanga kukabiliana nao. “Kumbe...
4 Reactions
27 Replies
864 Views
Wakuu Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Ruvuma kikiongozwa na Mwenyekiti wake Comrade Oddo Mwisho kimefanya Maandamano ya amani yenye lengo la Kupongeza na kuunga mkono Azimio la mkutano mkuu Maalum wa...
1 Reactions
3 Replies
190 Views
Poleni na hongereni na kutafuta mkate wa kila siku! Leo roho wa Mungu amenisukuma niseme na mtumishi wa Mungu Akofu jophate Gwajima. Upo ccm huna amani, huna furaha, huna uhuru wa kusema uovu...
10 Reactions
116 Replies
3K Views
Huyu jamaa anajiita mtaalamu wa Protocol za uongozi Abobakary Mtandika,. binafsi ni jamii ile ile ya machawa tu. Soma Pia: Gharama anazotumia Rais kusafiri nje ya nchi zinarudishwaje? Akiwa...
0 Reactions
3 Replies
190 Views
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ameupongeza uongozi wa Chama Cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Bukombe kwa Mkutano Mkuu Maalum wa kutoa taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya...
0 Reactions
20 Replies
801 Views
Niangalia Bunge linavyokwenda na uchawa ulivyoshika kasi Mbunge ambaye naona ana uhakika wa kurudi bungeni kama upepo usipokuwa mbaya ni Waitara, Kingu, Msukuma na Shigongo. uchaguzi wa mwaka huu...
1 Reactions
20 Replies
776 Views
Ni Lini Rais Samia aliwahi hata kusema nitagombea Urais ?. Achilia mbali wanasiasa wote waliowah kua Marais, mwanzon kabisa walionyesha Nia zao, wakachukua Fomu n.k. Rais Samia, anachaguliwa kua...
23 Reactions
72 Replies
2K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira amesema chama hicho kimedhamiria kuleta mapinduzi katika maisha ya wananchi huku akitumia vijembe kwa Chadema kuwa katika uchaguzi wa...
0 Reactions
7 Replies
346 Views
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amesema chama hicho hakina sababu ya kutumia lugha ya kebehi na matusi kutokana na utekelezaji mkubwa wa miradi...
0 Reactions
9 Replies
269 Views
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema mkutano mkuu wa chama hicho utafanyika kati ya Januari 18 na 19, 2025 jijini Dodoma. Katika mkutano huo...
1 Reactions
34 Replies
2K Views
Wajumbe wa kamati ya fedha na uongozi na menejimenti ya manispaa ya moshi ikiongozwa na mkurugenzi wa manispaa Bi. Mwajuma Nasombe Leo wametembelea miradi ya maendeleo iliyotekelezwa na ilani ya...
0 Reactions
25 Replies
835 Views
Wakuu, Wabunge wa Dar es Salaam: Elimu, Safari za Kisiasa, na Majukumu 1. Jerry Slaa - Mbunge wa Ukonga Chama: CCM Uchaguzi wa 2020: Kura 120,936 dhidi ya Asia Daudi Msangi (CHADEMA) aliyepata...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu, 1. Boniface Mwita Getere - Mbunge wa Bunda Chama Cha Siasa: Chama Cha Mapinduzi (CCM) Matokeo ya Uchaguzi wa 2020: Aliibuka mshindi kwa kupata kura 50,780, akimshinda Kissama Samwel Ndaro...
1 Reactions
10 Replies
836 Views
Mwanzoni tulimlaumu hayati Magufuli kwamba ndiye anawatetea na kukandamiza mihimili mingine . Baada ya Muda tukagundua kuna Mkono wa Mwenyekiti Mbowe pia kwenye hili suala . Kwa ujumla...
6 Reactions
40 Replies
901 Views
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Dkt. Leonce Mujwahuzi amesema kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeendelea kuwa imara kutokana na kuwa na utaratibu mzuri wa kuchagua viongozi wake kwa...
1 Reactions
56 Replies
1K Views
Wakuu, Watanzania wote mpaka CCM akina Lucas Mwashambwa na mwenzake aliyejitoa ufahamu mwishoni Retired wamebubujikwa na machozi baada ya Lissu kunyakua ushindi wa nafasi ya Mwenyekiti Taifa...
16 Reactions
57 Replies
2K Views
Back
Top Bottom