Kwa mujibu wa Renatus Mutabuzi mawasiliano nje kidogo ya mji hakuna. Hii inashangaza hata vodacom haioni kuwa charity starts at home?Kweli wana igunga hata picha hamuoni? Yaani mngechagua hata...
nimekua nikifuatilia uchaguzi wa Igunga kwenye televisheni mbalimbali toka asubuhi lakini cha kushangaza ile tunayoifahamu kama televisheni ya Taifa ndo kwaanza haitoi hata updates ya...
Naomba sana sana kwa Mwenyezi Mungu CHADEMA ishinde, maana hayo ndiyo matokeo yatakayoifanya serikali ya CCM ianze kuwekeza katika kuwahudumia wananchi zaidi kuliko kujitajirisha kama wanavyofanya...
Uchaguzi wa Igunga utaamuliwa siku chache zijazo. Mshindi atashinda siyo kwa uzuri wa hoja tu bali pia kwa mbinu na mikakati. Kama nilivyosema kwenye makala nyingine uchaguzi wa Igunga utaamuliwa...
Natuma salamu za pongezi kwa hatua na mafanikio yaliyofikiwa na Chama Cha CHADEMA katika uchaguzi wa Igunga. Hizi ni salamu za awali kwa yale matukio na mitihani mliyokwisha-ishinda kuelekea...
Upigaji kura unaendelea huko Igunga. Watu wengi wamejitokeza na kura zinaendelea katika hali ya amani na utulivu.
Waliojitokeza kwa wingi ni wazee na kina mama.
-------------------CLOSED: KUPATA...
Wakati vyama mbalimbali vikipigana vikumbo kufunga kampeni zao Igunga, chama cha updp kilichavuna na kukamilisha kwa mafanikio makubwa lengo lao kuu la kujitosa kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi...
Diwani wa CDM Ndg Nanyaro Ephata alitekwa yeye na mwenzake mmoja aitwaye Boniface na kupelekwa kusikojulikana. Wakiwa njiani kurudi hotelini ghafla walivamiwa na watu ambao walikuwa katika Toyota...
Kwa kawaida upigaji wa kura humalizika saa kumi jioni na kinachofuata huwa ni kuhesabu kura,kuna uwezekano mkubwa kesho umeme ukakatwa kwa hila za kujenga mazingira ya wizi wa kura,hatutaki fujo...
Shy-Rose Bhanji
baada ya kushindwa kutekeleza sera sasa tunatumia mpaka watoto kwenye propanganda..hii ni aibuuuuuu....igunga tunapelekeshwa siyo siri banaaa...
nimejaribu kuweka picha za...
Wana JF nashindwa kusahau janga la znz heti kwasababu ya uchaguzu Igunga, na kwakua nimeshindwa kusahau hili, imenifanya nijiulize mambo kadhaa moja, hivi ktk majanga ya namna ya znz vyama wajibu...
Mgombea ubunge jimbo la igunga kupitia CUF amepata ajali. Kwa mjibu wa matangazo ya tbc taifa, bw mahona kapata ajali wakati anaelekea kupiga kura mara baada ya gari lao kugongwa na pikipiki. Kwa...
wakuu nimemaliza kuangalia taarifa ya habari ya saa nne asubuhi katika kituo hiki cha televisheni,nilitegemea habari ya kwanza ihusu uchaguzi wa igunga,lakini hakuna habari yoyote iliyorushwa...
wana JF haya ni maoni yangu na ninafikiri ndio utakaokuwa ukweli wenyewe; kutokana na nguvu kubwa waliotumia chama tawala ccm katika uchaguzi mdogo wa Igunga, kwa maoni yangu mimi chama cha...
KAMPENI za uchaguzi mdogo katika jimbo la Igunga, zimezidi kupamba moto baada ya Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde (CCM), kujiapiza mbele ya wananchi kuwa atakunywa sumu iwapo chama hicho...
kumekuwa na tuhuma kila tunapokuwa na uchanguzi hapa nchini hasa zinazo husu kuchakachuliwa kwa matokeo. Nilikuwa na waomba wanaJF hebu tujaribu kutoa mawazo yetu ya kujenga, kuwa nini kifanyike...
Leo katika mkutano wa kampeni za lala salama za CUF mgombea ubunge wa chama hicho Lepold Mahona alizipiga kavukavu kavu kavu dhidi ya polisi na baadhi ya wanavijiji na ailzuiwa kuendelea na askari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.