Wasalaam
Kuna taarifa za kuaminika kutoka chanzo cha uhakika kwamba ndani ya CCM kuna sintofahamu inayoendelea, kuna kundi kubwa halijakubali Rais Samia kugombea tena urais hapo Oct 2025 kwa...
Anaandika Martin Maranja Masese, Mtikila
Waziri Mkuu, Naibu Waziri Mkuu, Mwanasheria mkuu wa serikali, Spika wa bunge, Naibu Spika wa bunge, Mawaziri na Wabunge wote, wanalipwa posho ya kujikimu...
DOROTHY Semu Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, ametea Kamati ya Kuunda ilani ya chama hicho ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025.
Kiongozi huyo ameyatangaza majina hayo leo tarehe 6 Februali 2025...
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), January Makamba amesema chama chao kimeshafanya uamuzi kuhusu kiti cha urais kwa kumteua Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea...
Kesi ya kusambaza taarifa za uongo kwenye Mtandao wa X inayomkabili wanasiasa mkongwe nchini, Dkt. Willibrod Slaa (76) itatajwa leo Februari 6, 2025 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini...
Kuna mbughi inaenda kuchezwa hapo July - Oct 2025.
Nchi inaenda kusimama kushuhudia kimbembe.
Wambea wa baa ile wanasema TL anamkabidhi kijana wa Kisukuma mwenye ushawish Lake zone kupeperusha...
Bila shaka wote ni wazima wa afya njema. Serikali ya kikoloni ilipata upinzani wa kweli kutoka kwa watanzania wazalendo.
Baada ya uhuru serika ya Taa, Tanu na badae ccm hawakuwa na mpinzani wa...
Umoja wa vijana chama cha mapinduzi wilaya ya Temeke umesema utaendelea kuishi kwa vitendo malengo ya kuasisiwa kwa Chama Chama Mapinduzi CCM kwa kuwajali watu wote kwani Chama hicho ndio kimbilio...
Uchawa unanguvu sana! Na bila shaka hii yote kwenye kutetea ugali wao.
Sasa Mkuu wa wilaya ya Kisarawe Petro Magoti ameamua kuvaa vazi la Samia style kama sehemu ya kumpongeza Rais Samia kwa kazi...
Wakuu
Mbunge wa Ubungo, Prof. Kitila Mkumbo, ameifananisha tuzo Maalum ya Kimataifa ya 'The Global Goalkeeper Award' aliyopewa Rais Samia Suluhu Hassan na tuzo ya Kombe la Dunia la FIFA, akisema...
Akijibu swali la nyongeza Bungeni leo Feb. 7, Dkt. Godwin Mollel, Naibu Waziri wa Afya ampigia debe Conchesta Rwamlaza, Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA, kwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amepinga vikali madai ya vyama vya upinzani kuhusu wizi wa kura katika uchaguzi wa serikali za mitaa, amesema vyama hivyo, hususan...
Mbunge wa Konde (ACT Wazalendo) Mohammed Said Issa ameibua mzozo Bungeni mara baada ya kusema kwamba Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakiwezi kupata kura katika jimbo lake kwa sababu sera zao ni mbovu...
Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT) umesema utapambana na chama chochote ama mtu yeyote atakayeeneza kile ilichokiita dhihaka ama propaganda ovu dhidi ya Rais wa Tanzania na...
Utawala wa CCM kwa sasa umekuwa mgumu kwa nchi wagombea waliopo wote mnawajuwa mmoja ana uraisi wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wote mmeona aliyoyafanya katika kipindi chake na...
Wakuu
Vijana kama vijana kutwa busy na mambo ya uchawa tu!
Kikundi cha Vijana Waliojipaka Matope mwili mzima ni miongoni mwa watu waliopata fursa ya kuwepo kwenye maandamano ya watu elfu 5...
Mbunge wa viti maalum Zanzibar, Tauhida Gallos ameeleza kuwa dunia inapaswa kuangalia mfumo wa chama cha mapinduzi kama mfano katika uongozi kwani chama hicho kina sifa za kipekee
Sasa kwa la...
Wakuu,
Mjumbe wa Kamati kuu ya Taifa CCM, Charles Mwakipesile amesema kauli ya Chadema ya "No reform no Election" ni kauli ya kisiasa na kauli hiyo hawawezi kuipa nguvu kwani wao ni Chama...
Wakili Mwanaisha Mndeme ambaye ni Katibu wa Idara ya Mambo ya Nje ya ACT Wazalendo, na Waziri Kivuli Viwanda na Biashara wa chama hicho, leo tarehe 6 Februari 2025 ametangaza nia ya kugombea...
Wakuu, heshima kwenu!
Moja kwa moja kwenye mada.
Mtajwa hapo juu ni mchapakazi, tatizo lake kubwa simuoni kama mzalendo wa kweli.
Tayari alishajihusisha na makundi, makundi ambayo yanalaumiwa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.