Wenzetu huko Ulaya ukigombea mara Moja ukashindwa hutakiwi kugombea Tena. Ni Tanzania pekee ambapo mtu anagombea Kila mwaka. Leo badala ya kutafuta chuma kipya Cha kuitikisa CCM. Bado tuna mawazo...
Katika siku za hivi karibuni, tasnia ya uandishi wa habari nchini Tanzania inakumbwa na changamoto kubwa inayotishia misingi ya taaluma hii adhimu. Wanahabari, ambao kimsingi wanapaswa kuwa sauti...
"Tuapoelekea katika uchaguzi mkuu, tutaendelea kujiimarisha zaidi ndani ya Chama, tumekiwezesha chama nyezo muhimu za usafiri, tunataka kuona viongozi wa CCM wanawafikia Wananchi kuwasikiliza na...
Mbunge wa viti maalum Zanzibar, Tauhida Gallos ameeleza kuwa hata aondoke nani bado chama cha mapinduzi kitaendelea kuwa imara.
"Hakuna kiongozi anayeweza kukiteteresha hiki chama hata uone...
Wakuu
Hawa ndio vijana tunaotarajia kuwa viongozi wa kesho, lakini badala ya kusimamia maslahi ya wenzao, wanajikita kwenye kampeni za kusifia bila hoja.
Badala ya kushinikiza fursa na maendeleo...
Rais Samia ametoa angalizo kwamba CCM isitegemee historia kupata ushindi kwenye uchaguzi Mkuu Bali ijenge Sera zinazobeba matamanio ya Wananchi wa Sasa
Ni lazima tujenge Sera za kuaminika mbele...
Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Lindi kimewataka Vijana kujipambanua na kugombea nafasi mbalimbali za kiongozi ili nao wawe viongozi na sio kuwabebea mabegi Wagombea Ubunge na Udiwani...
Wakuu
Wote tunakumbuka kipindi cha Magufuli mambo yalivyokuwa.
Baada ya purukushani zake za kutishia wapinzani, kuzorotesha uchumi na mwisho kuona majority ya watanzania hawamkubali zikaanza...
Wakati Rais Samia anaingia Ikulu, baada ya muda mfupi vyama vya upinzani Tanganyika pamoja wanahabari wa kujitegemea wamekuwa wakipaza sauti zao juu ya Rais Samia katika uwongozi wake, Moja ya...
Wakati Rais wa nchi anakula maisha na private jet, Na kufurahia tuzo zisizokuwa na tija kwa watanzania ambao wengi bado wanaishi chini ya dola moja, jiji la Dar es Salaam lenye shule za sekondari...
Eric Shigongo amemshauri Rais wa Marekani, Donald Trump kusitisha uamuzi wake wa kuzuia misaada kwa nchi za Afrika, kwa sababu akifanya hivyo Waafrika wengi watapoteza maisha.
Akiwa nchini...
Wakuu
Mzee Stephen Wasira anasema nia ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ni kuwapatia Wananchi Maisha mazuri, huwezi kuwa na nchi watu wanatembea uchi.
Soma, Pia: Wasira: Lissu aje, tufanye Mdahalo...
Mungu ni Alfa na Omega. Sijui ikiwa CCM ni lango la ufalme wa mbinguni wanaheri wanaoikimbilia! Ole wenu ikiwa CCM ni lango la kuzimu nisawa na kumwabudu mfalme Sanekarebu kwa kuogopa kuuawa...
Wakuu
Uchaguzi unakuja, Oktoba 2025 sio mbali, lakini wote tunashuhudia vijana wengi wamegeuka "machawa" na kupoteza mwelekeo wa kisiasa. Badala ya kujadili sera, ajira, elimu, na uchumi...
Wakuu
Hawa ni Vijana wakiwa wamepiga magoti na mabango kwenye Maandamano ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma, zinapofanyika sherehe za miaka...
CHADEMA chini ya Mwenyekiti Tundu Lissu, Waanza kazi rasmi.
Wajipanga na kujikoki kwa uchaguzi ujao.
Pia soma: Pre GE2025 - Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya...
Wakuu,
Leo ndio ile siku ya maadhimisho ya kuzaliwa kwa CCM baada ya kuona matangazo mengi toka kwa chawa wa mama.
Watakuja na kubwa gani leo, wacha tuone...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amewataka Wanachama wa CCM kuwa licha ya kujiamini hawatakiwi kubweteka na wasiingiwe na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.