Waliitwa wapiganaji ndani ya CCM na wakawa ndio tumaini la CCM katika uvuaji magamba, je imetokea nini ? Mbona hawako Igunga kwenye uwanja wa mapambano na badala yake walioitwa mafisadi ndio...
Hukumu ya Dowans imetoka wakati Muafaka ambao kampeni za mwisho zinafanyika igunga, Wapiga kura wa igunga tambueni kuwa ubovu na ufisadi wa CCM na Rostam Azizi ndio uliopelekea taifa hili...
Tuanze sasa kujadili mambo ya siku ya uchaguzi Igunga.
Ni nani mwenye majina halisi ya vituo vyote vya kupigia kura. Nimeangalia kwenye website ya Tume ya Uchaguzi sioni badala yake naona jumla...
Katika hali ya kustaajabisha, wagombea wa CUF, CCM na CHADEMA wote ni Wakristo, lakini tumeshuhudia waislam wakihamasishana wasichague CHADEMA, sasa ingetokea mgombea wa CHADEMA angekuwa mwislam...
Leo hii polisi imegawa vipeperushi vyenye picha za ffu wakiwa wamekamata watu, na ujumbe unaosomeka "epuka aibu na fedheha, tii bila shuruti", "polisi tupo imara tutamshuguriki kikamilifu yeyote...
Niko Mza hapa, tunaishi mtaa mmoja na diwani wa Kitangiri. Nyumbani kwake kuna kundi kubwa mno la vijana pamoja na magari lukuki na Coaster ya kukodi ya Mukesh. Nilipouliza kuna nini, nikaambiwa...
Wadau kila nikitafakari nakosa muelekeo hasa kwa chama Tawala ambacho kimetawala Jimbo la Igunga tangu kupata Uhuru yaani 50 miaka, hawakupaswa kuhangaika kutumia Vyombo vya Angani, kuwahonga...
kilaza wetu maarufu baada ya kutua igunga amedanganya wananchi wa igunga eti macho ya dunia yako igunga
macho ya dunia ipi kama uchaguzi mkuu wa rais dunia haina habari
Mwananchi toa mchango wako hapa kuipa ushauri Chama cha CHADEMA kwani hiki chama kimeonekana nichama kikuu cha upinzani nchini na kimeikabili vilivyo CCM mpaka wanaanza kutumia njia zisizo kuwa na...
UAMUZI wa wapiga kura wa Igunga mwaka 1994 ndio uliotupatia Rostam. Ni uamuzi huo huo ndio uliotupatia Rostam mwaka 1995 na ni uamuzi ule ule ndio uliomrudisha tena mwaka 2000. Ni uamuzi wa...
Mwaka jana alikwenda rais Kikwete akawaambia wana Igunga kuwa Rostam Aziz ni mtu muhimu na mchapa kazi ndani ya CCM hivyo achaguliwe. Viongozi wa upinzani walienda wakasema Rostam Aziz ni fisadi...
Nimepata habari sasa hivi kutoka Igunga kuwa CDM inaandaa maandamano makubwa Igunga baada ya hukumu ya Mahakama Kuu ya kuitaka Tanesco iilipe kampuni fake Dowans, iliyozaliwa kutoka kampuni...
Leo taarifa ya habari ya ITV imemuonyesha waziri Magufuli akitoa ahadi kibao za ujenzi wa madaraja na makalvati huko igunga akiwa pamoja na naibu waziri wa maji ambaye naye katoa ahadi zake ...
Muda si mrefu kamanda wa anga Freeman Aikael Mbowe ametua hapa igunga na Helkopta iliyoandikwa CHADEMA ambapo watu wengi wamekusanyika na kama kawaida yake aliwasalimia wakazi wa Igunga na salam...
kutokana na kampeni zinazoendelea na kukubalika kwa mgombea wa CUF Leopold Mahona ni mambo ambayo yanayoonyesha ushindi wa wazi kwa mgombea huyo huku akiwa na kura za mtaji wa 11,321, ambapo baada...
Imenipatia wakati Mgumu ghafla baada ya kupokea simu na kuulizwa kama ninaweza kukodisha lorry langu na kupeleka Karatasi za kupigia kura Igunga,huku masharti ya kazi hiyo ni pamoja na uzito ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.