Wakuu: Mnaona jinsi CCM wanatumia ufisadi na mafisadi kama mtaji wa kisiasa? Nani kasema Rostam Azizi ameachana na kampeni za hapo Igunga? Yumo hadi shingoni.
Zile helikopta mbili za CCM ni yeye...
Chama cha Demokrasia na maendeleo kinaweza kushinda hadi 74% kwa mujibu wa utafiti uliofanywa kwa muda wa wiki tatu na wanazuoni na baadhi ya waandishi wa habari Tz daima imeripoti leo. Utafiti...
Matokeo ndani ya saa 24
Kwa upande wake, NEC imesema itafanya kila linalowezekana kukata mzizi wa fitina kwa kumtangaza mshindi usiku wa kuamkia Jumatatu, Oktoba 3, mwaka huu.Profesa Chaliga...
hizi ni habari za jikoni kabisa. kutoka kwa mtu wa mitaa ya Igunga. sasa hivi anahudhuria mkutano wa Kamanda Mbowe.
jamaa anadai CCM wanaweza kushinda ila kwa mbinu.
Anasema Chadema kinajaa...
TANZANIA INFLATION RATEThe inflation rate in Tanzania was last reported at 13 percent in July of 2011. This page includes a chart with historical data for Tanzania's Inflation Rate. Inflation rate...
Katika kitu ambacho hakukishitukia mapema Bwana Pombe Magufuli ni kuingizwa mtegoni na magamba katika kampeni za uchaguzi zinazoendelea Igunga kuanza kuropoka kama Mukama.
Bwana Pombe ameingia...
Wakuu,
Mbunge wa ccm Estha Bulaya amewaangukia polisi kwa kile kinachodaiwa kuwa aliwatukana askari wa jeshi hilo, siku ya tukio la kurushiana risasi lililohusisha vyama vya ccm na Chadema. Hayo...
Habari tulizo zipata kutoka kwa familia ya mzee joseph kimario(mume wa bi kimario) ambaye ni dc wa igunga mkoani tabora zimeeleza kwamba mkuu wa wilaya amebatizwa ktk kanisa katoriki mbezi beach...
Nimeangalia TBC1 taarifa ya saa 2 usiku huu Dr.W.Slaa akihutubia kwenye mku5 wa kampeni polisi wakiwa hawana namba vifuani mwao. Je tukichukua hatua mkononi watajiteteaje?
wakiwa katika mkutano wa uliofanyika Leo asubuhi katika kata ya ziba uliofurika maelfu ya wakazi wa kata hiyo, kampeni meneja Anthony Kayange alikuwa akitaja jina la kila mgombea ambapo alianza na...
Majira News
Mbunge wa Lindi kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Bw. Salum Baruani akihutubia wananchi wa Kijiji cha Ngwamashimba wilayani Igunga wakati wa mkutano wa kampeni za kumnadi...
kama wana igunga hamjapata mishahara kuweni makinii mana mishahara inaweza kuachiwa jumapili ili watumie muda wao mwingi kwenye foleni za mabenki ili wasiweze kupiga kura. wasiawsi huu ni kwa...
Nimesoma katika gazeti la Mtanzania la leo linasema kuwa Polisi walioko Igunga wanalipwa posho ya shs. 5,000/= kwa siku na imethibitishwa na mkuu wao Isaya Mgulu eti naye amesema anapata hiyo...
Wanafunzi wa Kidato cha 4 nchini kote watakuwa wakifanya MTIHANI WA TAIFA wa KUMALIZA KIDATO CHA 4 kuanzia tarehe 3/10/2011. Hivyo walimu kadhaa wa sekondari nchini kote watahusika kusimamia...
Kutokana na sensa ya mwaka 2002, inaonesha kwamba waislamu wako asilimia 88, sasa hii wala haihitaji mathematics bali arithmetic tu ku project mshindi wa kiti cha ubunge Igunga. Mida ya kufunga...
HELKOPTA YA KAMPENI ZA CCM YATUA IGUNGA, MAGUFULI, JANUARI WATIA TIMU
Waziri wa Ujenzi John Magufuli akisalimia mamia ya wananchi waliofika kwenye Uwanja wa Sabasaba mjini Igunga kupokea ndege ya...
Mimi nasikia kichefuchefu na fedheha namna polisi wanavyofanya kazi yao katika kusimamia amani jimbo la uchaguzi Igunga. Kwa kweli si polisi tena bali ni chama cha siasa ambacho hakina usajili...
Wana JF,
Nafuatilia siasa za Igunga. Hivi sasa mawaziri wamehamia huko. Hivyo imedhihirika kuwa wapinzani sasa wanapambana na serikali siyo CCM. Hivyo, ni kitu gani kitakachomzuia Waziri wa Mambo...
Wingi wa matukio TZ unaifanya Tz kutokuweka vipaumbele kwenye mambo ya msingi, yapata miezi kadhaa baada ya kauli za dharula kutolewa zikilenga utatuzi wa tatizo la umeme miezi inazidi kusonga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.