UTANGULIZI: Mwaka huu 2025, Tanzania itafanya Uchaguzi Mkuu wa Rais na Wabunge wake. Ni muda muafaka kwa vyama vya siasa kujinadi na sera zitakazoleta Maendeleo kwa Taifa letu ndani ya miaka...
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Bara, Mzee Stephen Masato Wasira amewaonya viongozi wa Chama cha Mapinduzi kuwa kama matatizo yanayowakabili wananchi hayazungumzwi na kutafutiwa ufumbuzi wananchi...
Wakuu,
Kama mmeona sasa hivi upande wa CCM kila wakifanya mkutano kiongozi husika anapotishwa bila kupingwa kienyeji ama anaombewa kisayansi kupitishwa bila kupigwa!
Ilianza kwa Samia na Mwinyi...
Wakuu,
Wanawake Dar mmeamua haya na mi sijui, kuna watu wana siri...nimelia sana:BearLaugh::BearLaugh::BearLaugh:
=====
Wanawake wa jijini Dar es Salaam, kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa...
Wakuu,
Mwakilishi wa vyama rafiki vya CCM, Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Bukombe ameanza kwa kuwakushuru CCM kuwaalika maana waliomba makusudi waalikwe kwenye mkutano huo:BearLaugh::BearLaugh...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeanza uchunguzi wa kubaini watu wasiojulikana wanaodaiwa kumteka Shadrack Chaula (24), mkazi wa Kijiji cha Ntokela wilayani Rungwe.
Chaula anadaiwa kutekwa na...
Wakuu,
Hii ni kali. Yaani kila kitu sasa hivi ni Samia, Samia, Samia! Kwani kampeni zimeanza wengine hatuna taarifa?
Msajili wa Vyama vya Siasa ni zaidi ya 0. Kuna maana gani ya kuwa hapo...
Atakayepingana na Maono haya no dhahiri anapingana na Allah, Muumba wa Vitu Vyote. Sifa za Rais wetu mpya
1. Mpenda Haki - Anahakikisha Kuna uhuru wa mawazo, maoni, Mahakama kuwa Huru, Polisi...
Wana JF Heshima kwenu.
Za kutoka jikoni kwa walio Karibu na "Mjomba" wanaeleza wazi kuwa bwana Mkubwa baada ya kuona upepo namna unavyokwenda, aneonesha nia ya kutogombea Tena Jimbo la Ruangwa...
Huyu mbunge jau sana, ndio shida ya ubunge wa kupewa, basi tuseme ni suala la muda tu kujiweka wazi kama mwanachama wa CCM, lakini hakupaswa kuwa chawa wa Mama.
Wabunge wa namna hii, wana...
Wananchi na madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji wamekataa kuendelea na mkandarasi anayejenga Soko Kuu la Mwanga na Soko la Samaki katika Mwalo wa Katonga, wakidai ameshindwa...
Mstahiki Meya wa Halmashauri ya jiji la Mbeya Dormohamed Issa amesema Dkt. Tulia Akson Mwansasu ni mbunge wa kipekee ambaye kila mtanzania anatamani awe mbunge wa jimbo lake na hata Mbeya...
Mwanasiasa na aliyekuwa mgombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Ezekia Wenje, ameweka wazi msimamo wake kuhusu siasa za chama hicho baada ya uchaguzi, akisisitiza kuwa bado yuko ndani ya...
Baada ya kimya cha muda kidogo Sugu ameingia mtaani kupiga kampeni ya kimya kimya huko vijijini
=====================
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Nyasa...
Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Mara, Eng. Vedastus Maribe, amemuomba Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, kusaidia kushinikiza...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kati, kimekemea vikali kitendo kinachodaiwa kufanywa na Maafisa Elimu cha kuwalazimisha walimu kwenda kushiriki sherehe ya kuzaliwa kwa Chama...
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Jacobs Mwambegele, leo Februari 07, 2025, amekagua mafunzo ya maafisa waandikishaji wasaidizi kutoka Jiji la Tanga na Wilaya ya Muheza, akibaini...
Msigwa hivi sasa inaonekana siasa imekuwa ngumu kwake.
Lissu anaogopa kumkosoa huku CCM akiwa hana cha kufanya.
Akirudi CHADEMA haaminiwi tena, maana hawezi kuikosoa CCM tena kama mwanzo...
Siwezi kutoa maoni, kwa sababu hili ni jambo tu ambalo wananchi watalijadili kuanzia kesho asubuhi.
Kwa hiyo hainihusu mimi kutoa maoni.
Flyover zimejengwa,barabara zimejengwa,shule zimejengwa...
Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dkt Samia Suhulu Hassan amepeleka zaidi ya Bilioni 2 katika miradi ya maendeleo Wilaya ya Nachingwea katika mwaka wa fedha wa 2020/2025 ambayo umesaidia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.